0:00:00.499,0:00:06.040 Tuone kama tunaweza kuandika 0.15 kama sehemu. 0:00:06.040,0:00:07.900 Kitu cha muhimu hapa ni kuangalia 0:00:07.900,0:00:10.550 nafasi ipi tarakimu izi zipo. 0:00:10.550,0:00:13.370 Kwa hiyo hii 1 hapa, iko kwenye sehemu ya makumi, 0:00:13.370,0:00:16.550 unaweza kuiona kama 1 mara 1/10. 0:00:16.550,0:00:20.590 Hii 5 hapa ipo kwenye sehemu ya mamia, 0:00:20.590,0:00:23.700 unaweza kuiona kama 5 mara 1/100. 0:00:23.700,0:00:26.320 Kama nitaiandika hii , nitaandika kama 0:00:26.320,0:00:30.080 jumla ya -- hii 1 inawakilisha 1 mara 1/10, 0:00:30.080,0:00:33.480 kwa hiyo kimsingi itakuwa 1/10 jumlisha 0:00:33.480,0:00:36.860 na hii 5 inawakilisha5 mara 100, 0:00:36.860,0:00:40.380 hivyo itakuwa jumlisha 5/100. 0:00:40.380,0:00:41.910 Na kama tunataka kuzijumlisha, 0:00:41.910,0:00:43.870 tunataka kupata viasili vyenye kufanana. 0:00:43.870,0:00:45.890 Asili zenye kufanana ni 100. 0:00:45.890,0:00:49.480 10 zote na --kigawe kidogo cha ushirika. 0:00:49.480,0:00:52.720 100 ni kigawe cha 10 na 100. 0:00:52.720,0:00:55.734 Hivyo tunaweza kuandika hii kama kitu juu ya 100 0:00:55.734,0:00:59.516 jumlisha kitu juu ya 100. 0:00:59.516,0:01:00.640 Hii haibadilika. 0:01:00.640,0:01:02.750 Hii ilishakuwa 5/100. 0:01:02.750,0:01:04.650 Kama tukizidisha asili hapa 0:01:04.650,0:01:07.894 kwa 10-- hiki ndo tunachokifanya; tunazidisha kwa 10-- 0:01:07.894,0:01:10.310 baadae tutatakiwa tuzidishe hii asili kwa 10. 0:01:10.310,0:01:12.686 Na hii ni sawa na 10/100. 0:01:12.686,0:01:13.810 Na hapa tushajumlisha. 0:01:13.810,0:01:20.660 Hii ni sawa na 10 jumlisha 5 ni 15/100. 0:01:20.660,0:01:23.010 Na unatakiwa kufanya hii haraka kidogo 0:01:23.010,0:01:23.860 kwa kutambua hii. 0:01:23.860,0:01:26.109 Unaweza sema, angalia, nafasi yangu ndogo hapa 0:01:26.109,0:01:27.260 ni kwenye sehemu ya mamia. 0:01:27.260,0:01:29.590 Badala ya kuiita hii 1/10, nitaiita hii 0:01:29.590,0:01:30.860 10/100. 0:01:30.860,0:01:35.710 Au ninaweza kusema hii yote ni 15/100. 0:01:35.710,0:01:37.914 Na kama nataka kupunguza hii kwenye kiwango cha chini, 0:01:37.914,0:01:40.330 tutapata ngoja tuone, zote kiasi na asili 0:01:40.330,0:01:42.030 zinagawanyika kwa 5. 0:01:42.030,0:01:44.590 Hivyo ngoja tugawanye zote kwa 5. 0:01:44.590,0:01:48.410 Kwa hiyo kiasi , 15 gawanya kwa 5, ni 3. 0:01:48.410,0:01:51.800 Asili, 100 gawanya kwa 5, ni 20. 0:01:51.800,0:01:55.890 Na hii inahusu kurahisisha kadri tutakavyopata.