0:00:00.315,0:00:02.572 Nilikuwa na miaka 10 0:00:02.572,0:00:04.271 katika tukiwa safari ya kambi na baba yangu 0:00:04.271,0:00:07.031 Katika milima ya Adirondack, eneo la nyika 0:00:07.031,0:00:10.026 Kaskazini mwa jimbo la New York. 0:00:10.026,0:00:11.467 Ilikuwa ni siku nzuri sana. 0:00:11.467,0:00:13.469 Msitu ulikuwa unang'aa. 0:00:13.469,0:00:16.993 Jua lilifanya majani yawake kama kioo, 0:00:16.993,0:00:20.198 na kama si kwa njia tuliyofuata, 0:00:20.198,0:00:21.602 tungejifanya kama 0:00:21.602,0:00:25.164 wanadamu wa kwanza kupita eneo lile. 0:00:25.164,0:00:26.815 tukafika katka eneo letu la kufanyia kambi. 0:00:26.815,0:00:28.782 ilikuwa ni eneo 0:00:28.782,0:00:31.478 linalotazama ziwa zuri sana, 0:00:31.478,0:00:34.174 nilipogundua kitu kibaya. 0:00:34.174,0:00:37.272 nyuma ya eneo hilo kulikuwa na dampo 0:00:37.272,0:00:38.730 kama futi za mraba 40 0:00:38.730,0:00:41.043 likiwa na matufaa yaliyooza 0:00:41.043,0:00:42.790 na makaratasi ya madini ya aluminium 0:00:42.790,0:00:44.539 na vitu vilivyokufa, 0:00:44.539,0:00:47.110 nilishangazwa sana, 0:00:47.110,0:00:50.542 niliingiwa na hasira, na kuchanganyikiwa pia. 0:00:50.542,0:00:52.124 Wapiga kambi wazembe 0:00:52.124,0:00:54.082 walioshindwa kuchukua vile walivyokuja navyo, 0:00:54.082,0:00:57.927 walifikiri ni nani atakayesafisha kama si wao? 0:00:57.927,0:00:59.836 Swali hili lilikaa ndani yangu, 0:00:59.836,0:01:01.803 lilirahisishwa kidogo. 0:01:01.803,0:01:04.179 nani atakayesafisha baada yetu? 0:01:04.179,0:01:05.601 vyovyote utakavyofanya 0:01:05.601,0:01:07.308 au popote utakapotuweka, 0:01:07.308,0:01:09.898 nani takayesafisha baada yetu Instanbul? 0:01:09.898,0:01:12.154 nani takayesafisha baada yetu Rio? 0:01:12.154,0:01:14.683 au Paris na London? 0:01:14.683,0:01:16.255 Hapa New York, 0:01:16.255,0:01:18.847 Idara ya Usafi wa mazingira inasafisha baada yetu, 0:01:18.847,0:01:21.517 kiasi cha tani 11,000 za uchafu 0:01:21.517,0:01:25.879 na tani 2000 za uchafu wa kuchakatwa kila siku. 0:01:25.879,0:01:28.512 nilitaka niwajue kama watu binafsi. 0:01:28.512,0:01:31.358 nilitaka kujua nani anyefanya kazi hii. 0:01:31.358,0:01:33.877 inakuwaje kuvaa sare 0:01:33.877,0:01:35.531 na kuchukua mzigo huo? 0:01:35.531,0:01:38.184 kwa hiyo nikaazisha utafiti nao. 0:01:38.184,0:01:40.723 nilipanda magari yao na nikaanza kuzunguka nao 0:01:40.723,0:01:43.132 nikawahoji watu katika ofisi na maeneo mengine 0:01:43.132,0:01:44.639 kila sehemu ya mji, 0:01:44.639,0:01:46.378 nilijifunza mengi, 0:01:46.378,0:01:48.727 lakini bado nilikuwa mtu wa nje tu. 0:01:48.727,0:01:50.605 nilitaka kujua zaidi. 0:01:50.605,0:01:53.721 kwa hiyo niomba kazi ya usafi wa mazingira. 0:01:53.721,0:01:56.368 sikupanda tu magari tena. bali niliyaendesha. 0:01:56.368,0:01:59.513 nikatumia mafagio ya kwenye magari na nikawa nakusanya barafu. 0:01:59.513,0:02:01.412 ilikuwa ni neema ya ajabu 0:02:01.412,0:02:04.019 na elimu moja ya ajabu sana. 0:02:04.019,0:02:06.171 kila mtu anauliza juu ya harufu. 0:02:06.171,0:02:09.231 ipo,lakini si kama kali unavyofikiri, 0:02:09.231,0:02:10.745 na katika siku ambazo inakuwa kali sana, 0:02:10.745,0:02:13.421 unaizoe mara moja. 0:02:13.421,0:02:16.618 uzito unachukua muda kuuzoea. 0:02:16.618,0:02:18.905 Niliwafahamu watu waliokuwa katika kazi miaka kadhaa 0:02:18.905,0:02:21.490 ambao miili yao ilikuwa inaendelea kuzoea 0:02:21.490,0:02:23.571 mzigo huo katika miili yao 0:02:23.571,0:02:26.550 tani za uchafu kila wiki. 0:02:26.550,0:02:28.734 halafu pia kuna hatari. 0:02:28.734,0:02:31.206 Kulingana na idara ya takwimu za kazi, 0:02:31.206,0:02:33.408 Kazi ya usafi wa mazingira ni moja kati ya kazi 10 za hatari sana 0:02:33.408,0:02:35.300 Katika nchi, 0:02:35.300,0:02:37.051 na nilijifunza kwa nini. 0:02:37.051,0:02:38.472 Uko katika foleni kila siku, 0:02:38.472,0:02:39.433 inakuzunguka 0:02:39.433,0:02:41.317 wanataka kukupita, kwa hiyo 0:02:41.317,0:02:43.367 madereva hawajali. 0:02:43.367,0:02:45.193 hii ni mbaya sana kwa mfanyakazi. 0:02:45.193,0:02:47.353 na uchafu wenyewe umejaa sumu nyingi 0:02:47.353,0:02:49.372 ambao unaruka nje ya gari 0:02:49.372,0:02:51.453 na kusababisha madhara. 0:02:51.453,0:02:54.268 nikajifunza pia uking'ang'ani wa taka 0:02:54.268,0:02:55.579 unapushuka 0:02:55.579,0:02:58.428 na kuuangalia mji kutokea kwenye gari la taka, 0:02:58.428,0:03:00.214 unaelewa kuwa taka 0:03:00.214,0:03:02.831 ni kama nguvu ya asili. 0:03:02.831,0:03:05.287 haiachi kuja. 0:03:05.287,0:03:08.766 na pia ni kama aina ya upumuaji au mzunguko. 0:03:08.766,0:03:11.811 lazima iwe katika mwendo wakati wote. 0:03:11.811,0:03:13.859 halafu tena kuna unyanyapaa. 0:03:13.859,0:03:16.775 unavaa sare , unakuwa kama hauonekani 0:03:16.775,0:03:19.079 mpaka mtu anapokasirishwa na kwa sababu kama 0:03:19.079,0:03:21.394 umezuia magari kwa kutumia gari lako, 0:03:21.394,0:03:24.045 au umepumzika karibu sana na nyumba yake, 0:03:24.045,0:03:27.159 au unakunywa kahawa katika sehemu yao ya kulia chakula, 0:03:27.159,0:03:29.569 watakuja na kukushutumu, 0:03:29.569,0:03:32.831 na kukwambia hawatak kukuona karibu yao. 0:03:32.831,0:03:35.263 unyanyapaa huu naona unashangaza sana, 0:03:35.263,0:03:38.574 kwa sababu naamini kuwa wafanyakazi wa usafi wa mazingira 0:03:38.574,0:03:40.254 ni wafanyakazi muhimu sana 0:03:40.254,0:03:43.278 katika mitaa ya mji, kwa sababu tatu. 0:03:43.278,0:03:46.060 wao ndio walinzi wa kwanza wa afya ya jamii. 0:03:46.060,0:03:48.466 kama hawakusanyi taka 0:03:48.466,0:03:50.740 kwa ufanisi na usahihi kila siku, 0:03:50.740,0:03:53.451 zinaanza kutoka katika sehemu zilizotunzwa 0:03:53.451,0:03:57.177 na madhara yake yanatutishia wote 0:03:57.177,0:03:58.351 katika ya halisi kabisa. 0:03:58.351,0:04:01.322 magonjwa tuliyoyadhibiti kwa miaka mingi 0:04:01.322,0:04:04.228 yanaibuka tena na kutudhuru. 0:04:04.228,0:04:05.900 Uchumi unahitaji wanyakazi hawa. 0:04:05.900,0:04:08.826 Kama hatuwezi kutupa vitu vya zamani, 0:04:08.826,0:04:10.716 hakuwezi kukawa na nafasi ya vitu vipya, 0:04:10.716,0:04:12.785 kwa hiyo injini za uchumi 0:04:12.785,0:04:15.714 zinashindwa kuendelea kwa kuwa hakuna matumizi 0:04:15.714,0:04:19.778 Sipigii debe ubepari,lakini najaribu kuonyesha uhusiano uliopo. 0:04:19.778,0:04:21.766 Lakini pia kuna kile nachoita 0:04:21.766,0:04:25.978 na mwendo wa wastani wetu 0:04:25.978,0:04:27.027 Na hii namaanisha 0:04:27.027,0:04:29.279 ni haraka kiasi gani tumezoea kwenda 0:04:29.279,0:04:31.411 katika siku hizi za sasa. 0:04:31.411,0:04:36.755 Hatujali ,marekebisho,safi 0:04:36.755,0:04:39.392 tulichochukua katika kikombe cha kahawa, 0:04:39.392,0:04:40.877 chupa yetu ya maji. 0:04:40.877,0:04:43.556 Tunatumia,tunatupa,tunazisahau, 0:04:43.556,0:04:45.336 Kwa sababu tunajua kuna wafanyakazi 0:04:45.336,0:04:48.356 upande wa pili wataochukua wote. 0:04:48.356,0:04:50.803 Sasa nataka nitoe mapendekezo 0:04:50.803,0:04:55.317 ya kufikiria kuhusu usafi ambayo 0:04:55.317,0:04:57.791 yatapunguza unyanyapaa 0:04:57.791,0:05:00.022 na kuwaingiza katika mazungumzo haya 0:05:00.022,0:05:05.612 ya jinsi ya kuwa na mji unaokua kistaarabu. 0:05:05.612,0:05:09.773 Kazi yao ni ile inayojirudia rudia. 0:05:09.773,0:05:12.234 wako mitaani kila siku, 0:05:12.234,0:05:14.295 Wakiwa na sare zao katika miji mingi 0:05:14.295,0:05:16.164 Unajua wakati gani wa kuwategemea. 0:05:16.164,0:05:20.087 Kazi yao inasabisha sisi pia tufanye kazi. 0:05:20.087,0:05:22.878 Ni kama uhakikisho 0:05:22.878,0:05:24.615 Ambao unaendelea 0:05:24.615,0:05:26.605 kutufanya tuwe salama, 0:05:26.605,0:05:29.242 mbali na uchafu wetu wenyewe 0:05:29.242,0:05:32.500 na hali lazima iendelezwe kila wakati 0:05:32.500,0:05:34.133 bila kujali chochote. 0:05:34.133,0:05:37.857 Siku ya Septemba 11, 2001, 0:05:37.857,0:05:41.144 Na nilisikia muungurumo wa gari la usafi mtaani, 0:05:41.144,0:05:43.456 nikamchukua mwanangu mchanga na kukimbilia chini 0:05:43.456,0:05:46.298 kulikuwa na mtu ambaye alikuwa anachakata karatasi 0:05:46.298,0:05:48.480 kama afanyavyo kila Jumatano. 0:05:48.480,0:05:50.900 Na nikawa najaribu kumshukuru kwa kazi yake 0:05:50.900,0:05:53.025 katika siku hii, 0:05:53.025,0:05:55.626 lakini nikaanza kulia. 0:05:55.626,0:05:57.310 akaniangalia, 0:05:57.310,0:06:00.734 akatingisha kichwa,akisema, 0:06:00.734,0:06:03.612 "Tutakuwa salama. 0:06:03.612,0:06:06.253 "Tutakuwa salama." 0:06:06.253,0:06:07.606 Ilikuwa ni baadae nilipoanza 0:06:07.606,0:06:08.986 utafiti wangu wa usafi wa mazingira, 0:06:08.986,0:06:10.400 nikakutana na mtu yule tena. 0:06:10.400,0:06:13.317 Jina lake ni Paulie,tulifanya kazi pamoja mara nyingi, 0:06:13.317,0:06:15.140 tulikuwa marafiki wazuri. 0:06:15.140,0:06:17.967 Nataka kuamini Paulie alikuwa sahihi. 0:06:17.967,0:06:20.169 Kwamba tutakuwa salama. 0:06:20.169,0:06:22.146 lakini katika jitahidi zetu za kutengeneza 0:06:22.146,0:06:25.187 jinsi kama viumbe tutakavyoendelea kuishi katika dunia hii, 0:06:25.187,0:06:28.482 lazima tuunganishe na kuangalia 0:06:28.482,0:06:32.275 gharama zote, ikiwemo gharama 0:06:32.275,0:06:33.779 za kazi. 0:06:33.779,0:06:36.580 pia tutakuwa na taarifa 0:06:36.580,0:06:38.798 za kuwafikia watu wanaofanya kazi hizo 0:06:38.798,0:06:40.643 na kupata utaalam wao 0:06:40.643,0:06:42.396 jinsi tunavyofikiri kuhusu, 0:06:42.396,0:06:45.646 kutengeneza mifumo endelevu 0:06:45.646,0:06:49.125 ambayo inatuchukua kutoka katika uchakataji, 0:06:49.125,0:06:51.710 ambao ni mafanikio makubwa katika miaka 40, 0:06:51.710,0:06:54.948 Katika nchi yote ya Marekani, na nchi mbalimbali duniani kote, 0:06:54.948,0:06:57.750 na kutupeleka juu zaidi 0:06:57.750,0:07:00.636 ambako tutaangalia aina nyingine za uchafu 0:07:00.636,0:07:02.121 ambazo zinaweza zikapunguzwa 0:07:02.121,0:07:04.854 kutoka viwandani. 0:07:04.854,0:07:08.859 uchafu katika miji, jinsi tunavyofikiri tunapoongelea uchafu, 0:07:08.859,0:07:12.857 unakaribia asilimia tatu ya uchafu wote katika taifa 0:07:12.857,0:07:15.244 ni takwimu za kushangaza. 0:07:15.244,0:07:17.722 katika siku zako, 0:07:17.722,0:07:19.248 katika maisha yako, 0:07:19.248,0:07:22.276 utakapomwona mtu ambaye kazi yake ni 0:07:22.276,0:07:25.419 kufanya usafi, 0:07:25.419,0:07:27.908 chukua muda kuwatambua. 0:07:27.908,0:07:32.500 chukua muda wako kuwashukuru. 0:07:32.500,0:07:35.854 (Makofi)