WEBVTT 00:00:09.000 --> 00:00:10.140 Watu wa kiasili, 00:00:10.850 --> 00:00:13.220 ni zaidi ya milioni 370, 00:00:13.880 --> 00:00:16.240 wanaishi ndani ya nchi zaidi ya 90, 00:00:16.780 --> 00:00:20.030 na ni asilimia tano ya watu wote duniani, 00:00:20.495 --> 00:00:23.655 lakini ikiwa ni asilimia 15 ya watu maskini. 00:00:27.410 --> 00:00:30.784 Watu wa kiasili ni watunzaji wa mbegu za asili, 00:00:31.174 --> 00:00:33.849 maarifa ya jadi na viumbe hai. 00:00:35.170 --> 00:00:39.960 FAO inatambua watu wakiasili kama washirika wa kimsingi katika maendeleo. 00:00:40.600 --> 00:00:43.440 Shirika la Chakula na Kilimo -FAO- 00:00:43.440 --> 00:00:46.110 linakuza kanuni za msingi za Umoja wa Mataifa 00:00:46.325 --> 00:00:48.645 na linahimiza kuheshimiwa kwa haki za binadamu, 00:00:48.645 --> 00:00:51.703 ikiwa ni pamoja na haki ya kujitawala katika maendeleo. 00:00:52.281 --> 00:00:56.093 Sera ya FAO kuhusu wenyeji na watu wa kikabila linajenga juu ya hili, 00:00:56.930 --> 00:01:00.816 kuhimiza kwa bure kabla na idhinisho ya taarifa - FPIC. 00:01:01.830 --> 00:01:05.470 FPIC ni mchakato shirikishi wa kuwezesha watu wa kiasili 00:01:05.470 --> 00:01:08.580 kuwa na sauti katika afua ambayo inaweza kuathiri maisha yao. 00:01:09.420 --> 00:01:12.030 Hii ina maana ya kutoa au kukataa kibali, 00:01:12.676 --> 00:01:16.076 ila tu baada ya kupata habari kuhusu kuingilia kati, 00:01:17.000 --> 00:01:20.140 mbeleni, kwa njia inayofaa ya kitamaduni, 00:01:20.703 --> 00:01:23.695 kabla ya kuidhinisha na kuanza shughuli yoyote. 00:01:24.740 --> 00:01:26.760 Watu wa kiasili huamua kwa pamoja, 00:01:26.760 --> 00:01:29.650 bila kulazimishwa,vurugu wala ghiliba. 00:01:31.720 --> 00:01:36.305 kujua kwamba ikiwa kibali kinatolewa, inaweza kuondolewa katika hatua yoyote. 00:01:37.350 --> 00:01:41.339 Idhini ya bila malipo, iliyoarifiwa, huwawezesha watu wa kiasili, 00:01:41.339 --> 00:01:43.459 kushiriki na kujadiliana masharti 00:01:43.459 --> 00:01:45.699 ambayo muingiliwo kati unaundwa, 00:01:46.629 --> 00:01:50.550 kutekelezwa, kufuatiliwa na kutathminiwa. 00:01:52.269 --> 00:01:54.530 Ili kuwezesha mbinu ya pamoja ya FPIC, 00:01:54.771 --> 00:01:57.811 FAO na washirika wake wameunda mwongozo wa vitendo 00:01:57.811 --> 00:02:01.315 na hatua sita muhimu za kufuata mzunguko wa mradi. 00:02:01.730 --> 00:02:04.110 Hatua za kuhakikisha kwamba uzingatio sawa 00:02:04.110 --> 00:02:06.315 unapewanwa kwa watu wote wa jumuiya. 00:02:07.065 --> 00:02:10.710 Mafunzo ya FAO kuhusu FPIC, yanajumuisha mtandao na kujifunza kwa elektroniki 00:02:11.158 --> 00:02:13.105 na shughuli za ana kwa ana. 00:02:13.977 --> 00:02:17.060 Kutekeleza idhini ya bure na iliyoarifiwa, 00:02:17.537 --> 00:02:21.040 kufanya kazi na watu wa kiasili kutoka mwanzo wa kuingilia kati, 00:02:21.040 --> 00:02:23.070 inawapa wasimamizi wa mradi maarifa 00:02:23.487 --> 00:02:26.545 ya kuboresha uelewa wa jamii za kiasili, 00:02:26.880 --> 00:02:27.980 kujenga uaminifu, 00:02:28.340 --> 00:02:31.900 na kuhakikisha uendelevu na umiliki wa kuingilia kati. 00:02:32.790 --> 00:02:35.760 Ila zaidi ya yote, inatambua athari chanya 00:02:35.761 --> 00:02:37.161 inayotokana na kuhakikisha 00:02:37.161 --> 00:02:41.357 kwamba sauti za wanawake wa kiasili, wanaume, vijana na wazee zinasikika 00:02:41.751 --> 00:02:42.911 na kuheshimiwa.