WEBVTT 00:00:00.315 --> 00:00:02.572 Nilikuwa na miaka 10 00:00:02.572 --> 00:00:04.271 katika tukiwa safari ya kambi na baba yangu 00:00:04.271 --> 00:00:07.031 Katika milima ya Adirondack, eneo la nyika 00:00:07.031 --> 00:00:10.026 Kaskazini mwa jimbo la New York. 00:00:10.026 --> 00:00:11.467 Ilikuwa ni siku nzuri sana. 00:00:11.467 --> 00:00:13.469 Msitu ulikuwa unang'aa. 00:00:13.469 --> 00:00:16.993 Jua lilifanya majani yawake kama kioo, 00:00:16.993 --> 00:00:20.198 na kama si kwa njia tuliyofuata, 00:00:20.198 --> 00:00:21.602 tungejifanya kama 00:00:21.602 --> 00:00:25.164 wanadamu wa kwanza kupita eneo lile. NOTE Paragraph 00:00:25.164 --> 00:00:26.815 tukafika katka eneo letu la kufanyia kambi. 00:00:26.815 --> 00:00:28.782 ilikuwa ni eneo 00:00:28.782 --> 00:00:31.478 linalotazama ziwa zuri sana, 00:00:31.478 --> 00:00:34.174 nilipogundua kitu kibaya. 00:00:34.174 --> 00:00:37.272 nyuma ya eneo hilo kulikuwa na dampo 00:00:37.272 --> 00:00:38.730 kama futi za mraba 40 00:00:38.730 --> 00:00:41.043 likiwa na matufaa yaliyooza 00:00:41.043 --> 00:00:42.790 na makaratasi ya madini ya aluminium 00:00:42.790 --> 00:00:44.539 na vitu vilivyokufa, 00:00:44.539 --> 00:00:47.110 nilishangazwa sana, 00:00:47.110 --> 00:00:50.542 niliingiwa na hasira, na kuchanganyikiwa pia. 00:00:50.542 --> 00:00:52.124 Wapiga kambi wazembe 00:00:52.124 --> 00:00:54.082 walioshindwa kuchukua vile walivyokuja navyo, 00:00:54.082 --> 00:00:57.927 walifikiri ni nani atakayesafisha kama si wao? NOTE Paragraph 00:00:57.927 --> 00:00:59.836 Swali hili lilikaa ndani yangu, 00:00:59.836 --> 00:01:01.803 lilirahisishwa kidogo. 00:01:01.803 --> 00:01:04.179 nani atakayesafisha baada yetu? 00:01:04.179 --> 00:01:05.601 vyovyote utakavyofanya 00:01:05.601 --> 00:01:07.308 au popote utakapotuweka, 00:01:07.308 --> 00:01:09.898 nani takayesafisha baada yetu Instanbul? 00:01:09.898 --> 00:01:12.154 nani takayesafisha baada yetu Rio? 00:01:12.154 --> 00:01:14.683 au Paris na London? 00:01:14.683 --> 00:01:16.255 Hapa New York, 00:01:16.255 --> 00:01:18.847 Idara ya Usafi wa mazingira inasafisha baada yetu, 00:01:18.847 --> 00:01:21.517 kiasi cha tani 11,000 za uchafu 00:01:21.517 --> 00:01:25.879 na tani 2000 za uchafu wa kuchakatwa kila siku. 00:01:25.879 --> 00:01:28.512 nilitaka niwajue kama watu binafsi. 00:01:28.512 --> 00:01:31.358 nilitaka kujua nani anyefanya kazi hii. 00:01:31.358 --> 00:01:33.877 inakuwaje kuvaa sare 00:01:33.877 --> 00:01:35.531 na kuchukua mzigo huo? NOTE Paragraph 00:01:35.531 --> 00:01:38.184 kwa hiyo nikaazisha utafiti nao. 00:01:38.184 --> 00:01:40.723 nilipanda magari yao na nikaanza kuzunguka nao 00:01:40.723 --> 00:01:43.132 nikawahoji watu katika ofisi na maeneo mengine 00:01:43.132 --> 00:01:44.639 kila sehemu ya mji, 00:01:44.639 --> 00:01:46.378 nilijifunza mengi, 00:01:46.378 --> 00:01:48.727 lakini bado nilikuwa mtu wa nje tu. 00:01:48.727 --> 00:01:50.605 nilitaka kujua zaidi. NOTE Paragraph 00:01:50.605 --> 00:01:53.721 kwa hiyo niomba kazi ya usafi wa mazingira. 00:01:53.721 --> 00:01:56.368 sikupanda tu magari tena. bali niliyaendesha. 00:01:56.368 --> 00:01:59.513 nikatumia mafagio ya kwenye magari na nikawa nakusanya barafu. 00:01:59.513 --> 00:02:01.412 ilikuwa ni neema ya ajabu 00:02:01.412 --> 00:02:04.019 na elimu moja ya ajabu sana. NOTE Paragraph 00:02:04.019 --> 00:02:06.171 kila mtu anauliza juu ya harufu. 00:02:06.171 --> 00:02:09.231 ipo,lakini si kama kali unavyofikiri, 00:02:09.231 --> 00:02:10.745 na katika siku ambazo inakuwa kali sana, 00:02:10.745 --> 00:02:13.421 unaizoe mara moja. 00:02:13.421 --> 00:02:16.618 uzito unachukua muda kuuzoea. 00:02:16.618 --> 00:02:18.905 Niliwafahamu watu waliokuwa katika kazi miaka kadhaa 00:02:18.905 --> 00:02:21.490 ambao miili yao ilikuwa inaendelea kuzoea 00:02:21.490 --> 00:02:23.571 mzigo huo katika miili yao 00:02:23.571 --> 00:02:26.550 tani za uchafu kila wiki. NOTE Paragraph 00:02:26.550 --> 00:02:28.734 halafu pia kuna hatari. 00:02:28.734 --> 00:02:31.206 Kulingana na idara ya takwimu za kazi, 00:02:31.206 --> 00:02:33.408 Kazi ya usafi wa mazingira ni moja kati ya kazi 10 za hatari sana 00:02:33.408 --> 00:02:35.300 Katika nchi, 00:02:35.300 --> 00:02:37.051 na nilijifunza kwa nini. 00:02:37.051 --> 00:02:38.472 Uko katika foleni kila siku, 00:02:38.472 --> 00:02:39.433 inakuzunguka 00:02:39.433 --> 00:02:41.317 wanataka kukupita, kwa hiyo 00:02:41.317 --> 00:02:43.367 madereva hawajali. 00:02:43.367 --> 00:02:45.193 hii ni mbaya sana kwa mfanyakazi. 00:02:45.193 --> 00:02:47.353 na uchafu wenyewe umejaa sumu nyingi 00:02:47.353 --> 00:02:49.372 ambao unaruka nje ya gari 00:02:49.372 --> 00:02:51.453 na kusababisha madhara. NOTE Paragraph 00:02:51.453 --> 00:02:54.268 nikajifunza pia uking'ang'ani wa taka 00:02:54.268 --> 00:02:55.579 unapushuka 00:02:55.579 --> 00:02:58.428 na kuuangalia mji kutokea kwenye gari la taka, 00:02:58.428 --> 00:03:00.214 unaelewa kuwa taka 00:03:00.214 --> 00:03:02.831 ni kama nguvu ya asili. 00:03:02.831 --> 00:03:05.287 haiachi kuja. 00:03:05.287 --> 00:03:08.766 na pia ni kama aina ya upumuaji au mzunguko. 00:03:08.766 --> 00:03:11.811 lazima iwe katika mwendo wakati wote. NOTE Paragraph 00:03:11.811 --> 00:03:13.859 halafu tena kuna unyanyapaa. 00:03:13.859 --> 00:03:16.775 unavaa sare , unakuwa kama hauonekani 00:03:16.775 --> 00:03:19.079 mpaka mtu anapokasirishwa na kwa sababu kama 00:03:19.079 --> 00:03:21.394 umezuia magari kwa kutumia gari lako, 00:03:21.394 --> 00:03:24.045 au umepumzika karibu sana na nyumba yake, 00:03:24.045 --> 00:03:27.159 au unakunywa kahawa katika sehemu yao ya kulia chakula, 00:03:27.159 --> 00:03:29.569 watakuja na kukushutumu, 00:03:29.569 --> 00:03:32.831 na kukwambia hawatak kukuona karibu yao. 00:03:32.831 --> 00:03:35.263 unyanyapaa huu naona unashangaza sana, 00:03:35.263 --> 00:03:38.574 kwa sababu naamini kuwa wafanyakazi wa usafi wa mazingira 00:03:38.574 --> 00:03:40.254 ni wafanyakazi muhimu sana 00:03:40.254 --> 00:03:43.278 katika mitaa ya mji, kwa sababu tatu. 00:03:43.278 --> 00:03:46.060 wao ndio walinzi wa kwanza wa afya ya jamii. 00:03:46.060 --> 00:03:48.466 kama hawakusanyi taka 00:03:48.466 --> 00:03:50.740 kwa ufanisi na usahihi kila siku, 00:03:50.740 --> 00:03:53.451 zinaanza kutoka katika sehemu zilizotunzwa 00:03:53.451 --> 00:03:57.177 na madhara yake yanatutishia wote 00:03:57.177 --> 00:03:58.351 katika ya halisi kabisa. 00:03:58.351 --> 00:04:01.322 magonjwa tuliyoyadhibiti kwa miaka mingi 00:04:01.322 --> 00:04:04.228 yanaibuka tena na kutudhuru. 00:04:04.228 --> 00:04:05.900 Uchumi unahitaji wanyakazi hawa. 00:04:05.900 --> 00:04:08.826 Kama hatuwezi kutupa vitu vya zamani, 00:04:08.826 --> 00:04:10.716 hakuwezi kukawa na nafasi ya vitu vipya, 00:04:10.716 --> 00:04:12.785 kwa hiyo injini za uchumi 00:04:12.785 --> 00:04:15.714 zinashindwa kuendelea kwa kuwa hakuna matumizi 00:04:15.714 --> 00:04:19.778 Sipigii debe ubepari,lakini najaribu kuonyesha uhusiano uliopo. 00:04:19.778 --> 00:04:21.766 Lakini pia kuna kile nachoita 00:04:21.766 --> 00:04:25.978 na mwendo wa wastani wetu 00:04:25.978 --> 00:04:27.027 Na hii namaanisha 00:04:27.027 --> 00:04:29.279 ni haraka kiasi gani tumezoea kwenda 00:04:29.279 --> 00:04:31.411 katika siku hizi za sasa. 00:04:31.411 --> 00:04:36.755 Hatujali ,marekebisho,safi 00:04:36.755 --> 00:04:39.392 tulichochukua katika kikombe cha kahawa, 00:04:39.392 --> 00:04:40.877 chupa yetu ya maji. 00:04:40.877 --> 00:04:43.556 Tunatumia,tunatupa,tunazisahau, 00:04:43.556 --> 00:04:45.336 Kwa sababu tunajua kuna wafanyakazi 00:04:45.336 --> 00:04:48.356 upande wa pili wataochukua wote. NOTE Paragraph 00:04:48.356 --> 00:04:50.803 Sasa nataka nitoe mapendekezo 00:04:50.803 --> 00:04:55.317 ya kufikiria kuhusu usafi ambayo 00:04:55.317 --> 00:04:57.791 yatapunguza unyanyapaa 00:04:57.791 --> 00:05:00.022 na kuwaingiza katika mazungumzo haya 00:05:00.022 --> 00:05:05.612 ya jinsi ya kuwa na mji unaokua kistaarabu. 00:05:05.612 --> 00:05:09.773 Kazi yao ni ile inayojirudia rudia. 00:05:09.773 --> 00:05:12.234 wako mitaani kila siku, 00:05:12.234 --> 00:05:14.295 Wakiwa na sare zao katika miji mingi 00:05:14.295 --> 00:05:16.164 Unajua wakati gani wa kuwategemea. 00:05:16.164 --> 00:05:20.087 Kazi yao inasabisha sisi pia tufanye kazi. 00:05:20.087 --> 00:05:22.878 Ni kama uhakikisho 00:05:22.878 --> 00:05:24.615 Ambao unaendelea 00:05:24.615 --> 00:05:26.605 kutufanya tuwe salama, 00:05:26.605 --> 00:05:29.242 mbali na uchafu wetu wenyewe 00:05:29.242 --> 00:05:32.500 na hali lazima iendelezwe kila wakati 00:05:32.500 --> 00:05:34.133 bila kujali chochote. NOTE Paragraph 00:05:34.133 --> 00:05:37.857 Siku ya Septemba 11, 2001, 00:05:37.857 --> 00:05:41.144 Na nilisikia muungurumo wa gari la usafi mtaani, 00:05:41.144 --> 00:05:43.456 nikamchukua mwanangu mchanga na kukimbilia chini 00:05:43.456 --> 00:05:46.298 kulikuwa na mtu ambaye alikuwa anachakata karatasi 00:05:46.298 --> 00:05:48.480 kama afanyavyo kila Jumatano. 00:05:48.480 --> 00:05:50.900 Na nikawa najaribu kumshukuru kwa kazi yake 00:05:50.900 --> 00:05:53.025 katika siku hii, 00:05:53.025 --> 00:05:55.626 lakini nikaanza kulia. 00:05:55.626 --> 00:05:57.310 akaniangalia, 00:05:57.310 --> 00:06:00.734 akatingisha kichwa,akisema, 00:06:00.734 --> 00:06:03.612 "Tutakuwa salama. 00:06:03.612 --> 00:06:06.253 "Tutakuwa salama." 00:06:06.253 --> 00:06:07.606 Ilikuwa ni baadae nilipoanza 00:06:07.606 --> 00:06:08.986 utafiti wangu wa usafi wa mazingira, 00:06:08.986 --> 00:06:10.400 nikakutana na mtu yule tena. 00:06:10.400 --> 00:06:13.317 Jina lake ni Paulie,tulifanya kazi pamoja mara nyingi, 00:06:13.317 --> 00:06:15.140 tulikuwa marafiki wazuri. NOTE Paragraph 00:06:15.140 --> 00:06:17.967 Nataka kuamini Paulie alikuwa sahihi. 00:06:17.967 --> 00:06:20.169 Kwamba tutakuwa salama. 00:06:20.169 --> 00:06:22.146 lakini katika jitahidi zetu za kutengeneza 00:06:22.146 --> 00:06:25.187 jinsi kama viumbe tutakavyoendelea kuishi katika dunia hii, 00:06:25.187 --> 00:06:28.482 lazima tuunganishe na kuangalia 00:06:28.482 --> 00:06:32.275 gharama zote, ikiwemo gharama 00:06:32.275 --> 00:06:33.779 za kazi. 00:06:33.779 --> 00:06:36.580 pia tutakuwa na taarifa 00:06:36.580 --> 00:06:38.798 za kuwafikia watu wanaofanya kazi hizo 00:06:38.798 --> 00:06:40.643 na kupata utaalam wao 00:06:40.643 --> 00:06:42.396 jinsi tunavyofikiri kuhusu, 00:06:42.396 --> 00:06:45.646 kutengeneza mifumo endelevu 00:06:45.646 --> 00:06:49.125 ambayo inatuchukua kutoka katika uchakataji, 00:06:49.125 --> 00:06:51.710 ambao ni mafanikio makubwa katika miaka 40, 00:06:51.710 --> 00:06:54.948 Katika nchi yote ya Marekani, na nchi mbalimbali duniani kote, 00:06:54.948 --> 00:06:57.750 na kutupeleka juu zaidi 00:06:57.750 --> 00:07:00.636 ambako tutaangalia aina nyingine za uchafu 00:07:00.636 --> 00:07:02.121 ambazo zinaweza zikapunguzwa 00:07:02.121 --> 00:07:04.854 kutoka viwandani. 00:07:04.854 --> 00:07:08.859 uchafu katika miji, jinsi tunavyofikiri tunapoongelea uchafu, 00:07:08.859 --> 00:07:12.857 unakaribia asilimia tatu ya uchafu wote katika taifa 00:07:12.857 --> 00:07:15.244 ni takwimu za kushangaza. NOTE Paragraph 00:07:15.244 --> 00:07:17.722 katika siku zako, 00:07:17.722 --> 00:07:19.248 katika maisha yako, 00:07:19.248 --> 00:07:22.276 utakapomwona mtu ambaye kazi yake ni 00:07:22.276 --> 00:07:25.419 kufanya usafi, 00:07:25.419 --> 00:07:27.908 chukua muda kuwatambua. 00:07:27.908 --> 00:07:32.500 chukua muda wako kuwashukuru. NOTE Paragraph 00:07:32.500 --> 00:07:35.854 (Makofi)