[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.50,0:00:06.04,Default,,0000,0000,0000,,Tuone kama tunaweza kuandika 0.15 kama sehemu. Dialogue: 0,0:00:06.04,0:00:07.90,Default,,0000,0000,0000,,Kitu cha muhimu hapa ni kuangalia Dialogue: 0,0:00:07.90,0:00:10.55,Default,,0000,0000,0000,,nafasi ipi tarakimu izi zipo. Dialogue: 0,0:00:10.55,0:00:13.37,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo hii 1 hapa, iko kwenye sehemu ya makumi, Dialogue: 0,0:00:13.37,0:00:16.55,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kuiona kama 1 mara 1/10. Dialogue: 0,0:00:16.55,0:00:20.59,Default,,0000,0000,0000,,Hii 5 hapa ipo kwenye sehemu ya mamia, Dialogue: 0,0:00:20.59,0:00:23.70,Default,,0000,0000,0000,,unaweza kuiona kama 5 mara 1/100. Dialogue: 0,0:00:23.70,0:00:26.32,Default,,0000,0000,0000,,Kama nitaiandika hii , nitaandika kama Dialogue: 0,0:00:26.32,0:00:30.08,Default,,0000,0000,0000,,jumla ya -- hii 1 inawakilisha 1 mara 1/10, Dialogue: 0,0:00:30.08,0:00:33.48,Default,,0000,0000,0000,,kwa hiyo kimsingi itakuwa 1/10 jumlisha Dialogue: 0,0:00:33.48,0:00:36.86,Default,,0000,0000,0000,,na hii 5 inawakilisha5 mara 100, Dialogue: 0,0:00:36.86,0:00:40.38,Default,,0000,0000,0000,,hivyo itakuwa jumlisha 5/100. Dialogue: 0,0:00:40.38,0:00:41.91,Default,,0000,0000,0000,,Na kama tunataka kuzijumlisha, Dialogue: 0,0:00:41.91,0:00:43.87,Default,,0000,0000,0000,,tunataka kupata viasili vyenye kufanana. Dialogue: 0,0:00:43.87,0:00:45.89,Default,,0000,0000,0000,,Asili zenye kufanana ni 100. Dialogue: 0,0:00:45.89,0:00:49.48,Default,,0000,0000,0000,,10 zote na --kigawe kidogo cha ushirika. Dialogue: 0,0:00:49.48,0:00:52.72,Default,,0000,0000,0000,,100 ni kigawe cha 10 na 100. Dialogue: 0,0:00:52.72,0:00:55.73,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo tunaweza kuandika hii kama kitu juu ya 100 Dialogue: 0,0:00:55.73,0:00:59.52,Default,,0000,0000,0000,,jumlisha kitu juu ya 100. Dialogue: 0,0:00:59.52,0:01:00.64,Default,,0000,0000,0000,,Hii haibadilika. Dialogue: 0,0:01:00.64,0:01:02.75,Default,,0000,0000,0000,,Hii ilishakuwa 5/100. Dialogue: 0,0:01:02.75,0:01:04.65,Default,,0000,0000,0000,,Kama tukizidisha asili hapa Dialogue: 0,0:01:04.65,0:01:07.89,Default,,0000,0000,0000,,kwa 10-- hiki ndo tunachokifanya; tunazidisha kwa 10-- Dialogue: 0,0:01:07.89,0:01:10.31,Default,,0000,0000,0000,,baadae tutatakiwa tuzidishe hii asili kwa 10. Dialogue: 0,0:01:10.31,0:01:12.69,Default,,0000,0000,0000,,Na hii ni sawa na 10/100. Dialogue: 0,0:01:12.69,0:01:13.81,Default,,0000,0000,0000,,Na hapa tushajumlisha. Dialogue: 0,0:01:13.81,0:01:20.66,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni sawa na 10 jumlisha 5 ni 15/100. Dialogue: 0,0:01:20.66,0:01:23.01,Default,,0000,0000,0000,,Na unatakiwa kufanya hii haraka kidogo Dialogue: 0,0:01:23.01,0:01:23.86,Default,,0000,0000,0000,,kwa kutambua hii. Dialogue: 0,0:01:23.86,0:01:26.11,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza sema, angalia, nafasi yangu ndogo hapa Dialogue: 0,0:01:26.11,0:01:27.26,Default,,0000,0000,0000,,ni kwenye sehemu ya mamia. Dialogue: 0,0:01:27.26,0:01:29.59,Default,,0000,0000,0000,,Badala ya kuiita hii 1/10, nitaiita hii Dialogue: 0,0:01:29.59,0:01:30.86,Default,,0000,0000,0000,,10/100. Dialogue: 0,0:01:30.86,0:01:35.71,Default,,0000,0000,0000,,Au ninaweza kusema hii yote ni 15/100. Dialogue: 0,0:01:35.71,0:01:37.91,Default,,0000,0000,0000,,Na kama nataka kupunguza hii kwenye kiwango cha chini, Dialogue: 0,0:01:37.91,0:01:40.33,Default,,0000,0000,0000,,tutapata ngoja tuone, zote kiasi na asili Dialogue: 0,0:01:40.33,0:01:42.03,Default,,0000,0000,0000,,zinagawanyika kwa 5. Dialogue: 0,0:01:42.03,0:01:44.59,Default,,0000,0000,0000,,Hivyo ngoja tugawanye zote kwa 5. Dialogue: 0,0:01:44.59,0:01:48.41,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hiyo kiasi , 15 gawanya kwa 5, ni 3. Dialogue: 0,0:01:48.41,0:01:51.80,Default,,0000,0000,0000,,Asili, 100 gawanya kwa 5, ni 20. Dialogue: 0,0:01:51.80,0:01:55.89,Default,,0000,0000,0000,,Na hii inahusu kurahisisha kadri tutakavyopata.