1 00:00:00,315 --> 00:00:02,572 Nilikuwa na miaka 10 2 00:00:02,572 --> 00:00:04,271 katika tukiwa safari ya kambi na baba yangu 3 00:00:04,271 --> 00:00:07,031 Katika milima ya Adirondack, eneo la nyika 4 00:00:07,031 --> 00:00:10,026 Kaskazini mwa jimbo la New York. 5 00:00:10,026 --> 00:00:11,467 Ilikuwa ni siku nzuri sana. 6 00:00:11,467 --> 00:00:13,469 Msitu ulikuwa unang'aa. 7 00:00:13,469 --> 00:00:16,993 Jua lilifanya majani yawake kama kioo, 8 00:00:16,993 --> 00:00:20,198 na kama si kwa njia tuliyofuata, 9 00:00:20,198 --> 00:00:21,602 tungejifanya kama 10 00:00:21,602 --> 00:00:25,164 wanadamu wa kwanza kupita eneo lile. 11 00:00:25,164 --> 00:00:26,815 tukafika katka eneo letu la kufanyia kambi. 12 00:00:26,815 --> 00:00:28,782 ilikuwa ni eneo 13 00:00:28,782 --> 00:00:31,478 linalotazama ziwa zuri sana, 14 00:00:31,478 --> 00:00:34,174 nilipogundua kitu kibaya. 15 00:00:34,174 --> 00:00:37,272 nyuma ya eneo hilo kulikuwa na dampo 16 00:00:37,272 --> 00:00:38,730 kama futi za mraba 40 17 00:00:38,730 --> 00:00:41,043 likiwa na matufaa yaliyooza 18 00:00:41,043 --> 00:00:42,790 na makaratasi ya madini ya aluminium 19 00:00:42,790 --> 00:00:44,539 na vitu vilivyokufa, 20 00:00:44,539 --> 00:00:47,110 nilishangazwa sana, 21 00:00:47,110 --> 00:00:50,542 niliingiwa na hasira, na kuchanganyikiwa pia. 22 00:00:50,542 --> 00:00:52,124 Wapiga kambi wazembe 23 00:00:52,124 --> 00:00:54,082 walioshindwa kuchukua vile walivyokuja navyo, 24 00:00:54,082 --> 00:00:57,927 walifikiri ni nani atakayesafisha kama si wao? 25 00:00:57,927 --> 00:00:59,836 Swali hili lilikaa ndani yangu, 26 00:00:59,836 --> 00:01:01,803 lilirahisishwa kidogo. 27 00:01:01,803 --> 00:01:04,179 nani atakayesafisha baada yetu? 28 00:01:04,179 --> 00:01:05,601 vyovyote utakavyofanya 29 00:01:05,601 --> 00:01:07,308 au popote utakapotuweka, 30 00:01:07,308 --> 00:01:09,898 nani takayesafisha baada yetu Instanbul? 31 00:01:09,898 --> 00:01:12,154 nani takayesafisha baada yetu Rio? 32 00:01:12,154 --> 00:01:14,683 au Paris na London? 33 00:01:14,683 --> 00:01:16,255 Hapa New York, 34 00:01:16,255 --> 00:01:18,847 Idara ya Usafi wa mazingira inasafisha baada yetu, 35 00:01:18,847 --> 00:01:21,517 kiasi cha tani 11,000 za uchafu 36 00:01:21,517 --> 00:01:25,879 na tani 2000 za uchafu wa kuchakatwa kila siku. 37 00:01:25,879 --> 00:01:28,512 nilitaka niwajue kama watu binafsi. 38 00:01:28,512 --> 00:01:31,358 nilitaka kujua nani anyefanya kazi hii. 39 00:01:31,358 --> 00:01:33,877 inakuwaje kuvaa sare 40 00:01:33,877 --> 00:01:35,531 na kuchukua mzigo huo? 41 00:01:35,531 --> 00:01:38,184 kwa hiyo nikaazisha utafiti nao. 42 00:01:38,184 --> 00:01:40,723 nilipanda magari yao na nikaanza kuzunguka nao 43 00:01:40,723 --> 00:01:43,132 nikawahoji watu katika ofisi na maeneo mengine 44 00:01:43,132 --> 00:01:44,639 kila sehemu ya mji, 45 00:01:44,639 --> 00:01:46,378 nilijifunza mengi, 46 00:01:46,378 --> 00:01:48,727 lakini bado nilikuwa mtu wa nje tu. 47 00:01:48,727 --> 00:01:50,605 nilitaka kujua zaidi. 48 00:01:50,605 --> 00:01:53,721 kwa hiyo niomba kazi ya usafi wa mazingira. 49 00:01:53,721 --> 00:01:56,368 sikupanda tu magari tena. bali niliyaendesha. 50 00:01:56,368 --> 00:01:59,513 nikatumia mafagio ya kwenye magari na nikawa nakusanya barafu. 51 00:01:59,513 --> 00:02:01,412 ilikuwa ni neema ya ajabu 52 00:02:01,412 --> 00:02:04,019 na elimu moja ya ajabu sana. 53 00:02:04,019 --> 00:02:06,171 kila mtu anauliza juu ya harufu. 54 00:02:06,171 --> 00:02:09,231 ipo,lakini si kama kali unavyofikiri, 55 00:02:09,231 --> 00:02:10,745 na katika siku ambazo inakuwa kali sana, 56 00:02:10,745 --> 00:02:13,421 unaizoe mara moja. 57 00:02:13,421 --> 00:02:16,618 uzito unachukua muda kuuzoea. 58 00:02:16,618 --> 00:02:18,905 Niliwafahamu watu waliokuwa katika kazi miaka kadhaa 59 00:02:18,905 --> 00:02:21,490 ambao miili yao ilikuwa inaendelea kuzoea 60 00:02:21,490 --> 00:02:23,571 mzigo huo katika miili yao 61 00:02:23,571 --> 00:02:26,550 tani za uchafu kila wiki. 62 00:02:26,550 --> 00:02:28,734 halafu pia kuna hatari. 63 00:02:28,734 --> 00:02:31,206 Kulingana na idara ya takwimu za kazi, 64 00:02:31,206 --> 00:02:33,408 Kazi ya usafi wa mazingira ni moja kati ya kazi 10 za hatari sana 65 00:02:33,408 --> 00:02:35,300 Katika nchi, 66 00:02:35,300 --> 00:02:37,051 na nilijifunza kwa nini. 67 00:02:37,051 --> 00:02:38,472 Uko katika foleni kila siku, 68 00:02:38,472 --> 00:02:39,433 inakuzunguka 69 00:02:39,433 --> 00:02:41,317 wanataka kukupita, kwa hiyo 70 00:02:41,317 --> 00:02:43,367 madereva hawajali. 71 00:02:43,367 --> 00:02:45,193 hii ni mbaya sana kwa mfanyakazi. 72 00:02:45,193 --> 00:02:47,353 na uchafu wenyewe umejaa sumu nyingi 73 00:02:47,353 --> 00:02:49,372 ambao unaruka nje ya gari 74 00:02:49,372 --> 00:02:51,453 na kusababisha madhara. 75 00:02:51,453 --> 00:02:54,268 nikajifunza pia uking'ang'ani wa taka 76 00:02:54,268 --> 00:02:55,579 unapushuka 77 00:02:55,579 --> 00:02:58,428 na kuuangalia mji kutokea kwenye gari la taka, 78 00:02:58,428 --> 00:03:00,214 unaelewa kuwa taka 79 00:03:00,214 --> 00:03:02,831 ni kama nguvu ya asili. 80 00:03:02,831 --> 00:03:05,287 haiachi kuja. 81 00:03:05,287 --> 00:03:08,766 na pia ni kama aina ya upumuaji au mzunguko. 82 00:03:08,766 --> 00:03:11,811 lazima iwe katika mwendo wakati wote. 83 00:03:11,811 --> 00:03:13,859 halafu tena kuna unyanyapaa. 84 00:03:13,859 --> 00:03:16,775 unavaa sare , unakuwa kama hauonekani 85 00:03:16,775 --> 00:03:19,079 mpaka mtu anapokasirishwa na kwa sababu kama 86 00:03:19,079 --> 00:03:21,394 umezuia magari kwa kutumia gari lako, 87 00:03:21,394 --> 00:03:24,045 au umepumzika karibu sana na nyumba yake, 88 00:03:24,045 --> 00:03:27,159 au unakunywa kahawa katika sehemu yao ya kulia chakula, 89 00:03:27,159 --> 00:03:29,569 watakuja na kukushutumu, 90 00:03:29,569 --> 00:03:32,831 na kukwambia hawatak kukuona karibu yao. 91 00:03:32,831 --> 00:03:35,263 unyanyapaa huu naona unashangaza sana, 92 00:03:35,263 --> 00:03:38,574 kwa sababu naamini kuwa wafanyakazi wa usafi wa mazingira 93 00:03:38,574 --> 00:03:40,254 ni wafanyakazi muhimu sana 94 00:03:40,254 --> 00:03:43,278 katika mitaa ya mji, kwa sababu tatu. 95 00:03:43,278 --> 00:03:46,060 wao ndio walinzi wa kwanza wa afya ya jamii. 96 00:03:46,060 --> 00:03:48,466 kama hawakusanyi taka 97 00:03:48,466 --> 00:03:50,740 kwa ufanisi na usahihi kila siku, 98 00:03:50,740 --> 00:03:53,451 zinaanza kutoka katika sehemu zilizotunzwa 99 00:03:53,451 --> 00:03:57,177 na madhara yake yanatutishia wote 100 00:03:57,177 --> 00:03:58,351 katika ya halisi kabisa. 101 00:03:58,351 --> 00:04:01,322 magonjwa tuliyoyadhibiti kwa miaka mingi 102 00:04:01,322 --> 00:04:04,228 yanaibuka tena na kutudhuru. 103 00:04:04,228 --> 00:04:05,900 Uchumi unahitaji wanyakazi hawa. 104 00:04:05,900 --> 00:04:08,826 Kama hatuwezi kutupa vitu vya zamani, 105 00:04:08,826 --> 00:04:10,716 hakuwezi kukawa na nafasi ya vitu vipya, 106 00:04:10,716 --> 00:04:12,785 kwa hiyo injini za uchumi 107 00:04:12,785 --> 00:04:15,714 zinashindwa kuendelea kwa kuwa hakuna matumizi 108 00:04:15,714 --> 00:04:19,778 Sipigii debe ubepari,lakini najaribu kuonyesha uhusiano uliopo. 109 00:04:19,778 --> 00:04:21,766 Lakini pia kuna kile nachoita 110 00:04:21,766 --> 00:04:25,978 na mwendo wa wastani wetu 111 00:04:25,978 --> 00:04:27,027 Na hii namaanisha 112 00:04:27,027 --> 00:04:29,279 ni haraka kiasi gani tumezoea kwenda 113 00:04:29,279 --> 00:04:31,411 katika siku hizi za sasa. 114 00:04:31,411 --> 00:04:36,755 Hatujali ,marekebisho,safi 115 00:04:36,755 --> 00:04:39,392 tulichochukua katika kikombe cha kahawa, 116 00:04:39,392 --> 00:04:40,877 chupa yetu ya maji. 117 00:04:40,877 --> 00:04:43,556 Tunatumia,tunatupa,tunazisahau, 118 00:04:43,556 --> 00:04:45,336 Kwa sababu tunajua kuna wafanyakazi 119 00:04:45,336 --> 00:04:48,356 upande wa pili wataochukua wote. 120 00:04:48,356 --> 00:04:50,803 Sasa nataka nitoe mapendekezo 121 00:04:50,803 --> 00:04:55,317 ya kufikiria kuhusu usafi ambayo 122 00:04:55,317 --> 00:04:57,791 yatapunguza unyanyapaa 123 00:04:57,791 --> 00:05:00,022 na kuwaingiza katika mazungumzo haya 124 00:05:00,022 --> 00:05:05,612 ya jinsi ya kuwa na mji unaokua kistaarabu. 125 00:05:05,612 --> 00:05:09,773 Kazi yao ni ile inayojirudia rudia. 126 00:05:09,773 --> 00:05:12,234 wako mitaani kila siku, 127 00:05:12,234 --> 00:05:14,295 Wakiwa na sare zao katika miji mingi 128 00:05:14,295 --> 00:05:16,164 Unajua wakati gani wa kuwategemea. 129 00:05:16,164 --> 00:05:20,087 Kazi yao inasabisha sisi pia tufanye kazi. 130 00:05:20,087 --> 00:05:22,878 Ni kama uhakikisho 131 00:05:22,878 --> 00:05:24,615 Ambao unaendelea 132 00:05:24,615 --> 00:05:26,605 kutufanya tuwe salama, 133 00:05:26,605 --> 00:05:29,242 mbali na uchafu wetu wenyewe 134 00:05:29,242 --> 00:05:32,500 na hali lazima iendelezwe kila wakati 135 00:05:32,500 --> 00:05:34,133 bila kujali chochote. 136 00:05:34,133 --> 00:05:37,857 Siku ya Septemba 11, 2001, 137 00:05:37,857 --> 00:05:41,144 Na nilisikia muungurumo wa gari la usafi mtaani, 138 00:05:41,144 --> 00:05:43,456 nikamchukua mwanangu mchanga na kukimbilia chini 139 00:05:43,456 --> 00:05:46,298 kulikuwa na mtu ambaye alikuwa anachakata karatasi 140 00:05:46,298 --> 00:05:48,480 kama afanyavyo kila Jumatano. 141 00:05:48,480 --> 00:05:50,900 Na nikawa najaribu kumshukuru kwa kazi yake 142 00:05:50,900 --> 00:05:53,025 katika siku hii, 143 00:05:53,025 --> 00:05:55,626 lakini nikaanza kulia. 144 00:05:55,626 --> 00:05:57,310 akaniangalia, 145 00:05:57,310 --> 00:06:00,734 akatingisha kichwa,akisema, 146 00:06:00,734 --> 00:06:03,612 "Tutakuwa salama. 147 00:06:03,612 --> 00:06:06,253 "Tutakuwa salama." 148 00:06:06,253 --> 00:06:07,606 Ilikuwa ni baadae nilipoanza 149 00:06:07,606 --> 00:06:08,986 utafiti wangu wa usafi wa mazingira, 150 00:06:08,986 --> 00:06:10,400 nikakutana na mtu yule tena. 151 00:06:10,400 --> 00:06:13,317 Jina lake ni Paulie,tulifanya kazi pamoja mara nyingi, 152 00:06:13,317 --> 00:06:15,140 tulikuwa marafiki wazuri. 153 00:06:15,140 --> 00:06:17,967 Nataka kuamini Paulie alikuwa sahihi. 154 00:06:17,967 --> 00:06:20,169 Kwamba tutakuwa salama. 155 00:06:20,169 --> 00:06:22,146 lakini katika jitahidi zetu za kutengeneza 156 00:06:22,146 --> 00:06:25,187 jinsi kama viumbe tutakavyoendelea kuishi katika dunia hii, 157 00:06:25,187 --> 00:06:28,482 lazima tuunganishe na kuangalia 158 00:06:28,482 --> 00:06:32,275 gharama zote, ikiwemo gharama 159 00:06:32,275 --> 00:06:33,779 za kazi. 160 00:06:33,779 --> 00:06:36,580 pia tutakuwa na taarifa 161 00:06:36,580 --> 00:06:38,798 za kuwafikia watu wanaofanya kazi hizo 162 00:06:38,798 --> 00:06:40,643 na kupata utaalam wao 163 00:06:40,643 --> 00:06:42,396 jinsi tunavyofikiri kuhusu, 164 00:06:42,396 --> 00:06:45,646 kutengeneza mifumo endelevu 165 00:06:45,646 --> 00:06:49,125 ambayo inatuchukua kutoka katika uchakataji, 166 00:06:49,125 --> 00:06:51,710 ambao ni mafanikio makubwa katika miaka 40, 167 00:06:51,710 --> 00:06:54,948 Katika nchi yote ya Marekani, na nchi mbalimbali duniani kote, 168 00:06:54,948 --> 00:06:57,750 na kutupeleka juu zaidi 169 00:06:57,750 --> 00:07:00,636 ambako tutaangalia aina nyingine za uchafu 170 00:07:00,636 --> 00:07:02,121 ambazo zinaweza zikapunguzwa 171 00:07:02,121 --> 00:07:04,854 kutoka viwandani. 172 00:07:04,854 --> 00:07:08,859 uchafu katika miji, jinsi tunavyofikiri tunapoongelea uchafu, 173 00:07:08,859 --> 00:07:12,857 unakaribia asilimia tatu ya uchafu wote katika taifa 174 00:07:12,857 --> 00:07:15,244 ni takwimu za kushangaza. 175 00:07:15,244 --> 00:07:17,722 katika siku zako, 176 00:07:17,722 --> 00:07:19,248 katika maisha yako, 177 00:07:19,248 --> 00:07:22,276 utakapomwona mtu ambaye kazi yake ni 178 00:07:22,276 --> 00:07:25,419 kufanya usafi, 179 00:07:25,419 --> 00:07:27,908 chukua muda kuwatambua. 180 00:07:27,908 --> 00:07:32,500 chukua muda wako kuwashukuru. 181 00:07:32,500 --> 00:07:35,854 (Makofi)