Mwili wangu ulikuwa unatetema
singejizuia mwenyewe
sikujua ni nini ilikuwa inafanyika
nilijikuta sakafuni
katika jina kuu la Yesu Kristu
Ongea Wewe ni nani?
Wewe ni nani? Ongea sasa hivi!
Umefanya nini maishani mwake?
Nimempa maumivu mgongoni.
sawa. Wewe ndiwe chanzo cha ugonjwa mgongoni mwake?
Ndio. NI mimi.
Wewe ni nani kwenye mwili huu unaosababisha magonjwa?
mimi nimetoka upande wa kina baba.\
Sitaki afaulu.
sasa hivi, muda wako umeisha mwilini huu umekamilika.
uliingiaje ndani yake? vipi?
niliingia kupitia ndoto.
sasa hivi, wewe pepo mwovu,
katika jina la yesu kristu - toka nje? katika jina la Yesu!
inuka dada kutoka Zambia.
umewekwa huru kutoka kwa huo pepo mwovu!
inuka na ujiangalia kwa utukufu wa mungu.
Amina.
Asante Yesu
Niko huru
asante Yesu
Dada yangu umekaribishwa katika jina la yesu Kristu
Tafadhali, utuambie jina lako
unaishi wapi na tafadhali toa ushuhuda wako kwetu?
Kwa majina naitwa Linda, kutoka Zambia.
nilikuwa naumia mgongoni karibu miaka miwili
maumivu hayo iliendelea kuwa makali sana
niliamua kwenda hospitali nyingine kutafuta matibabu
nikaambiwa nipewe ratiba za tiba za mwili,
niliyafanya lakini maumivu yaliongezeka
madaktari waliamua niendelee lakini machungu yalizidi
madaktari hatimaye wakasema niende wafanye usikivu wa sumaku na kuwaza lakini nilikataa
maumivu yalinizuia kufanya mambo mengi
mimi ni mwalimu kwa hivyo kufunza ilikuwa ngumu
kwa sababu singeinama ama niketi kwa muda
singesimama kwa muda mrefu
singefunza vizuri kama hapo awali
kuinama kuchukua kitu chini ilikuwa shida sana kwangu
nigehisi maumivu mengi
ningekuwa sawa tu
ninapolala kwa mgongo
singeketi kama ninavyokaa sasa. ilikuwa ngumu sana
nilihisi uchungu kifuani na katikati ya uti wa mgongo pia
iliathiri sana
niamua kutazama televisheni ya Gods Heart
kwa sababu niliona watu wakiwa na shida kama yangu wakiponywa
nilipoongea na watu wa Gods heart tv
nilialikwa kuungana na Ndugu chris kwa maombi ya pamoja
tarehe 21 oktoba 2023
wakati wa maombi ya pamoja
nilianzakuomba na kuuliza mungu awe na huruma kwnagu
kama mtumishi wa mungu Ndugu Chris alipokuwa akuhubiri
nilihisi joto mwilini mwangu
alipotuuliza tusimame tombe, nilipokuwa naamka mwili ulianza kutingika
sikuweza kujizuia mwenyewe
sikujua kilichokuwa kikitendeka - nilijikuta chini
nguvu za mungu ilijaa chumbani niliyokuwa
nguvu za mungu zilijaa chumbani
nilianguka kwa nguvu za mungu
nilipoamka niligundua kuwa machungu yalipotea mgongoni
upande wa kuume mgongoni mwangu ilipotea
nilijaribu kujinyosha kutoka chini
niliamka bila shida yoyote
wakati nilipokuwa na machungu hapo mbeleni
singeweza kuvaa viatu ya juu ama kukaa kwa mikutano kwa muda mrefu
madaktari waliniambia nafaa kufanya kazi tu masaa machache
kwa sababu nilifaa kupumzika
lakini baada ya maombi ya pamoja nimerudi kwa kazi yangu kawaida
nafanya kazi masaa ya kawaida
ninaweza kunyosha , kuinama na kufanya mambo ambayo singeweza kufanya
nashukuru mungu kwa kupokea uponyaji
naweza kuinama na kurudi kwa urahisi
naweza kuinama upande zote na kurudi
hakuna uchungu. yameisha kabisa. nashukuru mungu!
twashukuru mungu
je kuna wosia lolote ungependa kuwapa watazamaji wetu?
wosia wangu kwao ni kuwa unapokumbana na matatizo magumu
nataka nikutie moyo umtafute mungu
anaweza kufanya lolote. kila jambo kwake linawezekana.
hata unapoungana na pamoja nasi kwa maombi ya pamoja, na ndugu Chris
amini kuwa mungu anaenda kuguza maisha yako - Mungu anaenda kukuponya
mungu anaweza kubadili jambo lolote kwa kuwa anaweza kutenda.
kwa hivyo nataka kuwatia moyo na muamini mungu
mungu anaweza kukutendea. Amina!