WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:01.000 Mwili wangu ulikuwa ukitetemeka. 00:00:01.000 --> 00:00:04.000 Sikuweza kujizuia. 00:00:04.000 --> 00:00:07.000 Sikujua nini kilikuwa kinatokea. 00:00:07.000 --> 00:00:10.000 Nilijikuta tu sakafuni. 00:00:11.000 --> 00:00:17.000 Katika jina kuu la Yesu Kristo. 00:00:17.000 --> 00:00:20.000 Zungumza! Wewe ni nani? 00:00:20.000 --> 00:00:22.000 Wewe ni nani? Zungumza sasa hivi! 00:00:22.000 --> 00:00:24.000 Umemfanya nini? 00:00:24.000 --> 00:00:27.000 Nimempa maumivu mgongoni mwake. 00:00:27.000 --> 00:00:31.000 Sawa, wewe ndiye uliyesababisha ugonjwa mgongoni mwake? 00:00:31.000 --> 00:00:32.000 Ndiyo, mimi ndiye. 00:00:32.000 --> 00:00:35.000 Wewe ni nani katika mwili huu uliyesababisha ugonjwa huu? 00:00:35.000 --> 00:00:39.000 Ninatoka upande wa baba. 00:00:39.000 --> 00:00:43.000 Sitaki afanikiwe. 00:00:43.000 --> 00:00:47.000 Kwa hivyo sasa hivi, wakati wako katika mwili huu umefika mwisho. 00:00:47.000 --> 00:00:51.000 Ulimuingizaje? Jinsi gani? 00:00:51.000 --> 00:00:53.000 Niliingia kwake kupitia ndoto. 00:00:53.000 --> 00:00:56.000 Kwa hivyo sasa hivi, wewe pepo mwovu, 00:00:56.000 --> 00:01:07.000 katika jina kuu la Yesu Kristo - toka! Toka, kwa jina la Yesu! 00:01:07.000 --> 00:01:11.000 Inuka dada yetu huko Zambia. 00:01:11.000 --> 00:01:14.000 Uko huru kutoka kwenye roho hiyo chafu. 00:01:14.000 --> 00:01:18.000 Inuka na ujiangalie mwenyewe kwa utukufu wa Mungu. 00:01:18.000 --> 00:01:20.000 Amina. 00:01:20.000 --> 00:01:22.000 Asante, Yesu. 00:01:22.000 --> 00:01:23.000 niko huru. 00:01:23.000 --> 00:01:24.000 Asante, Yesu. 00:01:26.000 --> 00:01:31.000 Dada yangu, unakaribishwa sana katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. 00:01:31.000 --> 00:01:33.000 Tafadhali, unaweza kutuambia jina lako, 00:01:33.000 --> 00:01:38.000 unaishi wapi na utushirikishe ushuhuda wako? 00:01:38.000 --> 00:01:41.000 Jina langu ni Linda, ninatoka Zambia. 00:01:41.000 --> 00:01:47.000 Nilikuwa nikisumbuliwa na mgongo kwa karibu miaka miwili. 00:01:47.000 --> 00:01:54.000 Maumivu ya mgongo yaliendelea kuwa mabaya zaidi na zaidi. 00:01:54.000 --> 00:02:00.000 Niliamua kwenda hospitali mbalimbali kutafuta usaidizi. 00:02:00.000 --> 00:02:07.000 Nilipendekezwa kupitia mfululizo wa huduma ya tiba ya kimwili, 00:02:07.000 --> 00:02:12.000 ambayo nilifanya, lakini maumivu yaliendelea. 00:02:12.000 --> 00:02:21.000 Madaktari walipendekeza niendelee, lakini maumivu bado yaliendelea. 00:02:21.000 --> 00:02:32.000 Madaktari hatimaye walipendekeza nichukue skana ya MRI lakini sikukubaliana nao. 00:02:32.000 --> 00:02:38.000 Maumivu ya mgongo yalinizuia kufanya mambo mengi. 00:02:38.000 --> 00:02:44.000 Mimi ni mwalimu kwa taaluma, hivyo ualimu ukawa mgumu sana kwangu. 00:02:44.000 --> 00:02:48.000 Kwa sababu sikuweza kuinama au kukaa kwa muda mrefu. 00:02:48.000 --> 00:02:50.000 Sikuweza kusimama kwa muda mrefu. 00:02:50.000 --> 00:02:57.000 Sikuweza kufundisha kwa ufanisi kama nilivyokuwa kabla ya kuumwa na mgongo huu. 00:02:57.000 --> 00:03:01.000 Hata kuokota tu kitu kutoka sakafuni ilikuwa ngumu sana kwangu. 00:03:01.000 --> 00:03:04.000 Ningesikia uchungu mwingi. 00:03:04.000 --> 00:03:07.000 Nafasi pekee ambayo ningestarehe nayo, 00:03:07.000 --> 00:03:09.000 ilikuwa kulala chali tu. 00:03:09.000 --> 00:03:13.000 Sikuweza kuketi kama jinsi ninavyokaa sasa hivi. Ilikuwa ngumu sana kwangu. 00:03:13.000 --> 00:03:22.000 Nilihisi maumivu ndani ya kifua changu na sehemu ya kati ya mgongo wangu pia. 00:03:22.000 --> 00:03:25.000 Kwa kweli iliniathiri sana. 00:03:25.000 --> 00:03:28.000 Niliamua kuwasiliana na TV ya Moyo wa Mungu 00:03:28.000 --> 00:03:37.000 kwa sababu niliona jinsi watu katika hali kama zangu walivyoponywa. 00:03:37.000 --> 00:03:38.000 Baada ya kuwasiliana na TV ya Moyo wa Mungu, 00:03:38.000 --> 00:03:45.000 Nilialikwa kujiunga na Ibada Shirikishi ya Maombi pamoja na Ndugu Chris, 00:03:45.000 --> 00:03:48.000 tarehe 21 Oktoba 2023. 00:03:48.000 --> 00:03:51.000 Wakati wa Ibada Sihirikishi ya Maombi, 00:03:51.000 --> 00:03:56.000 Nilianza kuomba na kumwomba Mungu anirehemu. 00:03:56.000 --> 00:04:01.000 Mtu wa Mungu Ndugu Chris alipokuwa akihubiri Neno, 00:04:01.000 --> 00:04:04.000 Nilihisi joto kali mwili mzima. 00:04:04.000 --> 00:04:13.000 Alipotuomba tusimame tuombe, nilipoinuka, mwili wangu ulikuwa ukitetemeka. 00:04:13.000 --> 00:04:16.000 Sikuweza kujizuia. 00:04:16.000 --> 00:04:21.000 Sikujua kilichokuwa kikitendeka - nilijipata tu sakafuni. 00:04:21.000 --> 00:04:25.000 Nguvu za Mungu zilijaza chumba nilichokuwamo. 00:04:25.000 --> 00:04:28.000 Nilianguka chini kwa uwezo wa Mungu. 00:04:28.000 --> 00:04:34.000 Nilipoinuka, niligundua kwamba maumivu yote niliyokuwa nayo kwenye uti wa mgongo wangu 00:04:34.000 --> 00:04:37.000 upande wa kulia wa mgongo wangu yalikuwa yametoweka. 00:04:37.000 --> 00:04:42.000 Nilijaribu kujinyoosha chini ili kupata kitu kwenye sakafu. 00:04:42.000 --> 00:04:47.000 Niliweza kukichukua kwa urahisi bila maumivu yoyote. 00:04:47.000 --> 00:04:50.000 Wakati nilipokuwa nikipata maumivu ya mgongo, 00:04:50.000 --> 00:04:55.000 Sikuweza hata kuvaa visigino au kuhudhuria mikutano mirefu. 00:04:55.000 --> 00:04:59.000 Madaktari waliniambia kwamba nilipaswa kufanya kazi kwa saa chache tu 00:04:59.000 --> 00:05:02.000 kwa sababu nilihitaji muda zaidi wa kupumzika. 00:05:02.000 --> 00:05:08.000 Lakini baada ya Ibada Shirikishi ya Maombi, nimerejea kwenye majukumu yangu ya kawaida. 00:05:08.000 --> 00:05:10.000 Ninaweza kufanya kazi masaa ya kawaida. 00:05:10.000 --> 00:05:16.000 Ninaweza kunyoosha, kupinda na kufanya mambo yote ambayo sikuweza kufanya. 00:05:16.000 --> 00:05:20.000 Kwa hiyo namshukuru Mungu kwamba nilipokea uponyaji wangu. 00:05:20.000 --> 00:05:24.000 Ninaweza kuinama kwa uhuru na kurudi juu. 00:05:24.000 --> 00:05:28.000 Ninaweza kuegemea pande zote mbili na nyuma. 00:05:28.000 --> 00:05:34.000 Hakuna uchungu. Maumivu yameisha kabisa. Namshukuru Mungu! 00:05:34.000 --> 00:05:35.000 Tunamshukuru Mungu. 00:05:35.000 --> 00:05:39.000 Je, kuna ushauri wowote ambao ungependa kuwapa watazamaji wetu? 00:05:39.000 --> 00:05:45.000 Ushauri wangu ni kwamba wakati unakabiliwa na hali ngumu tofauti, 00:05:45.000 --> 00:05:49.000 Ninataka kukuhimiza kumewndea Mungu. 00:05:49.000 --> 00:05:53.000 Anaweza kufanya lolote. Kila kitu kwake kinawezekana. 00:05:53.000 --> 00:05:59.000 Hata unapojiunga na Huduma hii Shirikishi ya Maombi na Ndugu Chris, 00:05:59.000 --> 00:06:03.000 amini kwamba Mungu atagusa maisha yako - Mungu anakwenda kukuponya. 00:06:03.000 --> 00:06:09.000 Mungu anaweza kubadilisha hali yoyote kwa sababu Anaweza kulitenda hilo. 00:06:09.000 --> 00:06:13.000 Kwa hivyo ninataka kukuhimiza kuamini na kumtumaini Mungu. 00:06:13.000 --> 00:06:16.000 Mungu anaweza kukutendea. Amina!