Nilichokigundua katika uchafu wa Jiji la New York
-
0:00 - 0:03Nilikuwa na miaka 10
-
0:03 - 0:04katika tukiwa safari ya kambi na baba yangu
-
0:04 - 0:07Katika milima ya Adirondack, eneo la nyika
-
0:07 - 0:10Kaskazini mwa jimbo la New York.
-
0:10 - 0:11Ilikuwa ni siku nzuri sana.
-
0:11 - 0:13Msitu ulikuwa unang'aa.
-
0:13 - 0:17Jua lilifanya majani yawake kama kioo,
-
0:17 - 0:20na kama si kwa njia tuliyofuata,
-
0:20 - 0:22tungejifanya kama
-
0:22 - 0:25wanadamu wa kwanza kupita eneo lile.
-
0:25 - 0:27tukafika katka eneo letu la kufanyia kambi.
-
0:27 - 0:29ilikuwa ni eneo
-
0:29 - 0:31linalotazama ziwa zuri sana,
-
0:31 - 0:34nilipogundua kitu kibaya.
-
0:34 - 0:37nyuma ya eneo hilo kulikuwa na dampo
-
0:37 - 0:39kama futi za mraba 40
-
0:39 - 0:41likiwa na matufaa yaliyooza
-
0:41 - 0:43na makaratasi ya madini ya aluminium
-
0:43 - 0:45na vitu vilivyokufa,
-
0:45 - 0:47nilishangazwa sana,
-
0:47 - 0:51niliingiwa na hasira, na kuchanganyikiwa pia.
-
0:51 - 0:52Wapiga kambi wazembe
-
0:52 - 0:54walioshindwa kuchukua vile walivyokuja navyo,
-
0:54 - 0:58walifikiri ni nani atakayesafisha kama si wao?
-
0:58 - 1:00Swali hili lilikaa ndani yangu,
-
1:00 - 1:02lilirahisishwa kidogo.
-
1:02 - 1:04nani atakayesafisha baada yetu?
-
1:04 - 1:06vyovyote utakavyofanya
-
1:06 - 1:07au popote utakapotuweka,
-
1:07 - 1:10nani takayesafisha baada yetu Instanbul?
-
1:10 - 1:12nani takayesafisha baada yetu Rio?
-
1:12 - 1:15au Paris na London?
-
1:15 - 1:16Hapa New York,
-
1:16 - 1:19Idara ya Usafi wa mazingira inasafisha baada yetu,
-
1:19 - 1:22kiasi cha tani 11,000 za uchafu
-
1:22 - 1:26na tani 2000 za uchafu wa kuchakatwa kila siku.
-
1:26 - 1:29nilitaka niwajue kama watu binafsi.
-
1:29 - 1:31nilitaka kujua nani anyefanya kazi hii.
-
1:31 - 1:34inakuwaje kuvaa sare
-
1:34 - 1:36na kuchukua mzigo huo?
-
1:36 - 1:38kwa hiyo nikaazisha utafiti nao.
-
1:38 - 1:41nilipanda magari yao na nikaanza kuzunguka nao
-
1:41 - 1:43nikawahoji watu katika ofisi na maeneo mengine
-
1:43 - 1:45kila sehemu ya mji,
-
1:45 - 1:46nilijifunza mengi,
-
1:46 - 1:49lakini bado nilikuwa mtu wa nje tu.
-
1:49 - 1:51nilitaka kujua zaidi.
-
1:51 - 1:54kwa hiyo niomba kazi ya usafi wa mazingira.
-
1:54 - 1:56sikupanda tu magari tena. bali niliyaendesha.
-
1:56 - 2:00nikatumia mafagio ya kwenye magari na nikawa nakusanya barafu.
-
2:00 - 2:01ilikuwa ni neema ya ajabu
-
2:01 - 2:04na elimu moja ya ajabu sana.
-
2:04 - 2:06kila mtu anauliza juu ya harufu.
-
2:06 - 2:09ipo,lakini si kama kali unavyofikiri,
-
2:09 - 2:11na katika siku ambazo inakuwa kali sana,
-
2:11 - 2:13unaizoe mara moja.
-
2:13 - 2:17uzito unachukua muda kuuzoea.
-
2:17 - 2:19Niliwafahamu watu waliokuwa katika kazi miaka kadhaa
-
2:19 - 2:21ambao miili yao ilikuwa inaendelea kuzoea
-
2:21 - 2:24mzigo huo katika miili yao
-
2:24 - 2:27tani za uchafu kila wiki.
-
2:27 - 2:29halafu pia kuna hatari.
-
2:29 - 2:31Kulingana na idara ya takwimu za kazi,
-
2:31 - 2:33Kazi ya usafi wa mazingira ni moja kati ya kazi 10 za hatari sana
-
2:33 - 2:35Katika nchi,
-
2:35 - 2:37na nilijifunza kwa nini.
-
2:37 - 2:38Uko katika foleni kila siku,
-
2:38 - 2:39inakuzunguka
-
2:39 - 2:41wanataka kukupita, kwa hiyo
-
2:41 - 2:43madereva hawajali.
-
2:43 - 2:45hii ni mbaya sana kwa mfanyakazi.
-
2:45 - 2:47na uchafu wenyewe umejaa sumu nyingi
-
2:47 - 2:49ambao unaruka nje ya gari
-
2:49 - 2:51na kusababisha madhara.
-
2:51 - 2:54nikajifunza pia uking'ang'ani wa taka
-
2:54 - 2:56unapushuka
-
2:56 - 2:58na kuuangalia mji kutokea kwenye gari la taka,
-
2:58 - 3:00unaelewa kuwa taka
-
3:00 - 3:03ni kama nguvu ya asili.
-
3:03 - 3:05haiachi kuja.
-
3:05 - 3:09na pia ni kama aina ya upumuaji au mzunguko.
-
3:09 - 3:12lazima iwe katika mwendo wakati wote.
-
3:12 - 3:14halafu tena kuna unyanyapaa.
-
3:14 - 3:17unavaa sare , unakuwa kama hauonekani
-
3:17 - 3:19mpaka mtu anapokasirishwa na kwa sababu kama
-
3:19 - 3:21umezuia magari kwa kutumia gari lako,
-
3:21 - 3:24au umepumzika karibu sana na nyumba yake,
-
3:24 - 3:27au unakunywa kahawa katika sehemu yao ya kulia chakula,
-
3:27 - 3:30watakuja na kukushutumu,
-
3:30 - 3:33na kukwambia hawatak kukuona karibu yao.
-
3:33 - 3:35unyanyapaa huu naona unashangaza sana,
-
3:35 - 3:39kwa sababu naamini kuwa wafanyakazi wa usafi wa mazingira
-
3:39 - 3:40ni wafanyakazi muhimu sana
-
3:40 - 3:43katika mitaa ya mji, kwa sababu tatu.
-
3:43 - 3:46wao ndio walinzi wa kwanza wa afya ya jamii.
-
3:46 - 3:48kama hawakusanyi taka
-
3:48 - 3:51kwa ufanisi na usahihi kila siku,
-
3:51 - 3:53zinaanza kutoka katika sehemu zilizotunzwa
-
3:53 - 3:57na madhara yake yanatutishia wote
-
3:57 - 3:58katika ya halisi kabisa.
-
3:58 - 4:01magonjwa tuliyoyadhibiti kwa miaka mingi
-
4:01 - 4:04yanaibuka tena na kutudhuru.
-
4:04 - 4:06Uchumi unahitaji wanyakazi hawa.
-
4:06 - 4:09Kama hatuwezi kutupa vitu vya zamani,
-
4:09 - 4:11hakuwezi kukawa na nafasi ya vitu vipya,
-
4:11 - 4:13kwa hiyo injini za uchumi
-
4:13 - 4:16zinashindwa kuendelea kwa kuwa hakuna matumizi
-
4:16 - 4:20Sipigii debe ubepari,lakini najaribu kuonyesha uhusiano uliopo.
-
4:20 - 4:22Lakini pia kuna kile nachoita
-
4:22 - 4:26na mwendo wa wastani wetu
-
4:26 - 4:27Na hii namaanisha
-
4:27 - 4:29ni haraka kiasi gani tumezoea kwenda
-
4:29 - 4:31katika siku hizi za sasa.
-
4:31 - 4:37Hatujali ,marekebisho,safi
-
4:37 - 4:39tulichochukua katika kikombe cha kahawa,
-
4:39 - 4:41chupa yetu ya maji.
-
4:41 - 4:44Tunatumia,tunatupa,tunazisahau,
-
4:44 - 4:45Kwa sababu tunajua kuna wafanyakazi
-
4:45 - 4:48upande wa pili wataochukua wote.
-
4:48 - 4:51Sasa nataka nitoe mapendekezo
-
4:51 - 4:55ya kufikiria kuhusu usafi ambayo
-
4:55 - 4:58yatapunguza unyanyapaa
-
4:58 - 5:00na kuwaingiza katika mazungumzo haya
-
5:00 - 5:06ya jinsi ya kuwa na mji unaokua kistaarabu.
-
5:06 - 5:10Kazi yao ni ile inayojirudia rudia.
-
5:10 - 5:12wako mitaani kila siku,
-
5:12 - 5:14Wakiwa na sare zao katika miji mingi
-
5:14 - 5:16Unajua wakati gani wa kuwategemea.
-
5:16 - 5:20Kazi yao inasabisha sisi pia tufanye kazi.
-
5:20 - 5:23Ni kama uhakikisho
-
5:23 - 5:25Ambao unaendelea
-
5:25 - 5:27kutufanya tuwe salama,
-
5:27 - 5:29mbali na uchafu wetu wenyewe
-
5:29 - 5:32na hali lazima iendelezwe kila wakati
-
5:32 - 5:34bila kujali chochote.
-
5:34 - 5:38Siku ya Septemba 11, 2001,
-
5:38 - 5:41Na nilisikia muungurumo wa gari la usafi mtaani,
-
5:41 - 5:43nikamchukua mwanangu mchanga na kukimbilia chini
-
5:43 - 5:46kulikuwa na mtu ambaye alikuwa anachakata karatasi
-
5:46 - 5:48kama afanyavyo kila Jumatano.
-
5:48 - 5:51Na nikawa najaribu kumshukuru kwa kazi yake
-
5:51 - 5:53katika siku hii,
-
5:53 - 5:56lakini nikaanza kulia.
-
5:56 - 5:57akaniangalia,
-
5:57 - 6:01akatingisha kichwa,akisema,
-
6:01 - 6:04"Tutakuwa salama.
-
6:04 - 6:06"Tutakuwa salama."
-
6:06 - 6:08Ilikuwa ni baadae nilipoanza
-
6:08 - 6:09utafiti wangu wa usafi wa mazingira,
-
6:09 - 6:10nikakutana na mtu yule tena.
-
6:10 - 6:13Jina lake ni Paulie,tulifanya kazi pamoja mara nyingi,
-
6:13 - 6:15tulikuwa marafiki wazuri.
-
6:15 - 6:18Nataka kuamini Paulie alikuwa sahihi.
-
6:18 - 6:20Kwamba tutakuwa salama.
-
6:20 - 6:22lakini katika jitahidi zetu za kutengeneza
-
6:22 - 6:25jinsi kama viumbe tutakavyoendelea kuishi katika dunia hii,
-
6:25 - 6:28lazima tuunganishe na kuangalia
-
6:28 - 6:32gharama zote, ikiwemo gharama
-
6:32 - 6:34za kazi.
-
6:34 - 6:37pia tutakuwa na taarifa
-
6:37 - 6:39za kuwafikia watu wanaofanya kazi hizo
-
6:39 - 6:41na kupata utaalam wao
-
6:41 - 6:42jinsi tunavyofikiri kuhusu,
-
6:42 - 6:46kutengeneza mifumo endelevu
-
6:46 - 6:49ambayo inatuchukua kutoka katika uchakataji,
-
6:49 - 6:52ambao ni mafanikio makubwa katika miaka 40,
-
6:52 - 6:55Katika nchi yote ya Marekani, na nchi mbalimbali duniani kote,
-
6:55 - 6:58na kutupeleka juu zaidi
-
6:58 - 7:01ambako tutaangalia aina nyingine za uchafu
-
7:01 - 7:02ambazo zinaweza zikapunguzwa
-
7:02 - 7:05kutoka viwandani.
-
7:05 - 7:09uchafu katika miji, jinsi tunavyofikiri tunapoongelea uchafu,
-
7:09 - 7:13unakaribia asilimia tatu ya uchafu wote katika taifa
-
7:13 - 7:15ni takwimu za kushangaza.
-
7:15 - 7:18katika siku zako,
-
7:18 - 7:19katika maisha yako,
-
7:19 - 7:22utakapomwona mtu ambaye kazi yake ni
-
7:22 - 7:25kufanya usafi,
-
7:25 - 7:28chukua muda kuwatambua.
-
7:28 - 7:32chukua muda wako kuwashukuru.
-
7:32 - 7:36(Makofi)
- Title:
- Nilichokigundua katika uchafu wa Jiji la New York
- Speaker:
- Robin Nagle
- Description:
-
Wakazi wa Jiji la New York, wanatengeneza tani 11,000 za uchafu kila siku.Kila Siku! Takwimu hii ya ajabu ni moja ya sababu iliyomfanya Robin Nagle kufanya utafiti pamoja na idara ya usafi.Alipita njia zao,akaendesha mifagio ya umeme, na hata kuendesha gari la taka yeye mwenyewe- yote haya ili aweze kujibu swali linaloonekana kuwa rahisi lakini gumu: Ni nani anayetakiwa kusafisha baada yetu?
- Video Language:
- English
- Team:
- closed TED
- Project:
- TEDTalks
- Duration:
- 07:52
Joachim Mangilima approved Swahili subtitles for What I discovered in New York City trash | ||
Nelson Simfukwe accepted Swahili subtitles for What I discovered in New York City trash | ||
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for What I discovered in New York City trash | ||
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for What I discovered in New York City trash | ||
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for What I discovered in New York City trash | ||
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for What I discovered in New York City trash | ||
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for What I discovered in New York City trash | ||
Joachim Mangilima edited Swahili subtitles for What I discovered in New York City trash |