-
Kwa Jina Kuu la Yesu Kristo !
-
Pona kwa Jina La Yesu
-
Kila Roho isiyo ya Mungu , Toka kwa jina La Yesu !
-
Toka sasa!
-
Yesu Kristo , tunakuomba nguvu zako za uponyaji gusa kila mahali palipo haribika .
-
Mahali popote viungo vilipoharibika ! nasema anza kufanya kazi sasa!
-
Kwa Jina la Yesu Kristo
-
Sasa, roho mchafu , nasema toka kwa jina La Yesu Kristo!
-
Asante Yesu , kwa uhuru.
-
Kwa Kuu Jina La Yesu .
-
sasa mku huru . kaka nataka ujiangalie .
-
Roho wa Mungu amegusa sehemu ya mwili iliyo kua na maumivu .
-
Jiangalie na ufurahie . furahia utukufu wa Mungu
-
Dada yetu , Mungu amekukomboa na kumweka mume wako huru
-
Unaweza amka na kufurahia sasa, uko huru kwa jina la Yesu.
-
Tafadhali tuambie nchi uliyotokea , na mtu aliye keti kando yako
-
Jina langu ni Shadreck: Mwanamke alikaa kando yangu ni mke wangu mpendwa , Naomi . Tunatokea Zambia.
-
Yote yalianza miaka sita iliyopita , nilipokua kazini (kwenye chimbo chini ya ardhi)
-
sababu ya kazi yangu ya kuvirekebisha vifaa zito za kazi.
-
Mimi hutengeza au kuvirekebisha vifaa vya kazi
-
Nilipokua nafanya kazi ndani ya chimbo hilo , kwa ghafla nikasikia uchungu mkali mno.
-
kutokea bega langu la kushoto kwenda chini kwenye mguu wangu wa kushoto
-
Sikuweza kutembea - nikaviangusha chini vifaa vya kazi
-
sababu sikuweza kufanya kitu chochote wakati huo
-
Huo ulikua mwanzo wa zamu yangu kazini , nilitakiwa kufanya kazi kwa mda wa masaa nane.
-
Hayo yalitokea dakika chache baada ya kuanza zamu yangu kazini
-
Ilinilazimu kukaa chini na sikuweza kufanya kitu chochote mpaka masaa yangu ya zamu kazini yakaisha,
-
Nilitarajia kua labda uchungu huo ulikua tu mojawapo ya vitu vya kupita.
-
Siku iliyofuata , uchungu ulikua bado upo.
-
Nilienda hospitalini wakanipa dawa ya maumivi (Vituliza maumivu )
-
Baada ya siku tatu , nilidhani uchungu ungetoweka lakini hali ilizorota.
-
Singeweza hata kutembea - kutembea ilikua tatizo hata kuinama sikuweza.
-
Hata kulala- nilikua kwa hali ya usumbufu.
-
Singeweza kuchukua chochote sakafuni , hata kama kingekua kidogo kama chupa.
-
Kingeanguka sakafuni, ningeomba mtu mwingine kunichukulia.
-
NIlipokua nikioga , ilinilazimu kuketia stuli (Kigoda) sababu ilikua vigumu kwangu kuinama.
-
Hali ilikua mbaya , huku nikitafuta matibabu ya kiafya kwa miaka mbili.
-
Nilikua mara kwa mara nikienda Hospitalini kuona wauguzi
-
Tabibu wa kwanza aliniambia aliona kukunjika kwa uti wa mgongo kusiko kua kwa kawaida.
-
Yeye ndiye aliye gundua ulemavu huo wa uti wa mgongo(Skoliosisi)
-
Sikuweza kufanya chochote kazini na karibu nipoteze kazi.
-
Sababu singeweza kufanya chochote sikua nasaidia katika uzalishaji kazini
-
Ilinibiddi nihamishwe kutoka idara yangu kwenda idara ingine
-
Nilipofika idara yangu mpya hawakujua matatizo ya kiafya yaliyo nikumba.
-
Waliona tu nikienda hospitalini.
-
Kila mara , sababu niliwekwa chini ya matibabu.
-
Niliwekwa chini ya matibabu ya mifupa ya mwili , ikanilazimu kwenda kwa matibabu mara tatu kwa wiki.
-
Hata kama walinifanyia hayo yote sikupata nafuu.
-
Sababu saa zingine singeweza kutembea hata mita mia moja
-
Ningetembea mita mia moja , ingenilazimu kuketi chini nipumzike.
-
Nililazimika kutumwa kwa picha ya MRI kuona picha kamili ya shida hiyo
-
Kwa Picha hiyo ya MRI ilionesha uti wa mgongo upande wa chini ulikunjika visivyo.
-
Hii ndiyo repoti ya hospitalini niliyopewa.
-
Ripoti hii nilipewa Sinozam Friendship Hospital na inasema report ya MRI
-
Jina langu na miaka iko hapo . inaonesha utafiti uliofanywa.
-
Ambayo ni MRI ya uti wa mgongo upande wa chini .
-
Hii ndiyo repoti iliyo kuja na haikua ya kuridhisha.
-
Kuonesha : Mild wedge-formed deformation of L2 vertebral bone’,
-
Inamanisha hali isyokua ya kawaida pande ya chini ya uti wa mgongo.
-
Hii shida ilisababisha shida nyingi , nilifikiria iwapo nikipoteza kazi
-
Singeweza kufanya lolote , hata kutafuta kazi kwingine.
-
Hali ilikua mbaya ilinibidi nitafute suluhisho mbadala.
-
Katika hali hiyo , nilipata kujua maombi yafanyikayo God's Heart TV
-
Nilitaka kujua nitakavyo weza kua miongoni mwa watu wapokeao maombi.
-
Nilingundua kua baada ya kusalimisha ombi langu la kupokea maombi , nilipokea mwaliko.
-
Nilitumia mwaliko huo kujiunga na ibada ya maombi tarehe 24th mwezi wa tisa 2023
-
Kama mlivyo ona kwenye video fupi hapo awali nilipokua nikiombewa.
-
Alipokua anatuombea Ndugu Chris sikusikia chochote wakati huo
-
Lakini niligundua kua mke wangu alikua ameanguka sakafuni na niliomwa kumwokota.
-
Mtumishi wa mungu alituombea , na akaniamrisha nijifanyishe mazoezi ya mwili
-
Nilikua mwoga kwa mara ya kwanza sababu sikusikia kitu ama kujua
-
Kua kitu cha tofauti kimetendeka mwilini mwangu
-
Nikajarubu kuinama na kufanya mazoezi na sikusikia uchungu
-
Lakini hiyo haikutosha , nilipopokea maombi niligundua kua
-
Kusumbuka na uchungu wote ulikua umeisha
-
Niliweza kuketi , kufanya mazoezi , kukimbia na kuinama
-
Usiku huo nililala kama mtoto, nilipoamka nilijiskia huru.
-
Naweza kuinua mikono, kuinama , kufanya mazoezi , kuchukua kitu sakafuni
-
Niko huru kabisa- hakuna kitu kinachosumbua kufanya chochote mwilini
-
Jina langu ni Naomi , natoka Zambia
-
Shida nilio kua nayo kabla ya kupokea maombi kutoka kwa Ndugu Chris.
-
Nilikua na uchungu mwilini wote , nilihisi uchungu siku zote.
-
Kichwa kuuma , mabega kuuma na ndoto mbaya
-
Wakati wa ibada ya maombi , mtu wa mungu alituombea.
-
Aliniwekelea mkono na nikajipata sakafuni.
-
Kutokea wakati huo , uchungu niliokua na hisi haupo tena
-
, kutoka kwa uchungu na ndoto za kutisha, Ndoto mbaya nilizokua nazo zimetoweka
-
Namshukuru huyu Yesu ameniweka huru na niko hapa kama ushuhuda ulio hai.
-
Ushauri wangu kwa watazamaji ni kumwendea Mungu na moyo safi , na mwenye kuamini
-
Amini Mungu , sababu tunamtumikia Mungu asiye shindwa,
-
Unapopata shida yeyote kwa maisha , utafute uso wa Mungu
-
Ushauri wangu kwa watazamaji ni kwamba umbali wako sio kikwazo.
-
Unatakiwa tu kuamini
-
Unapoamini leo shida zako zote na magonjwa inakua jambo la zamani.