[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.32,0:00:02.57,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuwa na miaka 10 Dialogue: 0,0:00:02.57,0:00:04.27,Default,,0000,0000,0000,,katika tukiwa safari ya kambi na baba yangu Dialogue: 0,0:00:04.27,0:00:07.03,Default,,0000,0000,0000,,Katika milima ya Adirondack, eneo la nyika Dialogue: 0,0:00:07.03,0:00:10.03,Default,,0000,0000,0000,,Kaskazini mwa jimbo la New York. Dialogue: 0,0:00:10.03,0:00:11.47,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa ni siku nzuri sana. Dialogue: 0,0:00:11.47,0:00:13.47,Default,,0000,0000,0000,,Msitu ulikuwa unang'aa. Dialogue: 0,0:00:13.47,0:00:16.99,Default,,0000,0000,0000,,Jua lilifanya majani yawake kama kioo, Dialogue: 0,0:00:16.99,0:00:20.20,Default,,0000,0000,0000,,na kama si kwa njia tuliyofuata, Dialogue: 0,0:00:20.20,0:00:21.60,Default,,0000,0000,0000,,tungejifanya kama Dialogue: 0,0:00:21.60,0:00:25.16,Default,,0000,0000,0000,,wanadamu wa kwanza kupita eneo lile. Dialogue: 0,0:00:25.16,0:00:26.82,Default,,0000,0000,0000,,tukafika katka eneo letu la kufanyia kambi. Dialogue: 0,0:00:26.82,0:00:28.78,Default,,0000,0000,0000,,ilikuwa ni eneo Dialogue: 0,0:00:28.78,0:00:31.48,Default,,0000,0000,0000,,linalotazama ziwa zuri sana, Dialogue: 0,0:00:31.48,0:00:34.17,Default,,0000,0000,0000,,nilipogundua kitu kibaya. Dialogue: 0,0:00:34.17,0:00:37.27,Default,,0000,0000,0000,,nyuma ya eneo hilo kulikuwa na dampo Dialogue: 0,0:00:37.27,0:00:38.73,Default,,0000,0000,0000,,kama futi za mraba 40 Dialogue: 0,0:00:38.73,0:00:41.04,Default,,0000,0000,0000,,likiwa na matufaa yaliyooza Dialogue: 0,0:00:41.04,0:00:42.79,Default,,0000,0000,0000,,na makaratasi ya madini ya aluminium Dialogue: 0,0:00:42.79,0:00:44.54,Default,,0000,0000,0000,,na vitu vilivyokufa, Dialogue: 0,0:00:44.54,0:00:47.11,Default,,0000,0000,0000,,nilishangazwa sana, Dialogue: 0,0:00:47.11,0:00:50.54,Default,,0000,0000,0000,,niliingiwa na hasira, na kuchanganyikiwa pia. Dialogue: 0,0:00:50.54,0:00:52.12,Default,,0000,0000,0000,,Wapiga kambi wazembe Dialogue: 0,0:00:52.12,0:00:54.08,Default,,0000,0000,0000,,walioshindwa kuchukua vile walivyokuja navyo, Dialogue: 0,0:00:54.08,0:00:57.93,Default,,0000,0000,0000,,walifikiri ni nani atakayesafisha kama si wao? Dialogue: 0,0:00:57.93,0:00:59.84,Default,,0000,0000,0000,,Swali hili lilikaa ndani yangu, Dialogue: 0,0:00:59.84,0:01:01.80,Default,,0000,0000,0000,,lilirahisishwa kidogo. Dialogue: 0,0:01:01.80,0:01:04.18,Default,,0000,0000,0000,,nani atakayesafisha baada yetu? Dialogue: 0,0:01:04.18,0:01:05.60,Default,,0000,0000,0000,,vyovyote utakavyofanya Dialogue: 0,0:01:05.60,0:01:07.31,Default,,0000,0000,0000,,au popote utakapotuweka, Dialogue: 0,0:01:07.31,0:01:09.90,Default,,0000,0000,0000,,nani takayesafisha baada yetu Instanbul? Dialogue: 0,0:01:09.90,0:01:12.15,Default,,0000,0000,0000,,nani takayesafisha baada yetu Rio? Dialogue: 0,0:01:12.15,0:01:14.68,Default,,0000,0000,0000,,au Paris na London? Dialogue: 0,0:01:14.68,0:01:16.26,Default,,0000,0000,0000,,Hapa New York, Dialogue: 0,0:01:16.26,0:01:18.85,Default,,0000,0000,0000,,Idara ya Usafi wa mazingira inasafisha baada yetu, Dialogue: 0,0:01:18.85,0:01:21.52,Default,,0000,0000,0000,,kiasi cha tani 11,000 za uchafu Dialogue: 0,0:01:21.52,0:01:25.88,Default,,0000,0000,0000,,na tani 2000 za uchafu wa kuchakatwa kila siku. Dialogue: 0,0:01:25.88,0:01:28.51,Default,,0000,0000,0000,,nilitaka niwajue kama watu binafsi. Dialogue: 0,0:01:28.51,0:01:31.36,Default,,0000,0000,0000,,nilitaka kujua nani anyefanya kazi hii. Dialogue: 0,0:01:31.36,0:01:33.88,Default,,0000,0000,0000,,inakuwaje kuvaa sare Dialogue: 0,0:01:33.88,0:01:35.53,Default,,0000,0000,0000,,na kuchukua mzigo huo? Dialogue: 0,0:01:35.53,0:01:38.18,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo nikaazisha utafiti nao. Dialogue: 0,0:01:38.18,0:01:40.72,Default,,0000,0000,0000,,nilipanda magari yao na nikaanza kuzunguka nao Dialogue: 0,0:01:40.72,0:01:43.13,Default,,0000,0000,0000,,nikawahoji watu katika ofisi na maeneo mengine Dialogue: 0,0:01:43.13,0:01:44.64,Default,,0000,0000,0000,,kila sehemu ya mji, Dialogue: 0,0:01:44.64,0:01:46.38,Default,,0000,0000,0000,,nilijifunza mengi, Dialogue: 0,0:01:46.38,0:01:48.73,Default,,0000,0000,0000,,lakini bado nilikuwa mtu wa nje tu. Dialogue: 0,0:01:48.73,0:01:50.60,Default,,0000,0000,0000,,nilitaka kujua zaidi. Dialogue: 0,0:01:50.60,0:01:53.72,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo niomba kazi ya usafi wa mazingira. Dialogue: 0,0:01:53.72,0:01:56.37,Default,,0000,0000,0000,,sikupanda tu magari tena. bali niliyaendesha. Dialogue: 0,0:01:56.37,0:01:59.51,Default,,0000,0000,0000,,nikatumia mafagio ya kwenye magari na nikawa nakusanya barafu. Dialogue: 0,0:01:59.51,0:02:01.41,Default,,0000,0000,0000,,ilikuwa ni neema ya ajabu Dialogue: 0,0:02:01.41,0:02:04.02,Default,,0000,0000,0000,,na elimu moja ya ajabu sana. Dialogue: 0,0:02:04.02,0:02:06.17,Default,,0000,0000,0000,,kila mtu anauliza juu ya harufu. Dialogue: 0,0:02:06.17,0:02:09.23,Default,,0000,0000,0000,,ipo,lakini si kama kali unavyofikiri, Dialogue: 0,0:02:09.23,0:02:10.74,Default,,0000,0000,0000,,na katika siku ambazo inakuwa kali sana, Dialogue: 0,0:02:10.74,0:02:13.42,Default,,0000,0000,0000,,unaizoe mara moja. Dialogue: 0,0:02:13.42,0:02:16.62,Default,,0000,0000,0000,,uzito unachukua muda kuuzoea. Dialogue: 0,0:02:16.62,0:02:18.90,Default,,0000,0000,0000,,Niliwafahamu watu waliokuwa katika kazi miaka kadhaa Dialogue: 0,0:02:18.90,0:02:21.49,Default,,0000,0000,0000,,ambao miili yao ilikuwa inaendelea kuzoea Dialogue: 0,0:02:21.49,0:02:23.57,Default,,0000,0000,0000,,mzigo huo katika miili yao Dialogue: 0,0:02:23.57,0:02:26.55,Default,,0000,0000,0000,,tani za uchafu kila wiki. Dialogue: 0,0:02:26.55,0:02:28.73,Default,,0000,0000,0000,,halafu pia kuna hatari. Dialogue: 0,0:02:28.73,0:02:31.21,Default,,0000,0000,0000,,Kulingana na idara ya takwimu za kazi, Dialogue: 0,0:02:31.21,0:02:33.41,Default,,0000,0000,0000,,Kazi ya usafi wa mazingira ni moja kati ya kazi 10 za hatari sana Dialogue: 0,0:02:33.41,0:02:35.30,Default,,0000,0000,0000,,Katika nchi, Dialogue: 0,0:02:35.30,0:02:37.05,Default,,0000,0000,0000,,na nilijifunza kwa nini. Dialogue: 0,0:02:37.05,0:02:38.47,Default,,0000,0000,0000,,Uko katika foleni kila siku, Dialogue: 0,0:02:38.47,0:02:39.43,Default,,0000,0000,0000,,inakuzunguka Dialogue: 0,0:02:39.43,0:02:41.32,Default,,0000,0000,0000,,wanataka kukupita, kwa hiyo Dialogue: 0,0:02:41.32,0:02:43.37,Default,,0000,0000,0000,,madereva hawajali. Dialogue: 0,0:02:43.37,0:02:45.19,Default,,0000,0000,0000,,hii ni mbaya sana kwa mfanyakazi. Dialogue: 0,0:02:45.19,0:02:47.35,Default,,0000,0000,0000,,na uchafu wenyewe umejaa sumu nyingi Dialogue: 0,0:02:47.35,0:02:49.37,Default,,0000,0000,0000,,ambao unaruka nje ya gari Dialogue: 0,0:02:49.37,0:02:51.45,Default,,0000,0000,0000,,na kusababisha madhara. Dialogue: 0,0:02:51.45,0:02:54.27,Default,,0000,0000,0000,,nikajifunza pia uking'ang'ani wa taka Dialogue: 0,0:02:54.27,0:02:55.58,Default,,0000,0000,0000,,unapushuka Dialogue: 0,0:02:55.58,0:02:58.43,Default,,0000,0000,0000,,na kuuangalia mji kutokea kwenye gari la taka, Dialogue: 0,0:02:58.43,0:03:00.21,Default,,0000,0000,0000,,unaelewa kuwa taka Dialogue: 0,0:03:00.21,0:03:02.83,Default,,0000,0000,0000,,ni kama nguvu ya asili. Dialogue: 0,0:03:02.83,0:03:05.29,Default,,0000,0000,0000,,haiachi kuja. Dialogue: 0,0:03:05.29,0:03:08.77,Default,,0000,0000,0000,,na pia ni kama aina ya upumuaji au mzunguko. Dialogue: 0,0:03:08.77,0:03:11.81,Default,,0000,0000,0000,,lazima iwe katika mwendo wakati wote. Dialogue: 0,0:03:11.81,0:03:13.86,Default,,0000,0000,0000,,halafu tena kuna unyanyapaa. Dialogue: 0,0:03:13.86,0:03:16.78,Default,,0000,0000,0000,,unavaa sare , unakuwa kama hauonekani Dialogue: 0,0:03:16.78,0:03:19.08,Default,,0000,0000,0000,,mpaka mtu anapokasirishwa na kwa sababu kama Dialogue: 0,0:03:19.08,0:03:21.39,Default,,0000,0000,0000,,umezuia magari kwa kutumia gari lako, Dialogue: 0,0:03:21.39,0:03:24.04,Default,,0000,0000,0000,,au umepumzika karibu sana na nyumba yake, Dialogue: 0,0:03:24.04,0:03:27.16,Default,,0000,0000,0000,,au unakunywa kahawa katika sehemu yao ya kulia chakula, Dialogue: 0,0:03:27.16,0:03:29.57,Default,,0000,0000,0000,,watakuja na kukushutumu, Dialogue: 0,0:03:29.57,0:03:32.83,Default,,0000,0000,0000,,na kukwambia hawatak kukuona karibu yao. Dialogue: 0,0:03:32.83,0:03:35.26,Default,,0000,0000,0000,,unyanyapaa huu naona unashangaza sana, Dialogue: 0,0:03:35.26,0:03:38.57,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu naamini kuwa wafanyakazi wa usafi wa mazingira Dialogue: 0,0:03:38.57,0:03:40.25,Default,,0000,0000,0000,,ni wafanyakazi muhimu sana Dialogue: 0,0:03:40.25,0:03:43.28,Default,,0000,0000,0000,,katika mitaa ya mji, kwa sababu tatu. Dialogue: 0,0:03:43.28,0:03:46.06,Default,,0000,0000,0000,,wao ndio walinzi wa kwanza wa afya ya jamii. Dialogue: 0,0:03:46.06,0:03:48.47,Default,,0000,0000,0000,,kama hawakusanyi taka Dialogue: 0,0:03:48.47,0:03:50.74,Default,,0000,0000,0000,,kwa ufanisi na usahihi kila siku, Dialogue: 0,0:03:50.74,0:03:53.45,Default,,0000,0000,0000,,zinaanza kutoka katika sehemu zilizotunzwa Dialogue: 0,0:03:53.45,0:03:57.18,Default,,0000,0000,0000,,na madhara yake yanatutishia wote Dialogue: 0,0:03:57.18,0:03:58.35,Default,,0000,0000,0000,,katika ya halisi kabisa. Dialogue: 0,0:03:58.35,0:04:01.32,Default,,0000,0000,0000,,magonjwa tuliyoyadhibiti kwa miaka mingi Dialogue: 0,0:04:01.32,0:04:04.23,Default,,0000,0000,0000,,yanaibuka tena na kutudhuru. Dialogue: 0,0:04:04.23,0:04:05.90,Default,,0000,0000,0000,,Uchumi unahitaji wanyakazi hawa. Dialogue: 0,0:04:05.90,0:04:08.83,Default,,0000,0000,0000,,Kama hatuwezi kutupa vitu vya zamani, Dialogue: 0,0:04:08.83,0:04:10.72,Default,,0000,0000,0000,,hakuwezi kukawa na nafasi ya vitu vipya, Dialogue: 0,0:04:10.72,0:04:12.78,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo injini za uchumi Dialogue: 0,0:04:12.78,0:04:15.71,Default,,0000,0000,0000,,zinashindwa kuendelea kwa kuwa hakuna matumizi Dialogue: 0,0:04:15.71,0:04:19.78,Default,,0000,0000,0000,,Sipigii debe ubepari,lakini najaribu kuonyesha uhusiano uliopo. Dialogue: 0,0:04:19.78,0:04:21.77,Default,,0000,0000,0000,,Lakini pia kuna kile nachoita Dialogue: 0,0:04:21.77,0:04:25.98,Default,,0000,0000,0000,,na mwendo wa wastani wetu Dialogue: 0,0:04:25.98,0:04:27.03,Default,,0000,0000,0000,,Na hii namaanisha Dialogue: 0,0:04:27.03,0:04:29.28,Default,,0000,0000,0000,,ni haraka kiasi gani tumezoea kwenda Dialogue: 0,0:04:29.28,0:04:31.41,Default,,0000,0000,0000,,katika siku hizi za sasa. Dialogue: 0,0:04:31.41,0:04:36.76,Default,,0000,0000,0000,,Hatujali ,marekebisho,safi Dialogue: 0,0:04:36.76,0:04:39.39,Default,,0000,0000,0000,,tulichochukua katika kikombe cha kahawa, Dialogue: 0,0:04:39.39,0:04:40.88,Default,,0000,0000,0000,,chupa yetu ya maji. Dialogue: 0,0:04:40.88,0:04:43.56,Default,,0000,0000,0000,,Tunatumia,tunatupa,tunazisahau, Dialogue: 0,0:04:43.56,0:04:45.34,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu tunajua kuna wafanyakazi Dialogue: 0,0:04:45.34,0:04:48.36,Default,,0000,0000,0000,,upande wa pili wataochukua wote. Dialogue: 0,0:04:48.36,0:04:50.80,Default,,0000,0000,0000,,Sasa nataka nitoe mapendekezo Dialogue: 0,0:04:50.80,0:04:55.32,Default,,0000,0000,0000,,ya kufikiria kuhusu usafi ambayo Dialogue: 0,0:04:55.32,0:04:57.79,Default,,0000,0000,0000,,yatapunguza unyanyapaa Dialogue: 0,0:04:57.79,0:05:00.02,Default,,0000,0000,0000,,na kuwaingiza katika mazungumzo haya Dialogue: 0,0:05:00.02,0:05:05.61,Default,,0000,0000,0000,,ya jinsi ya kuwa na mji unaokua kistaarabu. Dialogue: 0,0:05:05.61,0:05:09.77,Default,,0000,0000,0000,,Kazi yao ni ile inayojirudia rudia. Dialogue: 0,0:05:09.77,0:05:12.23,Default,,0000,0000,0000,,wako mitaani kila siku, Dialogue: 0,0:05:12.23,0:05:14.30,Default,,0000,0000,0000,,Wakiwa na sare zao katika miji mingi Dialogue: 0,0:05:14.30,0:05:16.16,Default,,0000,0000,0000,,Unajua wakati gani wa kuwategemea. Dialogue: 0,0:05:16.16,0:05:20.09,Default,,0000,0000,0000,,Kazi yao inasabisha sisi pia tufanye kazi. Dialogue: 0,0:05:20.09,0:05:22.88,Default,,0000,0000,0000,,Ni kama uhakikisho Dialogue: 0,0:05:22.88,0:05:24.62,Default,,0000,0000,0000,,Ambao unaendelea Dialogue: 0,0:05:24.62,0:05:26.60,Default,,0000,0000,0000,,kutufanya tuwe salama, Dialogue: 0,0:05:26.60,0:05:29.24,Default,,0000,0000,0000,,mbali na uchafu wetu wenyewe Dialogue: 0,0:05:29.24,0:05:32.50,Default,,0000,0000,0000,,na hali lazima iendelezwe kila wakati Dialogue: 0,0:05:32.50,0:05:34.13,Default,,0000,0000,0000,,bila kujali chochote. Dialogue: 0,0:05:34.13,0:05:37.86,Default,,0000,0000,0000,,Siku ya Septemba 11, 2001, Dialogue: 0,0:05:37.86,0:05:41.14,Default,,0000,0000,0000,,Na nilisikia muungurumo wa gari la usafi mtaani, Dialogue: 0,0:05:41.14,0:05:43.46,Default,,0000,0000,0000,,nikamchukua mwanangu mchanga na kukimbilia chini Dialogue: 0,0:05:43.46,0:05:46.30,Default,,0000,0000,0000,,kulikuwa na mtu ambaye alikuwa anachakata karatasi Dialogue: 0,0:05:46.30,0:05:48.48,Default,,0000,0000,0000,,kama afanyavyo kila Jumatano. Dialogue: 0,0:05:48.48,0:05:50.90,Default,,0000,0000,0000,,Na nikawa najaribu kumshukuru kwa kazi yake Dialogue: 0,0:05:50.90,0:05:53.02,Default,,0000,0000,0000,,katika siku hii, Dialogue: 0,0:05:53.02,0:05:55.63,Default,,0000,0000,0000,,lakini nikaanza kulia. Dialogue: 0,0:05:55.63,0:05:57.31,Default,,0000,0000,0000,,akaniangalia, Dialogue: 0,0:05:57.31,0:06:00.73,Default,,0000,0000,0000,,akatingisha kichwa,akisema, Dialogue: 0,0:06:00.73,0:06:03.61,Default,,0000,0000,0000,,"Tutakuwa salama. Dialogue: 0,0:06:03.61,0:06:06.25,Default,,0000,0000,0000,,"Tutakuwa salama." Dialogue: 0,0:06:06.25,0:06:07.61,Default,,0000,0000,0000,,Ilikuwa ni baadae nilipoanza Dialogue: 0,0:06:07.61,0:06:08.99,Default,,0000,0000,0000,,utafiti wangu wa usafi wa mazingira, Dialogue: 0,0:06:08.99,0:06:10.40,Default,,0000,0000,0000,,nikakutana na mtu yule tena. Dialogue: 0,0:06:10.40,0:06:13.32,Default,,0000,0000,0000,,Jina lake ni Paulie,tulifanya kazi pamoja mara nyingi, Dialogue: 0,0:06:13.32,0:06:15.14,Default,,0000,0000,0000,,tulikuwa marafiki wazuri. Dialogue: 0,0:06:15.14,0:06:17.97,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kuamini Paulie alikuwa sahihi. Dialogue: 0,0:06:17.97,0:06:20.17,Default,,0000,0000,0000,,Kwamba tutakuwa salama. Dialogue: 0,0:06:20.17,0:06:22.15,Default,,0000,0000,0000,,lakini katika jitahidi zetu za kutengeneza Dialogue: 0,0:06:22.15,0:06:25.19,Default,,0000,0000,0000,,jinsi kama viumbe tutakavyoendelea kuishi katika dunia hii, Dialogue: 0,0:06:25.19,0:06:28.48,Default,,0000,0000,0000,,lazima tuunganishe na kuangalia Dialogue: 0,0:06:28.48,0:06:32.28,Default,,0000,0000,0000,,gharama zote, ikiwemo gharama Dialogue: 0,0:06:32.28,0:06:33.78,Default,,0000,0000,0000,,za kazi. Dialogue: 0,0:06:33.78,0:06:36.58,Default,,0000,0000,0000,,pia tutakuwa na taarifa Dialogue: 0,0:06:36.58,0:06:38.80,Default,,0000,0000,0000,,za kuwafikia watu wanaofanya kazi hizo Dialogue: 0,0:06:38.80,0:06:40.64,Default,,0000,0000,0000,,na kupata utaalam wao Dialogue: 0,0:06:40.64,0:06:42.40,Default,,0000,0000,0000,,jinsi tunavyofikiri kuhusu, Dialogue: 0,0:06:42.40,0:06:45.65,Default,,0000,0000,0000,,kutengeneza mifumo endelevu Dialogue: 0,0:06:45.65,0:06:49.12,Default,,0000,0000,0000,,ambayo inatuchukua kutoka katika uchakataji, Dialogue: 0,0:06:49.12,0:06:51.71,Default,,0000,0000,0000,,ambao ni mafanikio makubwa katika miaka 40, Dialogue: 0,0:06:51.71,0:06:54.95,Default,,0000,0000,0000,,Katika nchi yote ya Marekani, na nchi mbalimbali duniani kote, Dialogue: 0,0:06:54.95,0:06:57.75,Default,,0000,0000,0000,,na kutupeleka juu zaidi Dialogue: 0,0:06:57.75,0:07:00.64,Default,,0000,0000,0000,,ambako tutaangalia aina nyingine za uchafu Dialogue: 0,0:07:00.64,0:07:02.12,Default,,0000,0000,0000,,ambazo zinaweza zikapunguzwa Dialogue: 0,0:07:02.12,0:07:04.85,Default,,0000,0000,0000,,kutoka viwandani. Dialogue: 0,0:07:04.85,0:07:08.86,Default,,0000,0000,0000,,uchafu katika miji, jinsi tunavyofikiri tunapoongelea uchafu, Dialogue: 0,0:07:08.86,0:07:12.86,Default,,0000,0000,0000,,unakaribia asilimia tatu ya uchafu wote katika taifa Dialogue: 0,0:07:12.86,0:07:15.24,Default,,0000,0000,0000,,ni takwimu za kushangaza. Dialogue: 0,0:07:15.24,0:07:17.72,Default,,0000,0000,0000,,katika siku zako, Dialogue: 0,0:07:17.72,0:07:19.25,Default,,0000,0000,0000,,katika maisha yako, Dialogue: 0,0:07:19.25,0:07:22.28,Default,,0000,0000,0000,,utakapomwona mtu ambaye kazi yake ni Dialogue: 0,0:07:22.28,0:07:25.42,Default,,0000,0000,0000,,kufanya usafi, Dialogue: 0,0:07:25.42,0:07:27.91,Default,,0000,0000,0000,,chukua muda kuwatambua. Dialogue: 0,0:07:27.91,0:07:32.50,Default,,0000,0000,0000,,chukua muda wako kuwashukuru. Dialogue: 0,0:07:32.50,0:07:35.85,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi)