WEBVTT 00:00:00.499 --> 00:00:06.040 Tuone kama tunaweza kuandika 0.15 kama sehemu. 00:00:06.040 --> 00:00:07.900 Kitu cha muhimu hapa ni kuangalia 00:00:07.900 --> 00:00:10.550 nafasi ipi tarakimu izi zipo. 00:00:10.550 --> 00:00:13.370 Kwa hiyo hii 1 hapa, iko kwenye sehemu ya makumi, 00:00:13.370 --> 00:00:16.550 unaweza kuiona kama 1 mara 1/10. 00:00:16.550 --> 00:00:20.590 Hii 5 hapa ipo kwenye sehemu ya mamia, 00:00:20.590 --> 00:00:23.700 unaweza kuiona kama 5 mara 1/100. 00:00:23.700 --> 00:00:26.320 Kama nitaiandika hii , nitaandika kama 00:00:26.320 --> 00:00:30.080 jumla ya -- hii 1 inawakilisha 1 mara 1/10, 00:00:30.080 --> 00:00:33.480 kwa hiyo kimsingi itakuwa 1/10 jumlisha 00:00:33.480 --> 00:00:36.860 na hii 5 inawakilisha5 mara 100, 00:00:36.860 --> 00:00:40.380 hivyo itakuwa jumlisha 5/100. 00:00:40.380 --> 00:00:41.910 Na kama tunataka kuzijumlisha, 00:00:41.910 --> 00:00:43.870 tunataka kupata viasili vyenye kufanana. 00:00:43.870 --> 00:00:45.890 Asili zenye kufanana ni 100. 00:00:45.890 --> 00:00:49.480 10 zote na --kigawe kidogo cha ushirika. 00:00:49.480 --> 00:00:52.720 100 ni kigawe cha 10 na 100. 00:00:52.720 --> 00:00:55.734 Hivyo tunaweza kuandika hii kama kitu juu ya 100 00:00:55.734 --> 00:00:59.516 jumlisha kitu juu ya 100. 00:00:59.516 --> 00:01:00.640 Hii haibadilika. 00:01:00.640 --> 00:01:02.750 Hii ilishakuwa 5/100. 00:01:02.750 --> 00:01:04.650 Kama tukizidisha asili hapa 00:01:04.650 --> 00:01:07.894 kwa 10-- hiki ndo tunachokifanya; tunazidisha kwa 10-- 00:01:07.894 --> 00:01:10.310 baadae tutatakiwa tuzidishe hii asili kwa 10. 00:01:10.310 --> 00:01:12.686 Na hii ni sawa na 10/100. 00:01:12.686 --> 00:01:13.810 Na hapa tushajumlisha. 00:01:13.810 --> 00:01:20.660 Hii ni sawa na 10 jumlisha 5 ni 15/100. 00:01:20.660 --> 00:01:23.010 Na unatakiwa kufanya hii haraka kidogo 00:01:23.010 --> 00:01:23.860 kwa kutambua hii. 00:01:23.860 --> 00:01:26.109 Unaweza sema, angalia, nafasi yangu ndogo hapa 00:01:26.109 --> 00:01:27.260 ni kwenye sehemu ya mamia. 00:01:27.260 --> 00:01:29.590 Badala ya kuiita hii 1/10, nitaiita hii 00:01:29.590 --> 00:01:30.860 10/100. 00:01:30.860 --> 00:01:35.710 Au ninaweza kusema hii yote ni 15/100. 00:01:35.710 --> 00:01:37.914 Na kama nataka kupunguza hii kwenye kiwango cha chini, 00:01:37.914 --> 00:01:40.330 tutapata ngoja tuone, zote kiasi na asili 00:01:40.330 --> 00:01:42.030 zinagawanyika kwa 5. 00:01:42.030 --> 00:01:44.590 Hivyo ngoja tugawanye zote kwa 5. 00:01:44.590 --> 00:01:48.410 Kwa hiyo kiasi , 15 gawanya kwa 5, ni 3. 00:01:48.410 --> 00:01:51.800 Asili, 100 gawanya kwa 5, ni 20. 00:01:51.800 --> 00:01:55.890 Na hii inahusu kurahisisha kadri tutakavyopata.