[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:04.65,0:00:07.42,Default,,0000,0000,0000,,Mwaka jana, nilipata gamba na upanga. Dialogue: 0,0:00:07.42,0:00:09.57,Default,,0000,0000,0000,,Nilikuta mbwa nikacheza nae. Dialogue: 0,0:00:09.57,0:00:11.68,Default,,0000,0000,0000,,Nilijenga nyumba na kutengeneza bustani. Dialogue: 0,0:00:11.68,0:00:14.58,Default,,0000,0000,0000,,Usiku ukaingia, na majitu yakawa kila\Nsehemu. Dialogue: 0,0:00:15.21,0:00:18.87,Default,,0000,0000,0000,,Kulikua na bwana mbaya\Nambae nilianza kumuua. Dialogue: 0,0:00:18.87,0:00:21.59,Default,,0000,0000,0000,,Nilipokua tu ninakaribia kummaliza ... Dialogue: 0,0:00:21.59,0:00:22.61,Default,,0000,0000,0000,,(Miluzi) Dialogue: 0,0:00:22.61,0:00:24.48,Default,,0000,0000,0000,,"Mda wa kupanga mstari!" Dialogue: 0,0:00:24.48,0:00:26.72,Default,,0000,0000,0000,,Habari, jina langu ni Simon Link, Dialogue: 0,0:00:26.72,0:00:30.88,Default,,0000,0000,0000,,na ninaongelea kuhusu kwa nini watoto\Nwanatakiwa kuwa na mapumziko ya lisaa. Dialogue: 0,0:00:31.40,0:00:34.41,Default,,0000,0000,0000,,Unajua kua vinasaba vinabadilika\Nvinapopata mda wa kucheza? Dialogue: 0,0:00:34.41,0:00:39.49,Default,,0000,0000,0000,,Kati ya vinasaba 1,200 ambazo\Nwanasayansi wamechunguza, Dialogue: 0,0:00:39.49,0:00:43.76,Default,,0000,0000,0000,,moja ya tatu yao vimebadilika\Nvilipokua na nusu saa ya kucheza. Dialogue: 0,0:00:44.92,0:00:46.41,Default,,0000,0000,0000,,Tangu miaka ya 1800, Dialogue: 0,0:00:46.41,0:00:50.97,Default,,0000,0000,0000,,utafiti unaonyesha kua unajifunza\Nzaidi na haraka unapokuwa unacheza. Dialogue: 0,0:00:52.09,0:00:58.37,Default,,0000,0000,0000,,Kazi yenye mapumziko ni bora zaidi\Nkuliko kazi za mda mreeeeefu. Dialogue: 0,0:00:59.72,0:01:03.74,Default,,0000,0000,0000,,Baadhi ya kikundi kilitembelea\Nshule isiyokua na mapumziko. Dialogue: 0,0:01:04.26,0:01:06.87,Default,,0000,0000,0000,,Wakawauliza\Nwawe na mapumziko mara mbili kwa wiki Dialogue: 0,0:01:06.87,0:01:10.41,Default,,0000,0000,0000,,ili wawaangalie na kuona\Njinsi walivyo. Dialogue: 0,0:01:10.41,0:01:14.78,Default,,0000,0000,0000,,Walikua wamekazia zaidi na watukutu kidogo\Nkwenye siku walizokua na mapumziko. Dialogue: 0,0:01:16.06,0:01:18.40,Default,,0000,0000,0000,,Mikazo inaathiri kujifunza na afya. Dialogue: 0,0:01:18.40,0:01:22.43,Default,,0000,0000,0000,,Kwa watoto wengi, haswa wale\Nwanaosemekana kukosa utulivu, Dialogue: 0,0:01:22.43,0:01:28.12,Default,,0000,0000,0000,,mapumziko ni nafasi ya kutumia nguvu\Nkwa namna yenye afya na inayofaa. Dialogue: 0,0:01:28.12,0:01:30.49,Default,,0000,0000,0000,,Mapumziko huunda maarifa ya kijamii. Dialogue: 0,0:01:30.49,0:01:34.92,Default,,0000,0000,0000,,Mapumziko yanaweza kua mda pekee wa siku\Nambapo watoto wana nafasi Dialogue: 0,0:01:34.92,0:01:39.16,Default,,0000,0000,0000,,ya kupitia mahusiano na\Nmawasiliano ya ukweli. Dialogue: 0,0:01:39.63,0:01:43.40,Default,,0000,0000,0000,,Mwanga wa nje unasisimua\Nutoaji wa vitamini D, Dialogue: 0,0:01:43.40,0:01:48.93,Default,,0000,0000,0000,,ambapo tafiti nyingi zimeonyesha\Nkuongezeka kwa mafunzo ya kitaaluma. Dialogue: 0,0:01:50.17,0:01:55.02,Default,,0000,0000,0000,,Nje ni sehemu bora zaidi\Nkwa watoto kuchoma kalori, Dialogue: 0,0:01:55.02,0:02:00.24,Default,,0000,0000,0000,,kujaribu ujuzi wa dharura za kimwili,\Nna kupata furaha halisi ya kuzunguka. Dialogue: 0,0:02:01.49,0:02:06.57,Default,,0000,0000,0000,,Kulingana na Rae Pica, ambae ni mtaalamu\Nwa mazoezi ya mwili ya watoto, Dialogue: 0,0:02:06.57,0:02:08.31,Default,,0000,0000,0000,,mapumziko yanaweza kuwa ... Dialogue: 0,0:02:08.31,0:02:12.22,Default,,0000,0000,0000,,utafiti unaonyesha kua unajifunza ... Dialogue: 0,0:02:12.91,0:02:15.07,Default,,0000,0000,0000,,utafiti unaonyesha pia ... Dialogue: 0,0:02:16.53,0:02:17.53,Default,,0000,0000,0000,,kua ... Dialogue: 0,0:02:17.74,0:02:20.46,Default,,0000,0000,0000,,kunapokuwa na mazoezi ya mwili shuleni, Dialogue: 0,0:02:20.46,0:02:23.62,Default,,0000,0000,0000,,unakua na mazoezi ya mwili zaidi\Nukiwa nyumbani, Dialogue: 0,0:02:23.62,0:02:27.72,Default,,0000,0000,0000,,na watoto ambao hawana hio\Nnafasi Dialogue: 0,0:02:27.72,0:02:30.49,Default,,0000,0000,0000,,kuwa na uwezo wa kufanya mazoezi\Nsiku za shule Dialogue: 0,0:02:30.49,0:02:34.29,Default,,0000,0000,0000,,kawaida hawafidii\Nwakati wa masaa baada ya shule. Dialogue: 0,0:02:35.83,0:02:38.36,Default,,0000,0000,0000,,Kukimbia kunasaidia ubongo. Dialogue: 0,0:02:39.10,0:02:41.45,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sababu ya maendeleo ya tafiti za\Nubongo, Dialogue: 0,0:02:41.45,0:02:45.91,Default,,0000,0000,0000,,tunajua kua sehemu kubwa ya ubongo\Ninasisimka wakati wa mazoezi ya mwili Dialogue: 0,0:02:45.91,0:02:48.73,Default,,0000,0000,0000,,mara nyingi zaidi ya kukaa tu sehemu. Dialogue: 0,0:02:52.41,0:02:53.82,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, simameni, Dialogue: 0,0:02:53.82,0:02:56.81,Default,,0000,0000,0000,,na mruke mara kumi nitakapowaambia. Dialogue: 0,0:03:04.43,0:03:05.44,Default,,0000,0000,0000,,Ruka! Dialogue: 0,0:03:05.44,0:03:09.45,Default,,0000,0000,0000,,Moja, mbili, tatu, nne, tano, Dialogue: 0,0:03:09.60,0:03:13.57,Default,,0000,0000,0000,,sita, saba, nane, tisa, kumi. Dialogue: 0,0:03:13.57,0:03:15.38,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, kaeni chini. Dialogue: 0,0:03:20.98,0:03:25.23,Default,,0000,0000,0000,,Ninatafakari dunia ambayo kila mtoto\Nanapata mda wa kutosha wa kucheza. Dialogue: 0,0:03:25.23,0:03:26.92,Default,,0000,0000,0000,,Ninatumaini kua kama unawatoto, Dialogue: 0,0:03:26.92,0:03:30.18,Default,,0000,0000,0000,,utahakikisha kua hao watoto\Nwanapata mda mwingi wa kucheza. Dialogue: 0,0:03:30.18,0:03:31.18,Default,,0000,0000,0000,,Asanteni. Dialogue: 0,0:03:31.61,0:03:32.90,Default,,0000,0000,0000,,(Makofi)