Watoto wanahitaji mapumziko | Simon Link | TEDxAmanaAcademy
-
0:05 - 0:07Mwaka jana, nilipata gamba na upanga.
-
0:07 - 0:10Nilikuta mbwa nikacheza nae.
-
0:10 - 0:12Nilijenga nyumba na kutengeneza bustani.
-
0:12 - 0:15Usiku ukaingia, na majitu yakawa kila
sehemu. -
0:15 - 0:19Kulikua na bwana mbaya
ambae nilianza kumuua. -
0:19 - 0:22Nilipokua tu ninakaribia kummaliza ...
-
0:22 - 0:23(Miluzi)
-
0:23 - 0:24"Mda wa kupanga mstari!"
-
0:24 - 0:27Habari, jina langu ni Simon Link,
-
0:27 - 0:31na ninaongelea kuhusu kwa nini watoto
wanatakiwa kuwa na mapumziko ya lisaa. -
0:31 - 0:34Unajua kua vinasaba vinabadilika
vinapopata mda wa kucheza? -
0:34 - 0:39Kati ya vinasaba 1,200 ambazo
wanasayansi wamechunguza, -
0:39 - 0:44moja ya tatu yao vimebadilika
vilipokua na nusu saa ya kucheza. -
0:45 - 0:46Tangu miaka ya 1800,
-
0:46 - 0:51utafiti unaonyesha kua unajifunza
zaidi na haraka unapokuwa unacheza. -
0:52 - 0:58Kazi yenye mapumziko ni bora zaidi
kuliko kazi za mda mreeeeefu. -
1:00 - 1:04Baadhi ya kikundi kilitembelea
shule isiyokua na mapumziko. -
1:04 - 1:07Wakawauliza
wawe na mapumziko mara mbili kwa wiki -
1:07 - 1:10ili wawaangalie na kuona
jinsi walivyo. -
1:10 - 1:15Walikua wamekazia zaidi na watukutu kidogo
kwenye siku walizokua na mapumziko. -
1:16 - 1:18Mikazo inaathiri kujifunza na afya.
-
1:18 - 1:22Kwa watoto wengi, haswa wale
wanaosemekana kukosa utulivu, -
1:22 - 1:28mapumziko ni nafasi ya kutumia nguvu
kwa namna yenye afya na inayofaa. -
1:28 - 1:30Mapumziko huunda maarifa ya kijamii.
-
1:30 - 1:35Mapumziko yanaweza kua mda pekee wa siku
ambapo watoto wana nafasi -
1:35 - 1:39ya kupitia mahusiano na
mawasiliano ya ukweli. -
1:40 - 1:43Mwanga wa nje unasisimua
utoaji wa vitamini D, -
1:43 - 1:49ambapo tafiti nyingi zimeonyesha
kuongezeka kwa mafunzo ya kitaaluma. -
1:50 - 1:55Nje ni sehemu bora zaidi
kwa watoto kuchoma kalori, -
1:55 - 2:00kujaribu ujuzi wa dharura za kimwili,
na kupata furaha halisi ya kuzunguka. -
2:01 - 2:07Kulingana na Rae Pica, ambae ni mtaalamu
wa mazoezi ya mwili ya watoto, -
2:07 - 2:08mapumziko yanaweza kuwa ...
-
2:08 - 2:12utafiti unaonyesha kua unajifunza ...
-
2:13 - 2:15utafiti unaonyesha pia ...
-
2:17 - 2:18kua ...
-
2:18 - 2:20kunapokuwa na mazoezi ya mwili shuleni,
-
2:20 - 2:24unakua na mazoezi ya mwili zaidi
ukiwa nyumbani, -
2:24 - 2:28na watoto ambao hawana hio
nafasi -
2:28 - 2:30kuwa na uwezo wa kufanya mazoezi
siku za shule -
2:30 - 2:34kawaida hawafidii
wakati wa masaa baada ya shule. -
2:36 - 2:38Kukimbia kunasaidia ubongo.
-
2:39 - 2:41Kwa sababu ya maendeleo ya tafiti za
ubongo, -
2:41 - 2:46tunajua kua sehemu kubwa ya ubongo
inasisimka wakati wa mazoezi ya mwili -
2:46 - 2:49mara nyingi zaidi ya kukaa tu sehemu.
-
2:52 - 2:54Sasa, simameni,
-
2:54 - 2:57na mruke mara kumi nitakapowaambia.
-
3:04 - 3:05Ruka!
-
3:05 - 3:09Moja, mbili, tatu, nne, tano,
-
3:10 - 3:14sita, saba, nane, tisa, kumi.
-
3:14 - 3:15Sasa, kaeni chini.
-
3:21 - 3:25Ninatafakari dunia ambayo kila mtoto
anapata mda wa kutosha wa kucheza. -
3:25 - 3:27Ninatumaini kua kama unawatoto,
-
3:27 - 3:30utahakikisha kua hao watoto
wanapata mda mwingi wa kucheza. -
3:30 - 3:31Asanteni.
-
3:32 - 3:33(Makofi)
- Title:
- Watoto wanahitaji mapumziko | Simon Link | TEDxAmanaAcademy
- Description:
-
Simon Link yuko darasa la tatu Shule ya Amana. Anapenda chokoleti, pipi na kujifunza kuhusu historia za tamaduni nyingine. Anapenda kukimbia na kucheza wakati wa mapumziko. Simon anaamini wanafunzi wanapaswa kua na mda mrefu zaidi wa mapumziko na mda wa mazoezi kwenye siku. Hili wazo linaungana na la Utoaji wa Mfumo wa Kujifunza wa Uelewa Mkuu, na Jukumu la Kujifunza.
Maongezi haya yametolewa kwenye tukio la TEDx kutumia mfumo wa mikutano ya TED yakiwa yameandaliwa kipekee na jamii. Jifunze zaidi kupitia https://www.ted.com/tedx
- Video Language:
- English
- Team:
- closed TED
- Project:
- TEDxTalks
- Duration:
- 03:39
Nelson Simfukwe approved Swahili subtitles for Kids need recess | Simon Link | TEDxAmanaAcademy | ||
Julieth Mbeyella accepted Swahili subtitles for Kids need recess | Simon Link | TEDxAmanaAcademy | ||
Julieth Mbeyella edited Swahili subtitles for Kids need recess | Simon Link | TEDxAmanaAcademy | ||
Doris Mangalu edited Swahili subtitles for Kids need recess | Simon Link | TEDxAmanaAcademy |