1 00:00:00,499 --> 00:00:06,040 Tuone kama tunaweza kuandika 0.15 kama sehemu. 2 00:00:06,040 --> 00:00:07,900 Kitu cha muhimu hapa ni kuangalia 3 00:00:07,900 --> 00:00:10,550 nafasi ipi tarakimu izi zipo. 4 00:00:10,550 --> 00:00:13,370 Kwa hiyo hii 1 hapa, iko kwenye sehemu ya makumi, 5 00:00:13,370 --> 00:00:16,550 unaweza kuiona kama 1 mara 1/10. 6 00:00:16,550 --> 00:00:20,590 Hii 5 hapa ipo kwenye sehemu ya mamia, 7 00:00:20,590 --> 00:00:23,700 unaweza kuiona kama 5 mara 1/100. 8 00:00:23,700 --> 00:00:26,320 Kama nitaiandika hii , nitaandika kama 9 00:00:26,320 --> 00:00:30,080 jumla ya -- hii 1 inawakilisha 1 mara 1/10, 10 00:00:30,080 --> 00:00:33,480 kwa hiyo kimsingi itakuwa 1/10 jumlisha 11 00:00:33,480 --> 00:00:36,860 na hii 5 inawakilisha5 mara 100, 12 00:00:36,860 --> 00:00:40,380 hivyo itakuwa jumlisha 5/100. 13 00:00:40,380 --> 00:00:41,910 Na kama tunataka kuzijumlisha, 14 00:00:41,910 --> 00:00:43,870 tunataka kupata viasili vyenye kufanana. 15 00:00:43,870 --> 00:00:45,890 Asili zenye kufanana ni 100. 16 00:00:45,890 --> 00:00:49,480 10 zote na --kigawe kidogo cha ushirika. 17 00:00:49,480 --> 00:00:52,720 100 ni kigawe cha 10 na 100. 18 00:00:52,720 --> 00:00:55,734 Hivyo tunaweza kuandika hii kama kitu juu ya 100 19 00:00:55,734 --> 00:00:59,516 jumlisha kitu juu ya 100. 20 00:00:59,516 --> 00:01:00,640 Hii haibadilika. 21 00:01:00,640 --> 00:01:02,750 Hii ilishakuwa 5/100. 22 00:01:02,750 --> 00:01:04,650 Kama tukizidisha asili hapa 23 00:01:04,650 --> 00:01:07,894 kwa 10-- hiki ndo tunachokifanya; tunazidisha kwa 10-- 24 00:01:07,894 --> 00:01:10,310 baadae tutatakiwa tuzidishe hii asili kwa 10. 25 00:01:10,310 --> 00:01:12,686 Na hii ni sawa na 10/100. 26 00:01:12,686 --> 00:01:13,810 Na hapa tushajumlisha. 27 00:01:13,810 --> 00:01:20,660 Hii ni sawa na 10 jumlisha 5 ni 15/100. 28 00:01:20,660 --> 00:01:23,010 Na unatakiwa kufanya hii haraka kidogo 29 00:01:23,010 --> 00:01:23,860 kwa kutambua hii. 30 00:01:23,860 --> 00:01:26,109 Unaweza sema, angalia, nafasi yangu ndogo hapa 31 00:01:26,109 --> 00:01:27,260 ni kwenye sehemu ya mamia. 32 00:01:27,260 --> 00:01:29,590 Badala ya kuiita hii 1/10, nitaiita hii 33 00:01:29,590 --> 00:01:30,860 10/100. 34 00:01:30,860 --> 00:01:35,710 Au ninaweza kusema hii yote ni 15/100. 35 00:01:35,710 --> 00:01:37,914 Na kama nataka kupunguza hii kwenye kiwango cha chini, 36 00:01:37,914 --> 00:01:40,330 tutapata ngoja tuone, zote kiasi na asili 37 00:01:40,330 --> 00:01:42,030 zinagawanyika kwa 5. 38 00:01:42,030 --> 00:01:44,590 Hivyo ngoja tugawanye zote kwa 5. 39 00:01:44,590 --> 00:01:48,410 Kwa hiyo kiasi , 15 gawanya kwa 5, ni 3. 40 00:01:48,410 --> 00:01:51,800 Asili, 100 gawanya kwa 5, ni 20. 41 00:01:51,800 --> 00:01:55,890 Na hii inahusu kurahisisha kadri tutakavyopata.