< Return to Video

MAPEPO YATOLEWA KUPITIA ZOOM!

  • 0:00 - 0:01
    Mwili wangu ulikuwa ukitetemeka.
  • 0:01 - 0:04
    Sikuweza kujizuia.
  • 0:04 - 0:07
    Sikujua nini kilikuwa kinatokea.
  • 0:07 - 0:10
    Nilijikuta tu sakafuni.
  • 0:11 - 0:17
    Katika jina kuu la Yesu Kristo.
  • 0:17 - 0:20
    Zungumza! Wewe ni nani?
  • 0:20 - 0:22
    Wewe ni nani? Zungumza sasa hivi!
  • 0:22 - 0:24
    Umemfanya nini?
  • 0:24 - 0:27
    Nimempa maumivu mgongoni mwake.
  • 0:27 - 0:31
    Sawa, wewe ndiye uliyesababisha
    ugonjwa mgongoni mwake?
  • 0:31 - 0:32
    Ndiyo, mimi ndiye.
  • 0:32 - 0:35
    Wewe ni nani katika mwili huu
    uliyesababisha ugonjwa huu?
  • 0:35 - 0:39
    Ninatoka upande wa baba.
  • 0:39 - 0:43
    Sitaki afanikiwe.
  • 0:43 - 0:47
    Kwa hivyo sasa hivi, wakati wako katika
    mwili huu umefika mwisho.
  • 0:47 - 0:51
    Ulimuingizaje? Jinsi gani?
  • 0:51 - 0:53
    Niliingia kwake kupitia ndoto.
  • 0:53 - 0:56
    Kwa hivyo sasa hivi, wewe pepo mwovu,
  • 0:56 - 1:07
    katika jina kuu la Yesu Kristo -
    toka! Toka, kwa jina la Yesu!
  • 1:07 - 1:11
    Inuka dada yetu huko Zambia.
  • 1:11 - 1:14
    Uko huru kutoka kwenye roho hiyo chafu.
  • 1:14 - 1:18
    Inuka na ujiangalie mwenyewe kwa utukufu wa Mungu.
  • 1:18 - 1:20
    Amina.
  • 1:20 - 1:22
    Asante, Yesu.
  • 1:22 - 1:23
    niko huru.
  • 1:23 - 1:24
    Asante, Yesu.
  • 1:26 - 1:31
    Dada yangu, unakaribishwa sana katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo.
  • 1:31 - 1:33
    Tafadhali, unaweza kutuambia jina lako,
  • 1:33 - 1:38
    unaishi wapi na utushirikishe ushuhuda wako?
  • 1:38 - 1:41
    Jina langu ni Linda, ninatoka Zambia.
  • 1:41 - 1:47
    Nilikuwa nikisumbuliwa na mgongo
    kwa karibu miaka miwili.
  • 1:47 - 1:54
    Maumivu ya mgongo yaliendelea
    kuwa mabaya zaidi na zaidi.
  • 1:54 - 2:00
    Niliamua kwenda
    hospitali mbalimbali kutafuta usaidizi.
  • 2:00 - 2:07
    Nilipendekezwa kupitia
    mfululizo wa huduma ya tiba ya kimwili,
  • 2:07 - 2:12
    ambayo nilifanya, lakini maumivu yaliendelea.
  • 2:12 - 2:21
    Madaktari walipendekeza niendelee,
    lakini maumivu bado yaliendelea.
  • 2:21 - 2:32
    Madaktari hatimaye walipendekeza nichukue skana ya MRI lakini sikukubaliana nao.
  • 2:32 - 2:38
    Maumivu ya mgongo yalinizuia
    kufanya mambo mengi.
  • 2:38 - 2:44
    Mimi ni mwalimu kwa taaluma, hivyo ualimu ukawa mgumu sana kwangu.
  • 2:44 - 2:48
    Kwa sababu sikuweza kuinama
    au kukaa kwa muda mrefu.
  • 2:48 - 2:50
    Sikuweza kusimama kwa muda mrefu.
  • 2:50 - 2:57
    Sikuweza kufundisha kwa ufanisi kama nilivyokuwa kabla ya kuumwa na mgongo huu.
  • 2:57 - 3:01
    Hata kuokota tu kitu kutoka sakafuni ilikuwa ngumu sana kwangu.
  • 3:01 - 3:04
    Ningesikia uchungu mwingi.
  • 3:04 - 3:07
    Nafasi pekee ambayo
    ningestarehe nayo,
  • 3:07 - 3:09
    ilikuwa kulala chali tu.
  • 3:09 - 3:13
    Sikuweza kuketi kama jinsi ninavyokaa
    sasa hivi. Ilikuwa ngumu sana kwangu.
  • 3:13 - 3:22
    Nilihisi maumivu ndani ya kifua changu na sehemu ya kati ya mgongo wangu pia.
  • 3:22 - 3:25
    Kwa kweli iliniathiri sana.
  • 3:25 - 3:28
    Niliamua kuwasiliana na TV ya Moyo wa Mungu
  • 3:28 - 3:37
    kwa sababu niliona jinsi watu katika hali kama zangu walivyoponywa.
  • 3:37 - 3:38
    Baada ya kuwasiliana na TV ya Moyo wa Mungu,
  • 3:38 - 3:45
    Nilialikwa kujiunga na Interactive
    Ibada ya Maombi pamoja na Ndugu Chris,
  • 3:45 - 3:48
    tarehe 21 Oktoba 2023.
  • 3:48 - 3:51
    Wakati wa Ibada ya Maingiliano ya Maombi,
  • 3:51 - 3:56
    Nilianza kuomba na kumwomba
    Mungu anirehemu.
  • 3:56 - 4:01
    Mtu wa Mungu Ndugu Chris
    alipokuwa akishiriki Neno,
  • 4:01 - 4:04
    Nilihisi joto kali mwili mzima.
  • 4:04 - 4:13
    Alipotuomba tusimame tuombe,
    nilipoinuka, mwili wangu ulikuwa ukitetemeka.
  • 4:13 - 4:16
    Sikuweza kujizuia.
  • 4:16 - 4:21
    Sikujua kilichokuwa kikitendeka
    - nilijipata tu sakafuni.
  • 4:21 - 4:25
    Nguvu za Mungu zilijaza
    chumba nilichokuwamo.
  • 4:25 - 4:28
    Nilianguka chini kwa uwezo wa Mungu.
  • 4:28 - 4:34
    Nilipoinuka, niligundua kwamba
    maumivu yote niliyokuwa nayo kwenye uti wa mgongo wangu
  • 4:34 - 4:37
    upande wa kulia wa mgongo wangu
    ulikuwa umetoweka.
  • 4:37 - 4:42
    Nilijaribu kunyoosha chini ili
    kupata kitu kwenye sakafu.
  • 4:42 - 4:47
    Niliweza kuichukua kwa urahisi
    bila maumivu yoyote.
  • 4:47 - 4:50
    Wakati nilipokuwa
    nikipata maumivu ya mgongo,
  • 4:50 - 4:55
    Sikuweza hata kuvaa visigino au
    kuhudhuria mikutano mirefu.
  • 4:55 - 4:59
    Madaktari waliniambia kwamba nilipaswa
    kufanya kazi kwa saa chache tu
  • 4:59 - 5:02
    kwa sababu nilihitaji muda zaidi wa kupumzika.
  • 5:02 - 5:08
    Lakini baada ya Ibada ya Kuingiliana ya Maombi,
    nimerejea kwenye majukumu yangu ya kawaida.
  • 5:08 - 5:10
    Ninaweza kufanya kazi masaa ya kawaida.
  • 5:10 - 5:16
    Ninaweza kunyoosha, kupinda na kufanya
    mambo yote ambayo sikuweza kufanya.
  • 5:16 - 5:20
    Kwa hiyo namshukuru Mungu kwamba nilipokea uponyaji wangu.
  • 5:20 - 5:24
    Ninaweza kuinama kwa uhuru na kurudi juu.
  • 5:24 - 5:28
    Ninaweza kuegemea pande zote mbili na nyuma.
  • 5:28 - 5:34
    Hakuna uchungu. Maumivu
    yameisha kabisa. Namshukuru Mungu!
  • 5:34 - 5:35
    Tunamshukuru Mungu.
  • 5:35 - 5:39
    Je, kuna ushauri wowote ambao ungependa
    kuwapa watazamaji wetu?
  • 5:39 - 5:45
    Ushauri wangu ni kwamba wakati
    unakabiliwa na hali ngumu tofauti,
  • 5:45 - 5:49
    Ninataka kukuhimiza
    kufikia kwa Mungu.
  • 5:49 - 5:53
    Anaweza kufanya lolote.
    Kila kitu kwake kinawezekana.
  • 5:53 - 5:59
    Hata unapojiunga na Huduma hii ya Kuingiliana ya Maombi na Ndugu Chris,
  • 5:59 - 6:03
    amini kwamba Mungu atagusa
    maisha yako - Mungu anakwenda kukuponya.
  • 6:03 - 6:09
    Mungu anaweza kubadilisha hali yoyote
    kwa sababu Anaweza kuifanya.
  • 6:09 - 6:13
    Kwa hivyo ninataka kukuhimiza
    kuamini na kumtumaini Mungu.
  • 6:13 - 6:16
    Mungu anaweza kukufanyia. Amina!
Title:
MAPEPO YATOLEWA KUPITIA ZOOM!
Description:

Nguvu zake mungu haikataliki! tazama kuwekwa huru yenye nguvu kuu na uponyaji yafanyika na ndugu Chris anaomwombea mama kutoka zambia akiwa studioni mwa Gods heart Tv upande ya kazkazini mwa wales kule uingereza.

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
06:46

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions