Uponyaji na Ukombozi wa PAPO HAPO Kupitia Zoom!
-
0:00 - 0:08Kwa Jina Kuu la Yesu Kristo !
-
0:08 - 0:15Pona kwa Jina La Yesu
-
0:15 - 0:22Kila Roho isiyo ya Mungu , Toka kwa jina La Yesu !
-
0:22 - 0:25Toka sasa!
-
0:25 - 0:31Yesu Kristo , tunakuomba nguvu zako za uponyaji gusa kila mahali palipo haribika .
-
0:31 - 0:42Mahali popote viungo vilipoharibika ! nasema anza kufanya kazi sasa!
-
0:42 - 0:49Kwa Jina la Yesu Kristo
-
0:49 - 1:00Sasa, roho mchafu , nasema toka kwa jina La Yesu Kristo!
-
1:00 - 1:08Asante Yesu , kwa uhuru.
-
1:08 - 1:12Kwa Kuu Jina La Yesu .
-
1:12 - 1:17sasa mku huru . kaka nataka ujiangalie .
-
1:17 - 1:21Roho wa Mungu amegusa sehemu ya mwili iliyo kua na maumivu .
-
1:21 - 1:25Jiangalie na ufurahie . furahia utukufu wa Mungu
-
1:25 - 1:29Dada yetu , Mungu amekukomboa na kumweka mume wako huru
-
1:29 - 1:36Unaweza amka na kufurahia sasa, uko huru kwa jina la Yesu.
-
1:37 - 1:43Tafadhali tuambie nchi uliyotokea , na mtu aliye keti kando yako
-
1:43 - 1:51Jina langu ni Shadreck: Mwanamke alikaa kando yangu ni mke wangu mpendwa , Naomi . Tunatokea Zambia.
-
1:51 - 1:56Yote yalianza miaka sita iliyopita , nilipokua kazini (kwenye chimbo chini ya ardhi)
-
1:56 - 2:01sababu ya kazi yangu ya kuvirekebisha vifaa zito za kazi.
-
2:01 - 2:04Mimi hutengeza au kuvirekebisha vifaa vya kazi
-
2:04 - 2:09Nilipokua nafanya kazi ndani ya chimbo hilo , kwa ghafla nikasikia uchungu mkali mno.
-
2:09 - 2:15kutokea bega langu la kushoto kwenda chini kwenye mguu wangu wa kushoto
-
2:15 - 2:22Sikuweza kutembea - nikaviangusha chini vifaa vya kazi
-
2:22 - 2:25sababu sikuweza kufanya kitu chochote wakati huo
-
2:25 - 2:30Huo ulikua mwanzo wa zamu yangu kazini , nilitakiwa kufanya kazi kwa mda wa masaa nane.
-
2:30 - 2:34Hayo yalitokea dakika chache baada ya kuanza zamu yangu kazini
-
2:34 - 2:41Ilinilazimu kukaa chini na sikuweza kufanya kitu chochote mpaka masaa yangu ya zamu kazini yakaisha,
-
2:41 - 2:46Nilitarajia kua labda uchungu huo ulikua tu mojawapo ya vitu vya kupita.
-
2:46 - 2:50Siku iliyofuata , uchungu ulikua bado upo.
-
2:50 - 2:54Nilienda hospitalini wakanipa dawa ya maumivi (Vituliza maumivu )
-
2:54 - 3:01Baada ya siku tatu , nilidhani uchungu ungetoweka lakini hali ilizorota.
-
3:01 - 3:06Singeweza hata kutembea - kutembea ilikua tatizo hata kuinama sikuweza.
-
3:06 - 3:10Hata kulala- nilikua kwa hali ya usumbufu.
-
3:10 - 3:15Singeweza kuchukua chochote sakafuni , hata kama kingekua kidogo kama chupa.
-
3:15 - 3:19Kingeanguka sakafuni, ningeomba mtu mwingine kunichukulia.
-
3:19 - 3:26NIlipokua nikioga , ilinilazimu kuketia stuli (Kigoda) sababu ilikua vigumu kwangu kuinama.
-
3:26 - 3:32Hali ilikua mbaya , huku nikitafuta matibabu ya kiafya kwa miaka mbili.
-
3:32 - 3:37Nilikua mara kwa mara nikienda Hospitalini kuona wauguzi
-
3:37 - 3:50Tabibu wa kwanza aliniambia aliona
-
3:50 - 3:53
-
3:53 - 3:59
-
3:59 - 4:01
-
4:01 - 4:09
-
4:09 - 4:16
-
4:16 - 4:19
-
4:19 - 4:22
-
4:22 - 4:29
-
4:29 - 4:35
-
4:35 - 4:40
-
4:40 - 4:44
-
4:44 - 4:53
-
4:53 - 5:05
-
5:05 - 5:16
-
5:16 - 5:23
-
5:23 - 5:31
-
5:31 - 5:37
-
5:37 - 5:43
-
5:43 - 5:50
-
5:50 - 5:56
-
5:56 - 6:03
-
6:03 - 6:09
-
6:09 - 6:16
-
6:16 - 6:25
-
6:25 - 6:31
-
6:31 - 6:35
-
6:35 - 6:42
-
6:42 - 6:47
-
6:47 - 6:53
-
6:53 - 7:00
-
7:00 - 7:04
-
7:04 - 7:08
-
7:08 - 7:12
-
7:12 - 7:17
-
7:17 - 7:23
-
7:23 - 7:29
-
7:29 - 7:34
-
7:34 - 7:40
-
7:40 - 7:55
-
7:55 - 8:02
-
8:02 - 8:08
-
8:08 - 8:16
-
8:16 - 8:23
-
8:23 - 8:33
-
8:33 - 8:41
-
8:41 - 8:47
-
8:47 - 8:52
-
8:52 - 9:01
-
9:01 - 9:07
-
9:07 - 9:18
-
9:18 - 9:23
-
9:23 - 9:30
-
9:30 - 9:39
-
9:39 - 9:42
-
9:42 - 9:49
- Title:
- Uponyaji na Ukombozi wa PAPO HAPO Kupitia Zoom!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
- God's Heart TV
- Duration:
- 10:19
georgejbudeba edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance Through Zoom! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance Through Zoom! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance Through Zoom! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance Through Zoom! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance Through Zoom! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance Through Zoom! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance Through Zoom! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for INSTANT Healing & Deliverance Through Zoom! |