1 00:00:00,000 --> 00:00:01,000 Mwili wangu ulikuwa ukitetemeka. 2 00:00:01,000 --> 00:00:04,000 Sikuweza kujizuia. 3 00:00:04,000 --> 00:00:07,000 Sikujua nini kilikuwa kinatokea. 4 00:00:07,000 --> 00:00:10,000 Nilijikuta tu sakafuni. 5 00:00:11,000 --> 00:00:17,000 Katika jina kuu la Yesu Kristo. 6 00:00:17,000 --> 00:00:20,000 Zungumza! Wewe ni nani? 7 00:00:20,000 --> 00:00:22,000 Wewe ni nani? Zungumza sasa hivi! 8 00:00:22,000 --> 00:00:24,000 Umemfanya nini? 9 00:00:24,000 --> 00:00:27,000 Nimempa maumivu mgongoni mwake. 10 00:00:27,000 --> 00:00:31,000 Sawa, wewe ndiye uliyesababisha ugonjwa mgongoni mwake? 11 00:00:31,000 --> 00:00:32,000 Ndiyo, mimi ndiye. 12 00:00:32,000 --> 00:00:35,000 Wewe ni nani katika mwili huu uliyesababisha ugonjwa huu? 13 00:00:35,000 --> 00:00:39,000 Ninatoka upande wa baba. 14 00:00:39,000 --> 00:00:43,000 Sitaki afanikiwe. 15 00:00:43,000 --> 00:00:47,000 Kwa hivyo sasa hivi, wakati wako katika mwili huu umefika mwisho. 16 00:00:47,000 --> 00:00:51,000 Ulimuingizaje? Jinsi gani? 17 00:00:51,000 --> 00:00:53,000 Niliingia kwake kupitia ndoto. 18 00:00:53,000 --> 00:00:56,000 Kwa hivyo sasa hivi, wewe pepo mwovu, 19 00:00:56,000 --> 00:01:07,000 katika jina kuu la Yesu Kristo - toka! Toka, kwa jina la Yesu! 20 00:01:07,000 --> 00:01:11,000 Inuka dada yetu huko Zambia. 21 00:01:11,000 --> 00:01:14,000 Uko huru kutoka kwenye roho hiyo chafu. 22 00:01:14,000 --> 00:01:18,000 Inuka na ujiangalie mwenyewe kwa utukufu wa Mungu. 23 00:01:18,000 --> 00:01:20,000 Amina. 24 00:01:20,000 --> 00:01:22,000 Asante, Yesu. 25 00:01:22,000 --> 00:01:23,000 niko huru. 26 00:01:23,000 --> 00:01:24,000 Asante, Yesu. 27 00:01:26,000 --> 00:01:31,000 Dada yangu, unakaribishwa sana katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. 28 00:01:31,000 --> 00:01:33,000 Tafadhali, unaweza kutuambia jina lako, 29 00:01:33,000 --> 00:01:38,000 unaishi wapi na utushirikishe ushuhuda wako? 30 00:01:38,000 --> 00:01:41,000 Jina langu ni Linda, ninatoka Zambia. 31 00:01:41,000 --> 00:01:47,000 Nilikuwa nikisumbuliwa na mgongo kwa karibu miaka miwili. 32 00:01:47,000 --> 00:01:54,000 Maumivu ya mgongo yaliendelea kuwa mabaya zaidi na zaidi. 33 00:01:54,000 --> 00:02:00,000 Niliamua kwenda hospitali mbalimbali kutafuta usaidizi. 34 00:02:00,000 --> 00:02:07,000 Nilipendekezwa kupitia mfululizo wa huduma ya tiba ya kimwili, 35 00:02:07,000 --> 00:02:12,000 ambayo nilifanya, lakini maumivu yaliendelea. 36 00:02:12,000 --> 00:02:21,000 Madaktari walipendekeza niendelee, lakini maumivu bado yaliendelea. 37 00:02:21,000 --> 00:02:32,000 Madaktari hatimaye walipendekeza nichukue skana ya MRI lakini sikukubaliana nao. 38 00:02:32,000 --> 00:02:38,000 Maumivu ya mgongo yalinizuia kufanya mambo mengi. 39 00:02:38,000 --> 00:02:44,000 Mimi ni mwalimu kwa taaluma, hivyo ualimu ukawa mgumu sana kwangu. 40 00:02:44,000 --> 00:02:48,000 Kwa sababu sikuweza kuinama au kukaa kwa muda mrefu. 41 00:02:48,000 --> 00:02:50,000 Sikuweza kusimama kwa muda mrefu. 42 00:02:50,000 --> 00:02:57,000 Sikuweza kufundisha kwa ufanisi kama nilivyokuwa kabla ya kuumwa na mgongo huu. 43 00:02:57,000 --> 00:03:01,000 Hata kuokota tu kitu kutoka sakafuni ilikuwa ngumu sana kwangu. 44 00:03:01,000 --> 00:03:04,000 Ningesikia uchungu mwingi. 45 00:03:04,000 --> 00:03:07,000 Nafasi pekee ambayo ningestarehe nayo, 46 00:03:07,000 --> 00:03:09,000 ilikuwa kulala chali tu. 47 00:03:09,000 --> 00:03:13,000 Sikuweza kuketi kama jinsi ninavyokaa sasa hivi. Ilikuwa ngumu sana kwangu. 48 00:03:13,000 --> 00:03:22,000 Nilihisi maumivu ndani ya kifua changu na sehemu ya kati ya mgongo wangu pia. 49 00:03:22,000 --> 00:03:25,000 Kwa kweli iliniathiri sana. 50 00:03:25,000 --> 00:03:28,000 Niliamua kuwasiliana na TV ya Moyo wa Mungu 51 00:03:28,000 --> 00:03:37,000 kwa sababu niliona jinsi watu katika hali kama zangu walivyoponywa. 52 00:03:37,000 --> 00:03:38,000 Baada ya kuwasiliana na TV ya Moyo wa Mungu, 53 00:03:38,000 --> 00:03:45,000 Nilialikwa kujiunga na Ibada Shirikishi ya Maombi pamoja na Ndugu Chris, 54 00:03:45,000 --> 00:03:48,000 tarehe 21 Oktoba 2023. 55 00:03:48,000 --> 00:03:51,000 Wakati wa Ibada Sihirikishi ya Maombi, 56 00:03:51,000 --> 00:03:56,000 Nilianza kuomba na kumwomba Mungu anirehemu. 57 00:03:56,000 --> 00:04:01,000 Mtu wa Mungu Ndugu Chris alipokuwa akihubiri Neno, 58 00:04:01,000 --> 00:04:04,000 Nilihisi joto kali mwili mzima. 59 00:04:04,000 --> 00:04:13,000 Alipotuomba tusimame tuombe, nilipoinuka, mwili wangu ulikuwa ukitetemeka. 60 00:04:13,000 --> 00:04:16,000 Sikuweza kujizuia. 61 00:04:16,000 --> 00:04:21,000 Sikujua kilichokuwa kikitendeka - nilijipata tu sakafuni. 62 00:04:21,000 --> 00:04:25,000 Nguvu za Mungu zilijaza chumba nilichokuwamo. 63 00:04:25,000 --> 00:04:28,000 Nilianguka chini kwa uwezo wa Mungu. 64 00:04:28,000 --> 00:04:34,000 Nilipoinuka, niligundua kwamba maumivu yote niliyokuwa nayo kwenye uti wa mgongo wangu 65 00:04:34,000 --> 00:04:37,000 upande wa kulia wa mgongo wangu yalikuwa yametoweka. 66 00:04:37,000 --> 00:04:42,000 Nilijaribu kujinyoosha chini ili kupata kitu kwenye sakafu. 67 00:04:42,000 --> 00:04:47,000 Niliweza kukichukua kwa urahisi bila maumivu yoyote. 68 00:04:47,000 --> 00:04:50,000 Wakati nilipokuwa nikipata maumivu ya mgongo, 69 00:04:50,000 --> 00:04:55,000 Sikuweza hata kuvaa visigino au kuhudhuria mikutano mirefu. 70 00:04:55,000 --> 00:04:59,000 Madaktari waliniambia kwamba nilipaswa kufanya kazi kwa saa chache tu 71 00:04:59,000 --> 00:05:02,000 kwa sababu nilihitaji muda zaidi wa kupumzika. 72 00:05:02,000 --> 00:05:08,000 Lakini baada ya Ibada Shirikishi ya Maombi, nimerejea kwenye majukumu yangu ya kawaida. 73 00:05:08,000 --> 00:05:10,000 Ninaweza kufanya kazi masaa ya kawaida. 74 00:05:10,000 --> 00:05:16,000 Ninaweza kunyoosha, kupinda na kufanya mambo yote ambayo sikuweza kufanya. 75 00:05:16,000 --> 00:05:20,000 Kwa hiyo namshukuru Mungu kwamba nilipokea uponyaji wangu. 76 00:05:20,000 --> 00:05:24,000 Ninaweza kuinama kwa uhuru na kurudi juu. 77 00:05:24,000 --> 00:05:28,000 Ninaweza kuegemea pande zote mbili na nyuma. 78 00:05:28,000 --> 00:05:34,000 Hakuna uchungu. Maumivu yameisha kabisa. Namshukuru Mungu! 79 00:05:34,000 --> 00:05:35,000 Tunamshukuru Mungu. 80 00:05:35,000 --> 00:05:39,000 Je, kuna ushauri wowote ambao ungependa kuwapa watazamaji wetu? 81 00:05:39,000 --> 00:05:45,000 Ushauri wangu ni kwamba wakati unakabiliwa na hali ngumu tofauti, 82 00:05:45,000 --> 00:05:49,000 Ninataka kukuhimiza kumewndea Mungu. 83 00:05:49,000 --> 00:05:53,000 Anaweza kufanya lolote. Kila kitu kwake kinawezekana. 84 00:05:53,000 --> 00:05:59,000 Hata unapojiunga na Huduma hii Shirikishi ya Maombi na Ndugu Chris, 85 00:05:59,000 --> 00:06:03,000 amini kwamba Mungu atagusa maisha yako - Mungu anakwenda kukuponya. 86 00:06:03,000 --> 00:06:09,000 Mungu anaweza kubadilisha hali yoyote kwa sababu Anaweza kulitenda hilo. 87 00:06:09,000 --> 00:06:13,000 Kwa hivyo ninataka kukuhimiza kuamini na kumtumaini Mungu. 88 00:06:13,000 --> 00:06:16,000 Mungu anaweza kukutendea. Amina!