MAPEPO YATOLEWA KUPITIA ZOOM!
-
0:00 - 0:01Mwili wangu ulikuwa unatetema
-
0:01 - 0:04singejizuia mwenyewe
-
0:04 - 0:08sikujua ni nini ilikuwa inafanyika
-
0:08 - 0:10nilijikuta sakafuni
-
0:12 - 0:18katika jina kuu la Yesu Kristu
-
0:18 - 0:21Ongea Wewe ni nani?
-
0:21 - 0:22Wewe ni nani? Ongea sasa hivi!
-
0:22 - 0:25Umefanya nini maishani mwake?
-
0:25 - 0:28Nimempa maumivu mgongoni.
-
0:28 - 0:31sawa. Wewe ndiwe chanzo cha ugonjwa mgongoni mwake?
-
0:31 - 0:33Ndio. NI mimi.
-
0:33 - 0:36Wewe ni nani kwenye mwili huu unaosababisha magonjwa?
-
0:36 - 0:39mimi nimetoka upande wa kina baba.\
-
0:39 - 0:44Sitaki afaulu.
-
0:44 - 0:47sasa hivi, muda wako umeisha mwilini huu umekamilika.
-
0:47 - 0:51uliingiaje ndani yake? vipi?
-
0:51 - 0:54niliingia kupitia ndoto.
-
0:54 - 0:56sasa hivi, wewe pepo mwovu,
-
0:56 - 1:08katika jina la yesu kristu - toka nje? katika jina la Yesu!
-
1:08 - 1:12inuka dada kutoka Zambia.
-
1:12 - 1:14umewekwa huru kutoka kwa huo pepo mwovu!
-
1:14 - 1:18inuka na ujiangalia kwa utukufu wa mungu.
-
1:18 - 1:21Amina.
-
1:21 - 1:22Asante Yesu
-
1:22 - 1:24Niko huru
-
1:24 - 1:25asante Yesu
-
1:26 - 1:31Dada yangu umekaribishwa katika jina la yesu Kristu
-
1:31 - 1:34Tafadhali, utuambie jina lako
-
1:34 - 1:38unaishi wapi na tafadhali toa ushuhuda wako kwetu?
-
1:38 - 1:42Kwa majina naitwa Linda, kutoka Zambia.
-
1:42 - 1:48nilikuwa naumia mgongoni karibu miaka miwili
-
1:48 - 1:54maumivu hayo iliendelea kuwa makali sana
-
1:54 - 2:01niliamua kwenda hospitali nyingine kutafuta matibabu
-
2:01 - 2:07nikaambiwa nipewe ratiba za tiba za mwili,
-
2:07 - 2:13niliyafanya lakini maumivu yaliongezeka
-
2:13 - 2:22madaktari waliamua niendelee lakini machungu yalizidi
-
2:22 - 2:32madaktari hatimaye wakasema niende wafanye usikivu wa sumaku na kuwaza lakini nilikataa
-
2:32 - 2:39maumivu yalinizuia kufanya mambo mengi
-
2:39 - 2:44mimi ni mwalimu kwa hivyo kufunza ilikuwa ngumu
-
2:44 - 2:49kwa sababu singeinama ama niketi kwa muda
-
2:49 - 2:51singesimama kwa muda mrefu
-
2:51 - 2:58singefunza vizuri kama hapo awali
-
2:58 - 3:02kuinama kuchukua kitu chini ilikuwa shida sana kwangu
-
3:02 - 3:04nigehisi maumivu mengi
-
3:04 - 3:07ningekuwa sawa tu
-
3:07 - 3:09ninapolala kwa mgongo
-
3:09 - 3:14singeketi kama ninavyokaa sasa. ilikuwa ngumu sana
-
3:14 - 3:22nilihisi uchungu kifuani na katikati ya uti wa mgongo pia
-
3:22 - 3:25iliathiri sana
-
3:25 - 3:29niamua kutazama televisheni ya Gods Heart
-
3:29 - 3:37kwa sababu niliona watu wakiwa na shida kama yangu wakiponywa
-
3:37 - 3:39nilipoongea na watu wa Gods heart tv
-
3:39 - 3:46nilialikwa kuungana na Ndugu chris kwa maombi ya pamoja
-
3:46 - 3:49tarehe 21 oktoba 2023
-
3:49 - 3:52wakati wa maombi ya pamoja
-
3:52 - 3:56nilianzakuomba na kuuliza mungu awe na huruma kwnagu
-
3:56 - 4:01kama mtumishi wa mungu Ndugu Chris alipokuwa akuhubiri
-
4:01 - 4:05nilihisi joto mwilini mwangu
-
4:05 - 4:13alipotuuliza tusimame tombe, nilipokuwa naamka mwili ulianza kutingika
-
4:13 - 4:16sikuweza kujizuia mwenyewe
-
4:16 - 4:22sikujua kilichokuwa kikitendeka - nilijikuta chini
-
4:22 - 4:26nguvu za mungu ilijaa chumbani niliyokuwa
-
4:26 - 4:28nguvu za mungu zilijaa chumbani
-
4:28 - 4:34nilianguka kwa nguvu za mungu
-
4:34 - 4:38nilipoamka niligundua kuwa machungu yalipotea mgongoni
-
4:38 - 4:42upande wa kuume mgongoni mwangu ilipotea
-
4:42 - 4:48nilijaribu kujinyosha kutoka chini
-
4:48 - 4:50niliamka bila shida yoyote
-
4:50 - 4:55wakati nilipokuwa na machungu hapo mbeleni
-
4:55 - 5:00singeweza kuvaa viatu ya juu ama kukaa kwa mikutano kwa muda mrefu
-
5:00 - 5:03madaktari waliniambia nafaa kufanya kazi tu masaa machache
-
5:03 - 5:08kwa sababu nilifaa kupumzika
-
5:08 - 5:11lakini baada ya maombi ya pamoja nimerudi kwa kazi yangu kawaida
-
5:11 - 5:17nafanya kazi masaa ya kawaida
-
5:17 - 5:20ninaweza kunyosha , kuinama na kufanya mambo ambayo singeweza kufanya
-
5:20 - 5:24nashukuru mungu kwa kupokea uponyaji
-
5:24 - 5:28naweza kuinama na kurudi kwa urahisi
-
5:28 - 5:34naweza kuinama upande zote na kurudi
-
5:34 - 5:35hakuna uchungu. yameisha kabisa. nashukuru mungu!
-
5:35 - 5:40twashukuru mungu
-
5:40 - 5:46je kuna wosia lolote ungependa kuwapa watazamaji wetu?
-
5:46 - 5:49wosia wangu kwao ni kuwa unapokumbana na matatizo magumu
-
5:49 - 5:54nataka nikutie moyo umtafute mungu
-
5:54 - 5:59anaweza kufanya lolote. kila jambo kwake linawezekana.
-
5:59 - 6:04hata unapoungana na pamoja nasi kwa maombi ya pamoja, na ndugu Chris
-
6:04 - 6:09amini kuwa mungu anaenda kuguza maisha yako - Mungu anaenda kukuponya
-
6:09 - 6:13mungu anaweza kubadili jambo lolote kwa kuwa anaweza kutenda.
-
6:13 - 6:16kwa hivyo nataka kuwatia moyo na muamini mungu
-
Not Syncedmungu anaweza kukutendea. Amina!
- Title:
- MAPEPO YATOLEWA KUPITIA ZOOM!
- Description:
-
Nguvu zake mungu haikataliki! tazama kuwekwa huru yenye nguvu kuu na uponyaji yafanyika na ndugu Chris anaomwombea mama kutoka zambia akiwa studioni mwa Gods heart Tv upande ya kazkazini mwa wales kule uingereza.
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 06:46
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for DEMONS CAST OUT Through ZOOM! |