FAO, watu wa kiasili na idhini huru na mhimu -FPIC-
-
0:09 - 0:10Watu wa kiasili,
-
0:11 - 0:13ni zaidi ya milioni 370,
-
0:14 - 0:16wanaishi ndani ya nchi zaidi ya 90,
-
0:17 - 0:20na ni asilimia tano ya watu wote duniani,
-
0:20 - 0:24lakini ikiwa ni asilimia 15 ya watu maskini.
-
0:27 - 0:31Watu wa kiasili ni watunzaji
wa mbegu za asili, -
0:31 - 0:34maarifa ya jadi na viumbe hai.
-
0:35 - 0:40FAO inatambua watu wakiasili kama
washirika wa kimsingi katika maendeleo. -
0:41 - 0:43Shirika la Chakula na Kilimo -FAO-
-
0:43 - 0:46linakuza kanuni za msingi
za Umoja wa Mataifa -
0:46 - 0:49na linahimiza kuheshimiwa
kwa haki za binadamu, -
0:49 - 0:52ikiwa ni pamoja na haki ya kujitawala
katika maendeleo. -
0:52 - 0:56Sera ya FAO kuhusu wenyeji na watu
wa kikabila linajenga juu ya hili, -
0:57 - 1:01kuhimiza kwa bure kabla na idhinisho
ya taarifa - FPIC. -
1:02 - 1:05FPIC ni mchakato shirikishi wa
kuwezesha watu wa kiasili -
1:05 - 1:09kuwa na sauti katika afua ambayo
inaweza kuathiri maisha yao. -
1:09 - 1:12Hii ina maana ya kutoa au kukataa kibali,
-
1:13 - 1:16ila tu baada ya kupata habari
kuhusu kuingilia kati, -
1:17 - 1:20mbeleni, kwa njia inayofaa
ya kitamaduni, -
1:21 - 1:24kabla ya kuidhinisha na kuanza
shughuli yoyote. -
1:25 - 1:27Watu wa kiasili huamua kwa pamoja,
-
1:27 - 1:30bila kulazimishwa,vurugu wala ghiliba.
-
1:32 - 1:36kujua kwamba ikiwa kibali kinatolewa, inaweza kuondolewa katika hatua yoyote.
-
1:37 - 1:41Idhini ya bila malipo, iliyoarifiwa,
huwawezesha watu wa kiasili, -
1:41 - 1:43kushiriki na kujadiliana masharti
-
1:43 - 1:46ambayo muingiliwo kati unaundwa,
-
1:47 - 1:51kutekelezwa, kufuatiliwa na kutathminiwa.
-
1:52 - 1:55Ili kuwezesha mbinu ya pamoja ya FPIC,
-
1:55 - 1:58FAO na washirika wake wameunda
mwongozo wa vitendo -
1:58 - 2:01na hatua sita muhimu za kufuata
mzunguko wa mradi. -
2:02 - 2:04Hatua za kuhakikisha kwamba uzingatio sawa
-
2:04 - 2:06unapewanwa kwa watu wote wa jumuiya.
-
2:07 - 2:11Mafunzo ya FAO kuhusu FPIC, yanajumuisha
mtandao na kujifunza kwa elektroniki -
2:11 - 2:13na shughuli za ana kwa ana.
-
2:14 - 2:17Kutekeleza idhini ya bure na iliyoarifiwa,
-
2:18 - 2:21kufanya kazi na watu wa kiasili kutoka
mwanzo wa kuingilia kati, -
2:21 - 2:23inawapa wasimamizi wa mradi maarifa
-
2:23 - 2:27ya kuboresha uelewa wa jamii za kiasili,
-
2:27 - 2:28kujenga uaminifu,
-
2:28 - 2:32na kuhakikisha uendelevu na umiliki
wa kuingilia kati. -
2:33 - 2:36Ila zaidi ya yote, inatambua athari chanya
-
2:36 - 2:37inayotokana na kuhakikisha
-
2:37 - 2:41kwamba sauti za wanawake wa kiasili,
wanaume, vijana na wazee zinasikika -
2:42 - 2:43na kuheshimiwa.
- Title:
- FAO, watu wa kiasili na idhini huru na mhimu -FPIC-
- Description:
-
http://www.fao.org/indigenous-peoples/videos/sw/
Idhini huru na mhimu (FPIC), ni haki mahususi ambayo inawahusu watu wa kiasili na inayotambuliwa katika azimio la umoja wa mataifa la haki za watu wa kiasili -UNDRIP-. FPIC inaruhusu watu wa kiasili kutoa au kukataa idhini kwa mradi wowote ambao unaweza kuwaathiri wao au maeneo yao. Mara baada ya kutoa idhini yao, wanaweza kuiondoa katika hatua yoyote. Kupitia mchakato wa FPIC, watu wa kiasili wanaweza kujadiliana kuhusu hali ambayo mradi utaundwa, kutekelezwa, kufuatiliwa na kutathminiwa. Hili pia limepachikwa ndani ya haki ya wote ya kujiamulia.
Jisajili! http://www.youtube.com/subscription_center?add_user=FAOoftheUN
Fuata #UNFAO kwenye mitandao ya kijamii!
* Facebook - https://www.facebook.com/UNFAO
* Google+ - https://plus.google.com/+UNFAO
* Instagram - https://instagram.com/unfao/
* LinkedIn - https://www.linkedin.com/company/fao
* Twitter - http://www.twitter.com/faoknowledge© FAO: http://www.fao.org
- Video Language:
- English
- Team:
- Amplifying Voices
- Project:
- Indigenous Rights
- Duration:
- 02:51