0:00:00.000,0:00:07.960 Kwa Jina Kuu la Yesu Kristo ! 0:00:07.960,0:00:15.360 Pona kwa Jina La Yesu 0:00:15.360,0:00:21.560 Kila Roho isiyo ya Mungu , Toka kwa jina La Yesu ! 0:00:21.560,0:00:24.640 Toka sasa! 0:00:24.640,0:00:30.800 Yesu Kristo , tunakuomba nguvu zako za uponyaji gusa kila mahali palipo haribika . 0:00:30.800,0:00:41.720 Mahali popote viungo vilipoharibika ! nasema anza kufanya kazi sasa! 0:00:41.720,0:00:49.480 Kwa Jina la Yesu Kristo 0:00:49.480,0:00:59.840 Sasa, roho mchafu , nasema toka kwa jina La Yesu Kristo! 0:00:59.840,0:01:08.040 Asante Yesu , kwa uhuru. 0:01:08.040,0:01:11.960 Kwa Kuu Jina La Yesu . 0:01:11.960,0:01:17.360 sasa mku huru . kaka nataka ujiangalie . 0:01:17.360,0:01:20.960 Roho wa Mungu amegusa sehemu ya mwili iliyo kua na maumivu . 0:01:20.960,0:01:24.800 Jiangalie na ufurahie . furahia utukufu wa Mungu 0:01:24.800,0:01:29.120 Dada yetu , Mungu amekukomboa na kumweka mume wako huru 0:01:29.120,0:01:35.680 Unaweza amka na kufurahia sasa, uko huru kwa jina la Yesu. 0:01:37.080,0:01:42.920 Tafadhali tuambie nchi uliyotokea , na mtu aliye keti kando yako 0:01:42.920,0:01:51.320 Jina langu ni Shadreck: Mwanamke alikaa kando yangu ni mke wangu mpendwa , Naomi . Tunatokea Zambia. 0:01:51.320,0:01:56.400 Yote yalianza miaka sita iliyopita , nilipokua kazini (kwenye chimbo chini ya ardhi) 0:01:56.400,0:02:00.560 sababu ya kazi yangu ya kuvirekebisha vifaa zito za kazi. 0:02:00.560,0:02:03.560 Mimi hutengeza au kuvirekebisha vifaa vya kazi 0:02:03.560,0:02:09.400 Nilipokua nafanya kazi ndani ya chimbo hilo , kwa ghafla nikasikia uchungu mkali mno. 0:02:09.400,0:02:15.200 kutokea bega langu la kushoto kwenda chini kwenye mguu wangu wa kushoto 0:02:15.200,0:02:21.880 Sikuweza kutembea - nikaviangusha chini vifaa vya kazi 0:02:21.880,0:02:24.680 sababu sikuweza kufanya kitu chochote wakati huo 0:02:24.680,0:02:30.080 Huo ulikua mwanzo wa zamu yangu kazini , nilitakiwa kufanya kazi kwa mda wa masaa nane. 0:02:30.080,0:02:34.280 Hayo yalitokea dakika chache baada ya kuanza zamu yangu kazini 0:02:34.280,0:02:40.640 Ilinilazimu kukaa chini na sikuweza kufanya kitu chochote mpaka masaa yangu ya zamu kazini yakaisha, 0:02:40.640,0:02:46.440 Nilitarajia kua labda uchungu huo ulikua tu mojawapo ya vitu vya kupita. 0:02:46.440,0:02:49.680 Siku iliyofuata , uchungu ulikua bado upo. 0:02:49.680,0:02:53.640 Nilienda hospitalini wakanipa dawa ya maumivi (Vituliza maumivu ) 0:02:53.640,0:03:00.640 Baada ya siku tatu , nilidhani uchungu ungetoweka lakini hali ilizorota. 0:03:00.640,0:03:06.280 Singeweza hata kutembea - kutembea ilikua tatizo hata kuinama sikuweza. 0:03:06.280,0:03:10.360 Hata kulala- nilikua kwa hali ya usumbufu. 0:03:10.360,0:03:14.520 Singeweza kuchukua chochote sakafuni , hata kama kingekua kidogo kama chupa. 0:03:14.520,0:03:19.160 Kingeanguka sakafuni, ningeomba mtu mwingine kunichukulia. 0:03:19.160,0:03:25.640 NIlipokua nikioga , ilinilazimu kuketia stuli (Kigoda) sababu ilikua vigumu kwangu kuinama. 0:03:25.640,0:03:32.160 Hali ilikua mbaya , huku nikitafuta matibabu ya kiafya kwa miaka mbili. 0:03:32.160,0:03:37.000 Nilikua mara kwa mara nikienda Hospitalini kuona wauguzi 0:03:37.000,0:03:49.640 Tabibu wa kwanza aliniambia aliona 0:03:49.640,0:03:52.640 0:03:52.640,0:03:58.640 0:03:58.640,0:04:01.320 0:04:01.320,0:04:09.400 0:04:09.400,0:04:15.920 0:04:15.920,0:04:19.480 0:04:19.480,0:04:22.480 0:04:22.480,0:04:29.400 0:04:29.400,0:04:34.880 0:04:34.880,0:04:39.680 0:04:39.680,0:04:43.800 0:04:43.800,0:04:52.880 0:04:52.880,0:05:05.280 0:05:05.280,0:05:15.600 0:05:15.600,0:05:23.280 0:05:23.280,0:05:30.640 0:05:30.640,0:05:36.760 0:05:36.760,0:05:42.760 0:05:42.760,0:05:49.640 0:05:49.640,0:05:56.080 0:05:56.080,0:06:02.760 0:06:02.760,0:06:09.360 0:06:09.360,0:06:16.400 0:06:16.400,0:06:25.120 0:06:25.120,0:06:31.320 0:06:31.320,0:06:34.760 0:06:34.760,0:06:42.400 0:06:42.400,0:06:46.600 0:06:46.600,0:06:53.360 0:06:53.360,0:06:59.880 0:06:59.880,0:07:03.600 0:07:03.600,0:07:07.640 0:07:07.640,0:07:11.880 0:07:11.880,0:07:17.200 0:07:17.200,0:07:22.560 0:07:22.560,0:07:28.960 0:07:28.960,0:07:33.880 0:07:33.880,0:07:40.200 0:07:40.200,0:07:55.160 0:07:55.160,0:08:01.560 0:08:01.560,0:08:07.680 0:08:07.680,0:08:16.040 0:08:16.040,0:08:22.680 0:08:22.680,0:08:33.000 0:08:33.000,0:08:41.200 0:08:41.200,0:08:46.640 0:08:46.640,0:08:52.320 0:08:52.320,0:09:00.640 0:09:00.640,0:09:06.920 0:09:06.920,0:09:18.240 0:09:18.240,0:09:23.440 0:09:23.440,0:09:29.600 0:09:29.600,0:09:39.000 0:09:39.000,0:09:41.600 0:09:41.600,0:09:48.800