0:00:00.000,0:00:01.320 Mwili wangu ulikuwa unatetema 0:00:01.320,0:00:04.200 singejizuia mwenyewe 0:00:04.200,0:00:07.680 sikujua ni nini ilikuwa inafanyika 0:00:07.680,0:00:10.080 nilijikuta sakafuni 0:00:11.800,0:00:17.920 katika jina kuu la Yesu Kristu 0:00:17.920,0:00:20.760 Ongea Wewe ni nani? 0:00:20.760,0:00:22.400 Wewe ni nani? Ongea sasa hivi! 0:00:22.400,0:00:24.560 Umefanya nini maishani mwake? 0:00:24.560,0:00:27.560 Nimempa maumivu mgongoni. 0:00:27.560,0:00:31.320 sawa. Wewe ndiwe chanzo cha ugonjwa mgongoni mwake? 0:00:31.320,0:00:32.560 Ndio. NI mimi. 0:00:32.560,0:00:35.520 Wewe ni nani kwenye mwili huu unaosababisha magonjwa? 0:00:35.520,0:00:39.400 mimi nimetoka upande wa kina baba.\ 0:00:39.400,0:00:43.760 Sitaki afaulu. 0:00:43.760,0:00:47.400 sasa hivi, muda wako umeisha mwilini huu umekamilika. 0:00:47.400,0:00:51.400 uliingiaje ndani yake? vipi? 0:00:51.400,0:00:53.640 niliingia kupitia ndoto. 0:00:53.640,0:00:56.240 sasa hivi, wewe pepo mwovu, 0:00:56.240,0:01:07.880 katika jina la yesu kristu - toka nje? katika jina la Yesu! 0:01:07.880,0:01:11.680 inuka dada kutoka Zambia. 0:01:11.680,0:01:14.160 umewekwa huru kutoka kwa huo pepo mwovu! 0:01:14.160,0:01:18.440 inuka na ujiangalia kwa utukufu wa mungu. 0:01:18.440,0:01:20.800 Amina. 0:01:20.800,0:01:22.200 Asante Yesu 0:01:22.200,0:01:23.840 Niko huru 0:01:23.840,0:01:24.840 asante Yesu 0:01:26.480,0:01:31.000 Dada yangu umekaribishwa katika jina la yesu Kristu 0:01:31.000,0:01:33.800 Tafadhali, utuambie jina lako 0:01:33.800,0:01:38.240 unaishi wapi na tafadhali toa ushuhuda wako kwetu? 0:01:38.240,0:01:41.920 Kwa majina naitwa Linda, kutoka Zambia. 0:01:41.920,0:01:47.600 nilikuwa naumia mgongoni karibu miaka miwili 0:01:47.600,0:01:54.400 maumivu hayo iliendelea kuwa makali sana 0:01:54.400,0:02:00.640 niliamua kwenda hospitali nyingine kutafuta matibabu 0:02:00.640,0:02:07.120 nikaambiwa nipewe ratiba za tiba za mwili, 0:02:07.120,0:02:12.880 niliyafanya lakini maumivu yaliongezeka 0:02:12.880,0:02:21.840 madaktari waliamua niendelee lakini machungu yalizidi 0:02:21.840,0:02:32.320 madaktari hatimaye wakasema niende wafanye usikivu wa sumaku na kuwaza lakini nilikataa 0:02:32.320,0:02:38.720 maumivu yalinizuia kufanya mambo mengi 0:02:38.720,0:02:44.040 mimi ni mwalimu kwa hivyo kufunza ilikuwa ngumu 0:02:44.040,0:02:48.520 kwa sababu singeinama ama niketi kwa muda 0:02:48.520,0:02:50.800 singesimama kwa muda mrefu 0:02:50.800,0:02:57.800 singefunza vizuri kama hapo awali 0:02:57.800,0:03:01.880 kuinama kuchukua kitu chini ilikuwa shida sana kwangu 0:03:01.880,0:03:04.240 nigehisi maumivu mengi 0:03:04.240,0:03:07.080 ningekuwa sawa tu 0:03:07.080,0:03:09.200 ninapolala kwa mgongo 0:03:09.200,0:03:13.880 singeketi kama ninavyokaa sasa. ilikuwa ngumu sana 0:03:13.880,0:03:22.400 nilihisi uchungu kifuani na katikati ya uti wa mgongo pia 0:03:22.400,0:03:25.200 iliathiri sana 0:03:25.200,0:03:28.920 niamua kutazama televisheni ya Gods Heart 0:03:28.920,0:03:37.040 kwa sababu niliona watu wakiwa na shida kama yangu wakiponywa 0:03:37.040,0:03:38.920 nilipoongea na watu wa Gods heart tv 0:03:38.920,0:03:45.920 nilialikwa kuungana na Ndugu chris kwa maombi ya pamoja 0:03:45.920,0:03:48.800 tarehe 21 oktoba 2023 0:03:48.800,0:03:51.520 wakati wa maombi ya pamoja 0:03:51.520,0:03:56.480 nilianzakuomba na kuuliza mungu awe na huruma kwnagu 0:03:56.480,0:04:01.000 kama mtumishi wa mungu Ndugu Chris alipokuwa akuhubiri 0:04:01.000,0:04:04.800 nilihisi joto mwilini mwangu 0:04:04.800,0:04:13.120 alipotuuliza tusimame tombe, nilipokuwa naamka mwili ulianza kutingika 0:04:13.120,0:04:16.000 sikuweza kujizuia mwenyewe 0:04:16.000,0:04:21.840 sikujua kilichokuwa kikitendeka - nilijikuta chini 0:04:21.840,0:04:25.600 nguvu za mungu ilijaa chumbani niliyokuwa 0:04:25.600,0:04:28.400 nguvu za mungu zilijaa chumbani 0:04:28.400,0:04:34.040 nilianguka kwa nguvu za mungu 0:04:34.040,0:04:37.920 nilipoamka niligundua kuwa machungu yalipotea mgongoni 0:04:37.920,0:04:42.000 upande wa kuume mgongoni mwangu ilipotea 0:04:42.000,0:04:47.560 nilijaribu kujinyosha kutoka chini 0:04:47.560,0:04:50.240 niliamka bila shida yoyote 0:04:50.240,0:04:55.080 wakati nilipokuwa na machungu hapo mbeleni 0:04:55.080,0:04:59.680 singeweza kuvaa viatu ya juu ama kukaa kwa mikutano kwa muda mrefu 0:04:59.680,0:05:02.720 madaktari waliniambia nafaa kufanya kazi tu masaa machache 0:05:02.720,0:05:08.000 kwa sababu nilifaa kupumzika 0:05:08.000,0:05:10.880 lakini baada ya maombi ya pamoja nimerudi kwa kazi yangu kawaida 0:05:10.880,0:05:16.920 nafanya kazi masaa ya kawaida 0:05:16.920,0:05:20.240 ninaweza kunyosha , kuinama na kufanya mambo ambayo singeweza kufanya 0:05:20.240,0:05:24.240 nashukuru mungu kwa kupokea uponyaji 0:05:24.240,0:05:28.240 naweza kuinama na kurudi kwa urahisi 0:05:28.240,0:05:34.360 naweza kuinama upande zote na kurudi 0:05:34.360,0:05:35.400 hakuna uchungu. yameisha kabisa. nashukuru mungu! 0:05:35.400,0:05:39.920 twashukuru mungu 0:05:39.920,0:05:45.520 je kuna wosia lolote ungependa kuwapa watazamaji wetu? 0:05:45.520,0:05:49.200 wosia wangu kwao ni kuwa unapokumbana na matatizo magumu 0:05:49.200,0:05:53.760 nataka nikutie moyo umtafute mungu 0:05:53.760,0:05:59.120 anaweza kufanya lolote. kila jambo kwake linawezekana. 0:05:59.120,0:06:03.960 hata unapoungana na pamoja nasi kwa maombi ya pamoja, na ndugu Chris 0:06:03.960,0:06:09.120 amini kuwa mungu anaenda kuguza maisha yako - Mungu anaenda kukuponya 0:06:09.120,0:06:13.080 mungu anaweza kubadili jambo lolote kwa kuwa anaweza kutenda. 0:06:13.080,0:06:16.440 kwa hivyo nataka kuwatia moyo na muamini mungu 9:59:59.000,9:59:59.000 mungu anaweza kukutendea. Amina!