WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:07.960 Kwa Jina Kuu la Yesu Kristo ! 00:00:07.960 --> 00:00:15.360 Pona kwa Jina La Yesu 00:00:15.360 --> 00:00:21.560 Kila Roho isiyo ya Mungu , Toka kwa jina La Yesu ! 00:00:21.560 --> 00:00:24.640 Toka sasa! 00:00:24.640 --> 00:00:30.800 Yesu Kristo , tunakuomba nguvu zako za uponyaji gusa kila mahali palipo haribika . 00:00:30.800 --> 00:00:41.720 Mahali popote viungo vilipoharibika ! nasema anza kufanya kazi sasa! 00:00:41.720 --> 00:00:49.480 Kwa Jina la Yesu Kristo 00:00:49.480 --> 00:00:59.840 Sasa, roho mchafu , nasema toka kwa jina La Yesu Kristo! 00:00:59.840 --> 00:01:08.040 Asante Yesu , kwa uhuru. 00:01:08.040 --> 00:01:11.960 Kwa Kuu Jina La Yesu . 00:01:11.960 --> 00:01:17.360 sasa mku huru . kaka nataka ujiangalie . 00:01:17.360 --> 00:01:20.960 Roho wa Mungu amegusa sehemu ya mwili iliyo kua na maumivu . 00:01:20.960 --> 00:01:24.800 Jiangalie na ufurahie . furahia utukufu wa Mungu 00:01:24.800 --> 00:01:29.120 Dada yetu , Mungu amekukomboa na kumweka mume wako huru 00:01:29.120 --> 00:01:35.680 Unaweza amka na kufurahia sasa, uko huru kwa jina la Yesu. 00:01:37.080 --> 00:01:42.920 Tafadhali tuambie nchi uliyotokea , na mtu aliye keti kando yako 00:01:42.920 --> 00:01:51.320 Jina langu ni Shadreck: Mwanamke alikaa kando yangu ni mke wangu mpendwa , Naomi . Tunatokea Zambia. 00:01:51.320 --> 00:01:56.400 Yote yalianza miaka sita iliyopita , nilipokua kazini (kwenye chimbo chini ya ardhi) 00:01:56.400 --> 00:02:00.560 sababu ya kazi yangu ya kuvirekebisha vifaa zito za kazi. 00:02:00.560 --> 00:02:03.560 Mimi hutengeza au kuvirekebisha vifaa vya kazi 00:02:03.560 --> 00:02:09.400 Nilipokua nafanya kazi ndani ya chimbo hilo , kwa ghafla nikasikia uchungu mkali mno. 00:02:09.400 --> 00:02:15.200 kutokea bega langu la kushoto kwenda chini kwenye mguu wangu wa kushoto 00:02:15.200 --> 00:02:21.880 Sikuweza kutembea - nikaviangusha chini vifaa vya kazi 00:02:21.880 --> 00:02:24.680 sababu sikuweza kufanya kitu chochote wakati huo 00:02:24.680 --> 00:02:30.080 Huo ulikua mwanzo wa zamu yangu kazini , nilitakiwa kufanya kazi kwa mda wa masaa nane. 00:02:30.080 --> 00:02:34.280 Hayo yalitokea dakika chache baada ya kuanza zamu yangu kazini 00:02:34.280 --> 00:02:40.640 Ilinilazimu kukaa chini na sikuweza kufanya kitu chochote mpaka masaa yangu ya zamu kazini yakaisha, 00:02:40.640 --> 00:02:46.440 Nilitarajia kua labda uchungu huo ulikua tu mojawapo ya vitu vya kupita. 00:02:46.440 --> 00:02:49.680 Siku iliyofuata , uchungu ulikua bado upo. 00:02:49.680 --> 00:02:53.640 Nilienda hospitalini wakanipa dawa ya maumivi (Vituliza maumivu ) 00:02:53.640 --> 00:03:00.640 Baada ya siku tatu , nilidhani uchungu ungetoweka lakini hali ilizorota. 00:03:00.640 --> 00:03:06.280 Singeweza hata kutembea - kutembea ilikua tatizo hata kuinama sikuweza. 00:03:06.280 --> 00:03:10.360 Hata kulala- nilikua kwa hali ya usumbufu. 00:03:10.360 --> 00:03:14.520 Singeweza kuchukua chochote sakafuni , hata kama kingekua kidogo kama chupa. 00:03:14.520 --> 00:03:19.160 Kingeanguka sakafuni, ningeomba mtu mwingine kunichukulia. 00:03:19.160 --> 00:03:25.640 NIlipokua nikioga , ilinilazimu kuketia stuli (Kigoda) sababu ilikua vigumu kwangu kuinama. 00:03:25.640 --> 00:03:32.160 Hali ilikua mbaya , huku nikitafuta matibabu ya kiafya kwa miaka mbili. 00:03:32.160 --> 00:03:37.000 Nilikua mara kwa mara nikienda Hospitalini kuona wauguzi 00:03:37.000 --> 00:03:49.640 Tabibu wa kwanza aliniambia aliona 00:03:49.640 --> 00:03:52.640 00:03:52.640 --> 00:03:58.640 00:03:58.640 --> 00:04:01.320 00:04:01.320 --> 00:04:09.400 00:04:09.400 --> 00:04:15.920 00:04:15.920 --> 00:04:19.480 00:04:19.480 --> 00:04:22.480 00:04:22.480 --> 00:04:29.400 00:04:29.400 --> 00:04:34.880 00:04:34.880 --> 00:04:39.680 00:04:39.680 --> 00:04:43.800 00:04:43.800 --> 00:04:52.880 00:04:52.880 --> 00:05:05.280 00:05:05.280 --> 00:05:15.600 00:05:15.600 --> 00:05:23.280 00:05:23.280 --> 00:05:30.640 00:05:30.640 --> 00:05:36.760 00:05:36.760 --> 00:05:42.760 00:05:42.760 --> 00:05:49.640 00:05:49.640 --> 00:05:56.080 00:05:56.080 --> 00:06:02.760 00:06:02.760 --> 00:06:09.360 00:06:09.360 --> 00:06:16.400 00:06:16.400 --> 00:06:25.120 00:06:25.120 --> 00:06:31.320 00:06:31.320 --> 00:06:34.760 00:06:34.760 --> 00:06:42.400 00:06:42.400 --> 00:06:46.600 00:06:46.600 --> 00:06:53.360 00:06:53.360 --> 00:06:59.880 00:06:59.880 --> 00:07:03.600 00:07:03.600 --> 00:07:07.640 00:07:07.640 --> 00:07:11.880 00:07:11.880 --> 00:07:17.200 00:07:17.200 --> 00:07:22.560 00:07:22.560 --> 00:07:28.960 00:07:28.960 --> 00:07:33.880 00:07:33.880 --> 00:07:40.200 00:07:40.200 --> 00:07:55.160 00:07:55.160 --> 00:08:01.560 00:08:01.560 --> 00:08:07.680 00:08:07.680 --> 00:08:16.040 00:08:16.040 --> 00:08:22.680 00:08:22.680 --> 00:08:33.000 00:08:33.000 --> 00:08:41.200 00:08:41.200 --> 00:08:46.640 00:08:46.640 --> 00:08:52.320 00:08:52.320 --> 00:09:00.640 00:09:00.640 --> 00:09:06.920 00:09:06.920 --> 00:09:18.240 00:09:18.240 --> 00:09:23.440 00:09:23.440 --> 00:09:29.600 00:09:29.600 --> 00:09:39.000 00:09:39.000 --> 00:09:41.600 00:09:41.600 --> 00:09:48.800