Converting decimals to fractions 1 (ex 1)
-
0:00 - 0:06Tuone kama tunaweza kuandika 0.15 kama sehemu.
-
0:06 - 0:08Kitu cha muhimu hapa ni kuangalia
-
0:08 - 0:11nafasi ipi tarakimu izi zipo.
-
0:11 - 0:13Kwa hiyo hii 1 hapa, iko kwenye sehemu ya makumi,
-
0:13 - 0:17unaweza kuiona kama 1 mara 1/10.
-
0:17 - 0:21Hii 5 hapa ipo kwenye sehemu ya mamia,
-
0:21 - 0:24unaweza kuiona kama 5 mara 1/100.
-
0:24 - 0:26Kama nitaiandika hii , nitaandika kama
-
0:26 - 0:30jumla ya -- hii 1 inawakilisha 1 mara 1/10,
-
0:30 - 0:33kwa hiyo kimsingi itakuwa 1/10 jumlisha
-
0:33 - 0:37na hii 5 inawakilisha5 mara 100,
-
0:37 - 0:40hivyo itakuwa jumlisha 5/100.
-
0:40 - 0:42Na kama tunataka kuzijumlisha,
-
0:42 - 0:44tunataka kupata viasili vyenye kufanana.
-
0:44 - 0:46Asili zenye kufanana ni 100.
-
0:46 - 0:4910 zote na --kigawe kidogo cha ushirika.
-
0:49 - 0:53100 ni kigawe cha 10 na 100.
-
0:53 - 0:56Hivyo tunaweza kuandika hii kama kitu juu ya 100
-
0:56 - 1:00jumlisha kitu juu ya 100.
-
1:00 - 1:01Hii haibadilika.
-
1:01 - 1:03Hii ilishakuwa 5/100.
-
1:03 - 1:05Kama tukizidisha asili hapa
-
1:05 - 1:08kwa 10-- hiki ndo tunachokifanya; tunazidisha kwa 10--
-
1:08 - 1:10baadae tutatakiwa tuzidishe hii asili kwa 10.
-
1:10 - 1:13Na hii ni sawa na 10/100.
-
1:13 - 1:14Na hapa tushajumlisha.
-
1:14 - 1:21Hii ni sawa na 10 jumlisha 5 ni 15/100.
-
1:21 - 1:23Na unatakiwa kufanya hii haraka kidogo
-
1:23 - 1:24kwa kutambua hii.
-
1:24 - 1:26Unaweza sema, angalia, nafasi yangu ndogo hapa
-
1:26 - 1:27ni kwenye sehemu ya mamia.
-
1:27 - 1:30Badala ya kuiita hii 1/10, nitaiita hii
-
1:30 - 1:3110/100.
-
1:31 - 1:36Au ninaweza kusema hii yote ni 15/100.
-
1:36 - 1:38Na kama nataka kupunguza hii kwenye kiwango cha chini,
-
1:38 - 1:40tutapata ngoja tuone, zote kiasi na asili
-
1:40 - 1:42zinagawanyika kwa 5.
-
1:42 - 1:45Hivyo ngoja tugawanye zote kwa 5.
-
1:45 - 1:48Kwa hiyo kiasi , 15 gawanya kwa 5, ni 3.
-
1:48 - 1:52Asili, 100 gawanya kwa 5, ni 20.
-
1:52 - 1:56Na hii inahusu kurahisisha kadri tutakavyopata.
- Title:
- Converting decimals to fractions 1 (ex 1)
- Description:
-
We're practicing how to convert a lonely decimal into a happy fraction.
Practice this lesson yourself on KhanAcademy.org right now: https://www.khanacademy.org/math/pre-algebra/decimals-pre-alg/decimal-to-fraction-pre-alg/e/converting_decimals_to_fractions_1?utm_source=YT&utm_medium=Desc&utm_campaign=PreAlgebra
Watch the next lesson: https://www.khanacademy.org/math/pre-algebra/decimals-pre-alg/decimal-to-fraction-pre-alg/v/converting-decimals-to-fractions-1-ex-2?utm_source=YT&utm_medium=Desc&utm_campaign=PreAlgebra
Missed the previous lesson?
https://www.khanacademy.org/math/pre-algebra/decimals-pre-alg/decimal-to-fraction-pre-alg/v/decimals-and-fractions?utm_source=YT&utm_medium=Desc&utm_campaign=PreAlgebraPre-Algebra on Khan Academy: No way, this isn't your run of the mill arithmetic. This is Pre-algebra. You're about to play with the professionals. Think of pre-algebra as a runway. You're the airplane and algebra is your sunny vacation destination. Without the runway you're not going anywhere. Seriously, the foundation for all higher mathematics is laid with many of the concepts that we will introduce to you here: negative numbers, absolute value, factors, multiples, decimals, and fractions to name a few. So buckle up and move your seat into the upright position. We're about to take off!
About Khan Academy: Khan Academy offers practice exercises, instructional videos, and a personalized learning dashboard that empower learners to study at their own pace in and outside of the classroom. We tackle math, science, computer programming, history, art history, economics, and more. Our math missions guide learners from kindergarten to calculus using state-of-the-art, adaptive technology that identifies strengths and learning gaps. We've also partnered with institutions like NASA, The Museum of Modern Art, The California Academy of Sciences, and MIT to offer specialized content.
For free. For everyone. Forever. #YouCanLearnAnything
Subscribe to KhanAcademy’s Pre-Algebra channel:: https://www.youtube.com/channel/UCIMlYkATtXOFswVoCZN7nAA?sub_confirmation=1
Subscribe to KhanAcademy: https://www.youtube.com/subscription_center?add_user=khanacademy - Video Language:
- English
- Team:
- Khan Academy
- Duration:
- 01:56
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for Converting decimals to fractions example 1 | Decimals | Pre-Algebra | Khan Academy |