[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:01.00,Default,,0000,0000,0000,,Mwili wangu ulikuwa ukitetemeka. Dialogue: 0,0:00:01.00,0:00:04.00,Default,,0000,0000,0000,,Sikuweza kujizuia. Dialogue: 0,0:00:04.00,0:00:07.00,Default,,0000,0000,0000,,Sikujua nini kilikuwa kinatokea. Dialogue: 0,0:00:07.00,0:00:10.00,Default,,0000,0000,0000,,Nilijikuta tu sakafuni. Dialogue: 0,0:00:11.00,0:00:17.00,Default,,0000,0000,0000,,Katika jina kuu la Yesu Kristo. Dialogue: 0,0:00:17.00,0:00:20.00,Default,,0000,0000,0000,,Zungumza! Wewe ni nani? Dialogue: 0,0:00:20.00,0:00:22.00,Default,,0000,0000,0000,,Wewe ni nani? Zungumza sasa hivi! Dialogue: 0,0:00:22.00,0:00:24.00,Default,,0000,0000,0000,,Umemfanya nini? Dialogue: 0,0:00:24.00,0:00:27.00,Default,,0000,0000,0000,,Nimempa maumivu mgongoni mwake. Dialogue: 0,0:00:27.00,0:00:31.00,Default,,0000,0000,0000,,Sawa, wewe ndiye uliyesababisha \Nugonjwa mgongoni mwake? Dialogue: 0,0:00:31.00,0:00:32.00,Default,,0000,0000,0000,,Ndiyo, mimi ndiye. Dialogue: 0,0:00:32.00,0:00:35.00,Default,,0000,0000,0000,,Wewe ni nani katika mwili huu\Nuliyesababisha ugonjwa huu? Dialogue: 0,0:00:35.00,0:00:39.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninatoka upande wa baba. Dialogue: 0,0:00:39.00,0:00:43.00,Default,,0000,0000,0000,,Sitaki afanikiwe. Dialogue: 0,0:00:43.00,0:00:47.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo sasa hivi, wakati wako katika\Nmwili huu umefika mwisho. Dialogue: 0,0:00:47.00,0:00:51.00,Default,,0000,0000,0000,,Ulimuingizaje? Jinsi gani? Dialogue: 0,0:00:51.00,0:00:53.00,Default,,0000,0000,0000,,Niliingia kwake kupitia ndoto. Dialogue: 0,0:00:53.00,0:00:56.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo sasa hivi, wewe pepo mwovu, Dialogue: 0,0:00:56.00,0:01:07.00,Default,,0000,0000,0000,,katika jina kuu la Yesu Kristo - \Ntoka! Toka, kwa jina la Yesu! Dialogue: 0,0:01:07.00,0:01:11.00,Default,,0000,0000,0000,,Inuka dada yetu huko Zambia. Dialogue: 0,0:01:11.00,0:01:14.00,Default,,0000,0000,0000,,Uko huru kutoka kwenye roho hiyo chafu. Dialogue: 0,0:01:14.00,0:01:18.00,Default,,0000,0000,0000,,Inuka na ujiangalie mwenyewe kwa utukufu wa Mungu. Dialogue: 0,0:01:18.00,0:01:20.00,Default,,0000,0000,0000,,Amina. Dialogue: 0,0:01:20.00,0:01:22.00,Default,,0000,0000,0000,,Asante, Yesu. Dialogue: 0,0:01:22.00,0:01:23.00,Default,,0000,0000,0000,,niko huru. Dialogue: 0,0:01:23.00,0:01:24.00,Default,,0000,0000,0000,,Asante, Yesu. Dialogue: 0,0:01:26.00,0:01:31.00,Default,,0000,0000,0000,,Dada yangu, unakaribishwa sana katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo. Dialogue: 0,0:01:31.00,0:01:33.00,Default,,0000,0000,0000,,Tafadhali, unaweza kutuambia jina lako, Dialogue: 0,0:01:33.00,0:01:38.00,Default,,0000,0000,0000,,unaishi wapi na utushirikishe ushuhuda wako? Dialogue: 0,0:01:38.00,0:01:41.00,Default,,0000,0000,0000,,Jina langu ni Linda, ninatoka Zambia. Dialogue: 0,0:01:41.00,0:01:47.00,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa nikisumbuliwa na mgongo \Nkwa karibu miaka miwili. Dialogue: 0,0:01:47.00,0:01:54.00,Default,,0000,0000,0000,,Maumivu ya mgongo yaliendelea \Nkuwa mabaya zaidi na zaidi. Dialogue: 0,0:01:54.00,0:02:00.00,Default,,0000,0000,0000,,Niliamua kwenda \Nhospitali mbalimbali kutafuta usaidizi. Dialogue: 0,0:02:00.00,0:02:07.00,Default,,0000,0000,0000,,Nilipendekezwa kupitia \Nmfululizo wa huduma ya tiba ya kimwili, Dialogue: 0,0:02:07.00,0:02:12.00,Default,,0000,0000,0000,,ambayo nilifanya, lakini maumivu yaliendelea. Dialogue: 0,0:02:12.00,0:02:21.00,Default,,0000,0000,0000,,Madaktari walipendekeza niendelee,\Nlakini maumivu bado yaliendelea. Dialogue: 0,0:02:21.00,0:02:32.00,Default,,0000,0000,0000,,Madaktari hatimaye walipendekeza nichukue skana ya MRI lakini sikukubaliana nao. Dialogue: 0,0:02:32.00,0:02:38.00,Default,,0000,0000,0000,,Maumivu ya mgongo yalinizuia \Nkufanya mambo mengi. Dialogue: 0,0:02:38.00,0:02:44.00,Default,,0000,0000,0000,,Mimi ni mwalimu kwa taaluma, hivyo ualimu ukawa mgumu sana kwangu. Dialogue: 0,0:02:44.00,0:02:48.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu sikuweza kuinama \Nau kukaa kwa muda mrefu. Dialogue: 0,0:02:48.00,0:02:50.00,Default,,0000,0000,0000,,Sikuweza kusimama kwa muda mrefu. Dialogue: 0,0:02:50.00,0:02:57.00,Default,,0000,0000,0000,,Sikuweza kufundisha kwa ufanisi kama nilivyokuwa kabla ya kuumwa na mgongo huu. Dialogue: 0,0:02:57.00,0:03:01.00,Default,,0000,0000,0000,,Hata kuokota tu kitu kutoka sakafuni ilikuwa ngumu sana kwangu. Dialogue: 0,0:03:01.00,0:03:04.00,Default,,0000,0000,0000,,Ningesikia uchungu mwingi. Dialogue: 0,0:03:04.00,0:03:07.00,Default,,0000,0000,0000,,Nafasi pekee ambayo \Nningestarehe nayo, Dialogue: 0,0:03:07.00,0:03:09.00,Default,,0000,0000,0000,,ilikuwa kulala chali tu. Dialogue: 0,0:03:09.00,0:03:13.00,Default,,0000,0000,0000,,Sikuweza kuketi kama jinsi ninavyokaa \Nsasa hivi. Ilikuwa ngumu sana kwangu. Dialogue: 0,0:03:13.00,0:03:22.00,Default,,0000,0000,0000,,Nilihisi maumivu ndani ya kifua changu na sehemu ya kati ya mgongo wangu pia. Dialogue: 0,0:03:22.00,0:03:25.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa kweli iliniathiri sana. Dialogue: 0,0:03:25.00,0:03:28.00,Default,,0000,0000,0000,,Niliamua kuwasiliana na TV ya Moyo wa Mungu Dialogue: 0,0:03:28.00,0:03:37.00,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu niliona jinsi watu katika hali kama zangu walivyoponywa. Dialogue: 0,0:03:37.00,0:03:38.00,Default,,0000,0000,0000,,Baada ya kuwasiliana na TV ya Moyo wa Mungu, Dialogue: 0,0:03:38.00,0:03:45.00,Default,,0000,0000,0000,,Nilialikwa kujiunga na Ibada \NShirikishi ya Maombi pamoja na Ndugu Chris, Dialogue: 0,0:03:45.00,0:03:48.00,Default,,0000,0000,0000,,tarehe 21 Oktoba 2023. Dialogue: 0,0:03:48.00,0:03:51.00,Default,,0000,0000,0000,,Wakati wa Ibada Sihirikishi ya Maombi, Dialogue: 0,0:03:51.00,0:03:56.00,Default,,0000,0000,0000,,Nilianza kuomba na kumwomba \NMungu anirehemu. Dialogue: 0,0:03:56.00,0:04:01.00,Default,,0000,0000,0000,,Mtu wa Mungu Ndugu Chris \Nalipokuwa akihubiri Neno, Dialogue: 0,0:04:01.00,0:04:04.00,Default,,0000,0000,0000,,Nilihisi joto kali mwili mzima. Dialogue: 0,0:04:04.00,0:04:13.00,Default,,0000,0000,0000,,Alipotuomba tusimame tuombe, \Nnilipoinuka, mwili wangu ulikuwa ukitetemeka. Dialogue: 0,0:04:13.00,0:04:16.00,Default,,0000,0000,0000,,Sikuweza kujizuia. Dialogue: 0,0:04:16.00,0:04:21.00,Default,,0000,0000,0000,,Sikujua kilichokuwa kikitendeka\N- nilijipata tu sakafuni. Dialogue: 0,0:04:21.00,0:04:25.00,Default,,0000,0000,0000,,Nguvu za Mungu zilijaza \Nchumba nilichokuwamo. Dialogue: 0,0:04:25.00,0:04:28.00,Default,,0000,0000,0000,,Nilianguka chini kwa uwezo wa Mungu. Dialogue: 0,0:04:28.00,0:04:34.00,Default,,0000,0000,0000,,Nilipoinuka, niligundua kwamba \Nmaumivu yote niliyokuwa nayo kwenye uti wa mgongo wangu Dialogue: 0,0:04:34.00,0:04:37.00,Default,,0000,0000,0000,,upande wa kulia wa mgongo wangu \Nyalikuwa yametoweka. Dialogue: 0,0:04:37.00,0:04:42.00,Default,,0000,0000,0000,,Nilijaribu kujinyoosha chini ili\Nkupata kitu kwenye sakafu. Dialogue: 0,0:04:42.00,0:04:47.00,Default,,0000,0000,0000,,Niliweza kukichukua kwa urahisi \Nbila maumivu yoyote. Dialogue: 0,0:04:47.00,0:04:50.00,Default,,0000,0000,0000,,Wakati nilipokuwa \Nnikipata maumivu ya mgongo, Dialogue: 0,0:04:50.00,0:04:55.00,Default,,0000,0000,0000,,Sikuweza hata kuvaa visigino au \Nkuhudhuria mikutano mirefu. Dialogue: 0,0:04:55.00,0:04:59.00,Default,,0000,0000,0000,,Madaktari waliniambia kwamba nilipaswa \Nkufanya kazi kwa saa chache tu Dialogue: 0,0:04:59.00,0:05:02.00,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu nilihitaji muda zaidi wa kupumzika. Dialogue: 0,0:05:02.00,0:05:08.00,Default,,0000,0000,0000,,Lakini baada ya Ibada Shirikishi ya Maombi, \Nnimerejea kwenye majukumu yangu ya kawaida. Dialogue: 0,0:05:08.00,0:05:10.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza kufanya kazi masaa ya kawaida. Dialogue: 0,0:05:10.00,0:05:16.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza kunyoosha, kupinda na kufanya \Nmambo yote ambayo sikuweza kufanya. Dialogue: 0,0:05:16.00,0:05:20.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo namshukuru Mungu kwamba nilipokea uponyaji wangu. Dialogue: 0,0:05:20.00,0:05:24.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza kuinama kwa uhuru na kurudi juu. Dialogue: 0,0:05:24.00,0:05:28.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninaweza kuegemea pande zote mbili na nyuma. Dialogue: 0,0:05:28.00,0:05:34.00,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna uchungu. Maumivu \Nyameisha kabisa. Namshukuru Mungu! Dialogue: 0,0:05:34.00,0:05:35.00,Default,,0000,0000,0000,,Tunamshukuru Mungu. Dialogue: 0,0:05:35.00,0:05:39.00,Default,,0000,0000,0000,,Je, kuna ushauri wowote ambao ungependa\Nkuwapa watazamaji wetu? Dialogue: 0,0:05:39.00,0:05:45.00,Default,,0000,0000,0000,,Ushauri wangu ni kwamba wakati \Nunakabiliwa na hali ngumu tofauti, Dialogue: 0,0:05:45.00,0:05:49.00,Default,,0000,0000,0000,,Ninataka kukuhimiza\Nkumewndea Mungu. Dialogue: 0,0:05:49.00,0:05:53.00,Default,,0000,0000,0000,,Anaweza kufanya lolote. \NKila kitu kwake kinawezekana. Dialogue: 0,0:05:53.00,0:05:59.00,Default,,0000,0000,0000,,Hata unapojiunga na Huduma hii Shirikishi ya Maombi na Ndugu Chris, Dialogue: 0,0:05:59.00,0:06:03.00,Default,,0000,0000,0000,,amini kwamba Mungu atagusa \Nmaisha yako - Mungu anakwenda kukuponya. Dialogue: 0,0:06:03.00,0:06:09.00,Default,,0000,0000,0000,,Mungu anaweza kubadilisha hali yoyote\Nkwa sababu Anaweza kulitenda hilo. Dialogue: 0,0:06:09.00,0:06:13.00,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo ninataka kukuhimiza \Nkuamini na kumtumaini Mungu. Dialogue: 0,0:06:13.00,0:06:16.00,Default,,0000,0000,0000,,Mungu anaweza kukutendea. Amina!