WEBVTT 00:00:04.653 --> 00:00:07.421 Mwaka jana, nilipata gamba na upanga. 00:00:07.421 --> 00:00:09.567 Nilikuta mbwa nikacheza nae. 00:00:09.567 --> 00:00:11.675 Nilijenga nyumba na kutengeneza bustani. 00:00:11.675 --> 00:00:14.584 Usiku ukaingia, na majitu yakawa kila sehemu. 00:00:15.213 --> 00:00:18.866 Kulikua na bwana mbaya ambae nilianza kumuua. 00:00:18.866 --> 00:00:21.592 Nilipokua tu ninakaribia kummaliza ... 00:00:21.592 --> 00:00:22.611 (Miluzi) 00:00:22.611 --> 00:00:24.482 "Mda wa kupanga mstari!" 00:00:24.482 --> 00:00:26.721 Habari, jina langu ni Simon Link, 00:00:26.721 --> 00:00:30.879 na ninaongelea kuhusu kwa nini watoto wanatakiwa kuwa na mapumziko ya lisaa. 00:00:31.405 --> 00:00:34.409 Unajua kua vinasaba vinabadilika vinapopata mda wa kucheza? 00:00:34.409 --> 00:00:39.489 Kati ya vinasaba 1,200 ambazo wanasayansi wamechunguza, 00:00:39.489 --> 00:00:43.761 moja ya tatu yao vimebadilika vilipokua na nusu saa ya kucheza. 00:00:44.915 --> 00:00:46.410 Tangu miaka ya 1800, 00:00:46.410 --> 00:00:50.972 utafiti unaonyesha kua unajifunza zaidi na haraka unapokuwa unacheza. 00:00:52.086 --> 00:00:58.368 Kazi yenye mapumziko ni bora zaidi kuliko kazi za mda mreeeeefu. 00:00:59.721 --> 00:01:03.743 Baadhi ya kikundi kilitembelea shule isiyokua na mapumziko. 00:01:04.264 --> 00:01:06.866 Wakawauliza wawe na mapumziko mara mbili kwa wiki 00:01:06.866 --> 00:01:10.407 ili wawaangalie na kuona jinsi walivyo. 00:01:10.412 --> 00:01:14.782 Walikua wamekazia zaidi na watukutu kidogo kwenye siku walizokua na mapumziko. 00:01:16.057 --> 00:01:18.399 Mikazo inaathiri kujifunza na afya. 00:01:18.399 --> 00:01:22.428 Kwa watoto wengi, haswa wale wanaosemekana kukosa utulivu, 00:01:22.428 --> 00:01:28.116 mapumziko ni nafasi ya kutumia nguvu kwa namna yenye afya na inayofaa. 00:01:28.116 --> 00:01:30.494 Mapumziko huunda maarifa ya kijamii. 00:01:30.494 --> 00:01:34.916 Mapumziko yanaweza kua mda pekee wa siku ambapo watoto wana nafasi 00:01:34.916 --> 00:01:39.159 ya kupitia mahusiano na mawasiliano ya ukweli. 00:01:39.634 --> 00:01:43.399 Mwanga wa nje unasisimua utoaji wa vitamini D, 00:01:43.399 --> 00:01:48.933 ambapo tafiti nyingi zimeonyesha kuongezeka kwa mafunzo ya kitaaluma. 00:01:50.167 --> 00:01:55.023 Nje ni sehemu bora zaidi kwa watoto kuchoma kalori, 00:01:55.023 --> 00:02:00.237 kujaribu ujuzi wa dharura za kimwili, na kupata furaha halisi ya kuzunguka. 00:02:01.492 --> 00:02:06.572 Kulingana na Rae Pica, ambae ni mtaalamu wa mazoezi ya mwili ya watoto, 00:02:06.572 --> 00:02:08.314 mapumziko yanaweza kuwa ... 00:02:08.314 --> 00:02:12.218 utafiti unaonyesha kua unajifunza ... 00:02:12.914 --> 00:02:15.071 utafiti unaonyesha pia ... 00:02:16.526 --> 00:02:17.530 kua ... 00:02:17.735 --> 00:02:20.456 kunapokuwa na mazoezi ya mwili shuleni, 00:02:20.460 --> 00:02:23.616 unakua na mazoezi ya mwili zaidi ukiwa nyumbani, 00:02:23.624 --> 00:02:27.720 na watoto ambao hawana hio nafasi 00:02:27.720 --> 00:02:30.491 kuwa na uwezo wa kufanya mazoezi siku za shule 00:02:30.494 --> 00:02:34.294 kawaida hawafidii wakati wa masaa baada ya shule. 00:02:35.834 --> 00:02:38.356 Kukimbia kunasaidia ubongo. 00:02:39.104 --> 00:02:41.451 Kwa sababu ya maendeleo ya tafiti za ubongo, 00:02:41.451 --> 00:02:45.912 tunajua kua sehemu kubwa ya ubongo inasisimka wakati wa mazoezi ya mwili 00:02:45.913 --> 00:02:48.730 mara nyingi zaidi ya kukaa tu sehemu. 00:02:52.413 --> 00:02:53.817 Sasa, simameni, 00:02:53.817 --> 00:02:56.808 na mruke mara kumi nitakapowaambia. 00:03:04.433 --> 00:03:05.443 Ruka! 00:03:05.443 --> 00:03:09.453 Moja, mbili, tatu, nne, tano, 00:03:09.603 --> 00:03:13.573 sita, saba, nane, tisa, kumi. 00:03:13.573 --> 00:03:15.382 Sasa, kaeni chini. 00:03:20.985 --> 00:03:25.232 Ninatafakari dunia ambayo kila mtoto anapata mda wa kutosha wa kucheza. 00:03:25.232 --> 00:03:26.917 Ninatumaini kua kama unawatoto, 00:03:26.917 --> 00:03:30.175 utahakikisha kua hao watoto wanapata mda mwingi wa kucheza. 00:03:30.175 --> 00:03:31.177 Asanteni. 00:03:31.607 --> 00:03:32.905 (Makofi)