Tuone kama tunaweza kuandika 0.15 kama sehemu.
Kitu cha muhimu hapa ni kuangalia
nafasi ipi tarakimu izi zipo.
Kwa hiyo hii 1 hapa, iko kwenye sehemu ya makumi,
unaweza kuiona kama 1 mara 1/10.
Hii 5 hapa ipo kwenye sehemu ya mamia,
unaweza kuiona kama 5 mara 1/100.
Kama nitaiandika hii , nitaandika kama
jumla ya -- hii 1 inawakilisha 1 mara 1/10,
kwa hiyo kimsingi itakuwa 1/10 jumlisha
na hii 5 inawakilisha5 mara 100,
hivyo itakuwa jumlisha 5/100.
Na kama tunataka kuzijumlisha,
tunataka kupata viasili vyenye kufanana.
Asili zenye kufanana ni 100.
10 zote na --kigawe kidogo cha ushirika.
100 ni kigawe cha 10 na 100.
Hivyo tunaweza kuandika hii kama kitu juu ya 100
jumlisha kitu juu ya 100.
Hii haibadilika.
Hii ilishakuwa 5/100.
Kama tukizidisha asili hapa
kwa 10-- hiki ndo tunachokifanya; tunazidisha kwa 10--
baadae tutatakiwa tuzidishe hii asili kwa 10.
Na hii ni sawa na 10/100.
Na hapa tushajumlisha.
Hii ni sawa na 10 jumlisha 5 ni 15/100.
Na unatakiwa kufanya hii haraka kidogo
kwa kutambua hii.
Unaweza sema, angalia, nafasi yangu ndogo hapa
ni kwenye sehemu ya mamia.
Badala ya kuiita hii 1/10, nitaiita hii
10/100.
Au ninaweza kusema hii yote ni 15/100.
Na kama nataka kupunguza hii kwenye kiwango cha chini,
tutapata ngoja tuone, zote kiasi na asili
zinagawanyika kwa 5.
Hivyo ngoja tugawanye zote kwa 5.
Kwa hiyo kiasi , 15 gawanya kwa 5, ni 3.
Asili, 100 gawanya kwa 5, ni 20.
Na hii inahusu kurahisisha kadri tutakavyopata.