WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:01.320 Mwili wangu ulikuwa unatetema 00:00:01.320 --> 00:00:04.200 singejizuia mwenyewe 00:00:04.200 --> 00:00:07.680 sikujua ni nini ilikuwa inafanyika 00:00:07.680 --> 00:00:10.080 nilijikuta sakafuni 00:00:11.800 --> 00:00:17.920 katika jina kuu la Yesu Kristu 00:00:17.920 --> 00:00:20.760 Ongea Wewe ni nani? 00:00:20.760 --> 00:00:22.400 Wewe ni nani? Ongea sasa hivi! 00:00:22.400 --> 00:00:24.560 Umefanya nini maishani mwake? 00:00:24.560 --> 00:00:27.560 Nimempa maumivu mgongoni. 00:00:27.560 --> 00:00:31.320 sawa. Wewe ndiwe chanzo cha ugonjwa mgongoni mwake? 00:00:31.320 --> 00:00:32.560 Ndio. NI mimi. 00:00:32.560 --> 00:00:35.520 Wewe ni nani kwenye mwili huu unaosababisha magonjwa? 00:00:35.520 --> 00:00:39.400 mimi nimetoka upande wa kina baba.\ 00:00:39.400 --> 00:00:43.760 Sitaki afaulu. 00:00:43.760 --> 00:00:47.400 sasa hivi, muda wako umeisha mwilini huu umekamilika. 00:00:47.400 --> 00:00:51.400 uliingiaje ndani yake? vipi? 00:00:51.400 --> 00:00:53.640 niliingia kupitia ndoto. 00:00:53.640 --> 00:00:56.240 sasa hivi, wewe pepo mwovu, 00:00:56.240 --> 00:01:07.880 katika jina la yesu kristu - toka nje? katika jina la Yesu! 00:01:07.880 --> 00:01:11.680 inuka dada kutoka Zambia. 00:01:11.680 --> 00:01:14.160 umewekwa huru kutoka kwa huo pepo mwovu! 00:01:14.160 --> 00:01:18.440 inuka na ujiangalia kwa utukufu wa mungu. 00:01:18.440 --> 00:01:20.800 Amina. 00:01:20.800 --> 00:01:22.200 Asante Yesu 00:01:22.200 --> 00:01:23.840 Niko huru 00:01:23.840 --> 00:01:24.840 asante Yesu 00:01:26.480 --> 00:01:31.000 Dada yangu umekaribishwa katika jina la yesu Kristu 00:01:31.000 --> 00:01:33.800 Tafadhali, utuambie jina lako 00:01:33.800 --> 00:01:38.240 unaishi wapi na tafadhali toa ushuhuda wako kwetu? 00:01:38.240 --> 00:01:41.920 Kwa majina naitwa Linda, kutoka Zambia. 00:01:41.920 --> 00:01:47.600 nilikuwa naumia mgongoni karibu miaka miwili 00:01:47.600 --> 00:01:54.400 maumivu hayo iliendelea kuwa makali sana 00:01:54.400 --> 00:02:00.640 niliamua kwenda hospitali nyingine kutafuta matibabu 00:02:00.640 --> 00:02:07.120 nikaambiwa nipewe ratiba za tiba za mwili, 00:02:07.120 --> 00:02:12.880 niliyafanya lakini maumivu yaliongezeka 00:02:12.880 --> 00:02:21.840 madaktari waliamua niendelee lakini machungu yalizidi 00:02:21.840 --> 00:02:32.320 madaktari hatimaye wakasema niende wafanye usikivu wa sumaku na kuwaza lakini nilikataa 00:02:32.320 --> 00:02:38.720 maumivu yalinizuia kufanya mambo mengi 00:02:38.720 --> 00:02:44.040 mimi ni mwalimu kwa hivyo kufunza ilikuwa ngumu 00:02:44.040 --> 00:02:48.520 kwa sababu singeinama ama niketi kwa muda 00:02:48.520 --> 00:02:50.800 singesimama kwa muda mrefu 00:02:50.800 --> 00:02:57.800 singefunza vizuri kama hapo awali 00:02:57.800 --> 00:03:01.880 kuinama kuchukua kitu chini ilikuwa shida sana kwangu 00:03:01.880 --> 00:03:04.240 nigehisi maumivu mengi 00:03:04.240 --> 00:03:07.080 ningekuwa sawa tu 00:03:07.080 --> 00:03:09.200 ninapolala kwa mgongo 00:03:09.200 --> 00:03:13.880 singeketi kama ninavyokaa sasa. ilikuwa ngumu sana 00:03:13.880 --> 00:03:22.400 nilihisi uchungu kifuani na katikati ya uti wa mgongo pia 00:03:22.400 --> 00:03:25.200 iliathiri sana 00:03:25.200 --> 00:03:28.920 niamua kutazama televisheni ya Gods Heart 00:03:28.920 --> 00:03:37.040 kwa sababu niliona watu wakiwa na shida kama yangu wakiponywa 00:03:37.040 --> 00:03:38.920 nilipoongea na watu wa Gods heart tv 00:03:38.920 --> 00:03:45.920 nilialikwa kuungana na Ndugu chris kwa maombi ya pamoja 00:03:45.920 --> 00:03:48.800 tarehe 21 oktoba 2023 00:03:48.800 --> 00:03:51.520 wakati wa maombi ya pamoja 00:03:51.520 --> 00:03:56.480 nilianzakuomba na kuuliza mungu awe na huruma kwnagu 00:03:56.480 --> 00:04:01.000 kama mtumishi wa mungu Ndugu Chris alipokuwa akuhubiri 00:04:01.000 --> 00:04:04.800 nilihisi joto mwilini mwangu 00:04:04.800 --> 00:04:13.120 alipotuuliza tusimame tombe, nilipokuwa naamka mwili ulianza kutingika 00:04:13.120 --> 00:04:16.000 sikuweza kujizuia mwenyewe 00:04:16.000 --> 00:04:21.840 sikujua kilichokuwa kikitendeka - nilijikuta chini 00:04:21.840 --> 00:04:25.600 nguvu za mungu ilijaa chumbani niliyokuwa 00:04:25.600 --> 00:04:28.400 nguvu za mungu zilijaa chumbani 00:04:28.400 --> 00:04:34.040 nilianguka kwa nguvu za mungu 00:04:34.040 --> 00:04:37.920 nilipoamka niligundua kuwa machungu yalipotea mgongoni 00:04:37.920 --> 00:04:42.000 upande wa kuume mgongoni mwangu ilipotea 00:04:42.000 --> 00:04:47.560 nilijaribu kujinyosha kutoka chini 00:04:47.560 --> 00:04:50.240 niliamka bila shida yoyote 00:04:50.240 --> 00:04:55.080 wakati nilipokuwa na machungu hapo mbeleni 00:04:55.080 --> 00:04:59.680 singeweza kuvaa viatu ya juu ama kukaa kwa mikutano kwa muda mrefu 00:04:59.680 --> 00:05:02.720 madaktari waliniambia nafaa kufanya kazi tu masaa machache 00:05:02.720 --> 00:05:08.000 kwa sababu nilifaa kupumzika 00:05:08.000 --> 00:05:10.880 lakini baada ya maombi ya pamoja nimerudi kwa kazi yangu kawaida 00:05:10.880 --> 00:05:16.920 nafanya kazi masaa ya kawaida 00:05:16.920 --> 00:05:20.240 ninaweza kunyosha , kuinama na kufanya mambo ambayo singeweza kufanya 00:05:20.240 --> 00:05:24.240 nashukuru mungu kwa kupokea uponyaji 00:05:24.240 --> 00:05:28.240 naweza kuinama na kurudi kwa urahisi 00:05:28.240 --> 00:05:34.360 naweza kuinama upande zote na kurudi 00:05:34.360 --> 00:05:35.400 hakuna uchungu. yameisha kabisa. nashukuru mungu! 00:05:35.400 --> 00:05:39.920 twashukuru mungu 00:05:39.920 --> 00:05:45.520 je kuna wosia lolote ungependa kuwapa watazamaji wetu? 00:05:45.520 --> 00:05:49.200 wosia wangu kwao ni kuwa unapokumbana na matatizo magumu 00:05:49.200 --> 00:05:53.760 nataka nikutie moyo umtafute mungu 00:05:53.760 --> 00:05:59.120 anaweza kufanya lolote. kila jambo kwake linawezekana. 00:05:59.120 --> 00:06:03.960 hata unapoungana na pamoja nasi kwa maombi ya pamoja, na ndugu Chris 00:06:03.960 --> 00:06:09.120 amini kuwa mungu anaenda kuguza maisha yako - Mungu anaenda kukuponya 00:06:09.120 --> 00:06:13.080 mungu anaweza kubadili jambo lolote kwa kuwa anaweza kutenda. 00:06:13.080 --> 00:06:16.440 kwa hivyo nataka kuwatia moyo na muamini mungu 99:59:59.999 --> 99:59:59.999 mungu anaweza kukutendea. Amina!