MAPEPO YATOLEWA KUPITIA ZOOM!
-
0:00 - 0:01Mwili wangu ulikuwa ukitetemeka.
-
0:01 - 0:04Sikuweza kujizuia.
-
0:04 - 0:07Sikujua nini kilikuwa kinatokea.
-
0:07 - 0:10Nilijikuta tu sakafuni.
-
0:11 - 0:17Katika jina kuu la Yesu Kristo.
-
0:17 - 0:20Zungumza! Wewe ni nani?
-
0:20 - 0:22Wewe ni nani? Zungumza sasa hivi!
-
0:22 - 0:24Umemfanya nini?
-
0:24 - 0:27Nimempa maumivu mgongoni mwake.
-
0:27 - 0:31Sawa, wewe ndiye uliyesababisha
ugonjwa mgongoni mwake? -
0:31 - 0:32Ndiyo, mimi ndiye.
-
0:32 - 0:35Wewe ni nani katika mwili huu
uliyesababisha ugonjwa huu? -
0:35 - 0:39Ninatoka upande wa baba.
-
0:39 - 0:43Sitaki afanikiwe.
-
0:43 - 0:47Kwa hivyo sasa hivi, wakati wako katika
mwili huu umefika mwisho. -
0:47 - 0:51Ulimuingizaje? Jinsi gani?
-
0:51 - 0:53Niliingia kwake kupitia ndoto.
-
0:53 - 0:56Kwa hivyo sasa hivi, wewe pepo mwovu,
-
0:56 - 1:07katika jina kuu la Yesu Kristo -
toka! Toka, kwa jina la Yesu! -
1:07 - 1:11Inuka dada yetu huko Zambia.
-
1:11 - 1:14Uko huru kutoka kwenye roho hiyo chafu.
-
1:14 - 1:18Inuka na ujiangalie mwenyewe kwa utukufu wa Mungu.
-
1:18 - 1:20Amina.
-
1:20 - 1:22Asante, Yesu.
-
1:22 - 1:23niko huru.
-
1:23 - 1:24Asante, Yesu.
-
1:26 - 1:31Dada yangu, unakaribishwa sana katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo.
-
1:31 - 1:33Tafadhali, unaweza kutuambia jina lako,
-
1:33 - 1:38unaishi wapi na utushirikishe ushuhuda wako?
-
1:38 - 1:41Jina langu ni Linda, ninatoka Zambia.
-
1:41 - 1:47Nilikuwa nikisumbuliwa na mgongo
kwa karibu miaka miwili. -
1:47 - 1:54Maumivu ya mgongo yaliendelea
kuwa mabaya zaidi na zaidi. -
1:54 - 2:00Niliamua kwenda
hospitali mbalimbali kutafuta usaidizi. -
2:00 - 2:07Nilipendekezwa kupitia
mfululizo wa huduma ya tiba ya kimwili, -
2:07 - 2:12ambayo nilifanya, lakini maumivu yaliendelea.
-
2:12 - 2:21Madaktari walipendekeza niendelee,
lakini maumivu bado yaliendelea. -
2:21 - 2:32Madaktari hatimaye walipendekeza nichukue skana ya MRI lakini sikukubaliana nao.
-
2:32 - 2:38Maumivu ya mgongo yalinizuia
kufanya mambo mengi. -
2:38 - 2:44Mimi ni mwalimu kwa taaluma, hivyo ualimu ukawa mgumu sana kwangu.
-
2:44 - 2:48Kwa sababu sikuweza kuinama
au kukaa kwa muda mrefu. -
2:48 - 2:50Sikuweza kusimama kwa muda mrefu.
-
2:50 - 2:57Sikuweza kufundisha kwa ufanisi kama nilivyokuwa kabla ya kuumwa na mgongo huu.
-
2:57 - 3:01Hata kuokota tu kitu kutoka sakafuni ilikuwa ngumu sana kwangu.
-
3:01 - 3:04Ningesikia uchungu mwingi.
-
3:04 - 3:07Nafasi pekee ambayo
ningestarehe nayo, -
3:07 - 3:09ilikuwa kulala chali tu.
-
3:09 - 3:13Sikuweza kuketi kama jinsi ninavyokaa
sasa hivi. Ilikuwa ngumu sana kwangu. -
3:13 - 3:22Nilihisi maumivu ndani ya kifua changu na sehemu ya kati ya mgongo wangu pia.
-
3:22 - 3:25Kwa kweli iliniathiri sana.
-
3:25 - 3:28Niliamua kuwasiliana na TV ya Moyo wa Mungu
-
3:28 - 3:37kwa sababu niliona jinsi watu katika hali kama zangu walivyoponywa.
-
3:37 - 3:38Baada ya kuwasiliana na TV ya Moyo wa Mungu,
-
3:38 - 3:45Nilialikwa kujiunga na Ibada
Shirikishi ya Maombi pamoja na Ndugu Chris, -
3:45 - 3:48tarehe 21 Oktoba 2023.
-
3:48 - 3:51Wakati wa Ibada Sihirikishi ya Maombi,
-
3:51 - 3:56Nilianza kuomba na kumwomba
Mungu anirehemu. -
3:56 - 4:01Mtu wa Mungu Ndugu Chris
alipokuwa akihubiri Neno, -
4:01 - 4:04Nilihisi joto kali mwili mzima.
-
4:04 - 4:13Alipotuomba tusimame tuombe,
nilipoinuka, mwili wangu ulikuwa ukitetemeka. -
4:13 - 4:16Sikuweza kujizuia.
-
4:16 - 4:21Sikujua kilichokuwa kikitendeka
- nilijipata tu sakafuni. -
4:21 - 4:25Nguvu za Mungu zilijaza
chumba nilichokuwamo. -
4:25 - 4:28Nilianguka chini kwa uwezo wa Mungu.
-
4:28 - 4:34Nilipoinuka, niligundua kwamba
maumivu yote niliyokuwa nayo kwenye uti wa mgongo wangu -
4:34 - 4:37upande wa kulia wa mgongo wangu
yalikuwa yametoweka. -
4:37 - 4:42Nilijaribu kujinyoosha chini ili
kupata kitu kwenye sakafu. -
4:42 - 4:47Niliweza kukichukua kwa urahisi
bila maumivu yoyote. -
4:47 - 4:50Wakati nilipokuwa
nikipata maumivu ya mgongo, -
4:50 - 4:55Sikuweza hata kuvaa visigino au
kuhudhuria mikutano mirefu. -
4:55 - 4:59Madaktari waliniambia kwamba nilipaswa
kufanya kazi kwa saa chache tu -
4:59 - 5:02kwa sababu nilihitaji muda zaidi wa kupumzika.
-
5:02 - 5:08Lakini baada ya Ibada Shirikishi ya Maombi,
nimerejea kwenye majukumu yangu ya kawaida. -
5:08 - 5:10Ninaweza kufanya kazi masaa ya kawaida.
-
5:10 - 5:16Ninaweza kunyoosha, kupinda na kufanya
mambo yote ambayo sikuweza kufanya. -
5:16 - 5:20Kwa hiyo namshukuru Mungu kwamba nilipokea uponyaji wangu.
-
5:20 - 5:24Ninaweza kuinama kwa uhuru na kurudi juu.
-
5:24 - 5:28Ninaweza kuegemea pande zote mbili na nyuma.
-
5:28 - 5:34Hakuna uchungu. Maumivu
yameisha kabisa. Namshukuru Mungu! -
5:34 - 5:35Tunamshukuru Mungu.
-
5:35 - 5:39Je, kuna ushauri wowote ambao ungependa
kuwapa watazamaji wetu? -
5:39 - 5:45Ushauri wangu ni kwamba wakati
unakabiliwa na hali ngumu tofauti, -
5:45 - 5:49Ninataka kukuhimiza
kumewndea Mungu. -
5:49 - 5:53Anaweza kufanya lolote.
Kila kitu kwake kinawezekana. -
5:53 - 5:59Hata unapojiunga na Huduma hii Shirikishi ya Maombi na Ndugu Chris,
-
5:59 - 6:03amini kwamba Mungu atagusa
maisha yako - Mungu anakwenda kukuponya. -
6:03 - 6:09Mungu anaweza kubadilisha hali yoyote
kwa sababu Anaweza kulitenda hilo. -
6:09 - 6:13Kwa hivyo ninataka kukuhimiza
kuamini na kumtumaini Mungu. -
6:13 - 6:16Mungu anaweza kukutendea. Amina!
- Title:
- MAPEPO YATOLEWA KUPITIA ZOOM!
- Description:
-
Nguvu za Mungu HAZIPINGIKI! Tazama ukombozi na uponyaji wenye nguvu ukitukia Ndugu Chris akimwombea mwanamke mmoja nchini Zambia kutoka Studio ya God's Heart TV huko North Wales, Uingereza.
Linda sio tu anapokea ukombozi kutoka kwenye roho za mababu lakini uponyaji kutoka kwenye maumivu makali ya mgongo ambayo yaliathiri sana kazi yake ya kufundisha. Ubarikiwe unaposikiliza ushuhuda wake wa ajabu!
Ili kupokea maombi bila malipo wakati wa Huduma Shirikishi ya Maombi na Ndugu Chris kupitia Zoom, tafadhali wasilisha ombi lako la maombi katika fomu hii kwenye tovuti ya God's Heart TV - https://godsheart.tv/zoom
#Ushuhuda
➡️ Pata Kutiwa Moyo Kila Siku kwenye WhatsApp - https://godsheart.tv/whatsapp/
➡️ Saidia TV ya Moyo wa Mungu kifedha - https://godsheart.tv/financial/
➡️ Habari kuhusu Maombi Shirikishi - https://godsheart.tv/interactive-prayer/
➡️ Jitolee kama Mtafsiri wa TV ya Moyo wa Mungu - https://godsheart.tv/translate/
➡️ Shirikisha ushuhuda wako - https://godsheart.tv/testimony
➡️ Jiunge na Ibada yetu ya Maombi ya Moja kwa Moja Jumamosi ya kwanza ya kila mwezi - https://www.youtube.com/godshearttv/live - Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 06:46
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! |