0:00:09.000,0:00:10.140 Watu wa kiasili, 0:00:10.850,0:00:13.220 ni zaidi ya milioni 370, 0:00:13.880,0:00:16.240 wanaishi ndani ya nchi zaidi ya 90, 0:00:16.780,0:00:20.030 na ni asilimia tano ya watu wote duniani, 0:00:20.495,0:00:23.655 lakini ikiwa ni asilimia 15 ya watu maskini. 0:00:27.410,0:00:30.784 Watu wa kiasili ni watunzaji[br]wa mbegu za asili, 0:00:31.174,0:00:33.849 maarifa ya jadi na viumbe hai. 0:00:35.170,0:00:39.960 FAO inatambua watu wakiasili kama[br]washirika wa kimsingi katika maendeleo. 0:00:40.600,0:00:43.440 Shirika la Chakula na Kilimo -FAO- 0:00:43.440,0:00:46.110 linakuza kanuni za msingi[br]za Umoja wa Mataifa 0:00:46.325,0:00:48.645 na linahimiza kuheshimiwa [br]kwa haki za binadamu, 0:00:48.645,0:00:51.703 ikiwa ni pamoja na haki ya kujitawala[br]katika maendeleo. 0:00:52.281,0:00:56.093 Sera ya FAO kuhusu wenyeji na watu [br]wa kikabila linajenga juu ya hili, 0:00:56.930,0:01:00.816 kuhimiza kwa bure kabla na idhinisho[br]ya taarifa - FPIC. 0:01:01.830,0:01:05.470 FPIC ni mchakato shirikishi wa[br]kuwezesha watu wa kiasili 0:01:05.470,0:01:08.580 kuwa na sauti katika afua ambayo[br]inaweza kuathiri maisha yao. 0:01:09.420,0:01:12.030 Hii ina maana ya kutoa au kukataa kibali, 0:01:12.676,0:01:16.076 ila tu baada ya kupata habari [br]kuhusu kuingilia kati, 0:01:17.000,0:01:20.140 mbeleni, kwa njia inayofaa [br]ya kitamaduni, 0:01:20.703,0:01:23.695 kabla ya kuidhinisha na kuanza[br]shughuli yoyote. 0:01:24.740,0:01:26.760 Watu wa kiasili huamua kwa pamoja, 0:01:26.760,0:01:29.650 bila kulazimishwa,vurugu wala ghiliba. 0:01:31.720,0:01:36.305 kujua kwamba ikiwa kibali kinatolewa, inaweza kuondolewa katika hatua yoyote. 0:01:37.350,0:01:41.339 Idhini ya bila malipo, iliyoarifiwa,[br]huwawezesha watu wa kiasili, 0:01:41.339,0:01:43.459 kushiriki na kujadiliana masharti 0:01:43.459,0:01:45.699 ambayo muingiliwo kati unaundwa, 0:01:46.629,0:01:50.550 kutekelezwa, kufuatiliwa na kutathminiwa. 0:01:52.269,0:01:54.530 Ili kuwezesha mbinu ya pamoja ya FPIC, 0:01:54.771,0:01:57.811 FAO na washirika wake wameunda[br]mwongozo wa vitendo 0:01:57.811,0:02:01.315 na hatua sita muhimu za kufuata[br]mzunguko wa mradi. 0:02:01.730,0:02:04.110 Hatua za kuhakikisha kwamba uzingatio sawa 0:02:04.110,0:02:06.315 unapewanwa kwa watu wote wa jumuiya. 0:02:07.065,0:02:10.710 Mafunzo ya FAO kuhusu FPIC, yanajumuisha[br]mtandao na kujifunza kwa elektroniki 0:02:11.158,0:02:13.105 na shughuli za ana kwa ana. 0:02:13.977,0:02:17.060 Kutekeleza idhini ya bure na iliyoarifiwa, 0:02:17.537,0:02:21.040 kufanya kazi na watu wa kiasili kutoka[br]mwanzo wa kuingilia kati, 0:02:21.040,0:02:23.070 inawapa wasimamizi wa mradi maarifa 0:02:23.487,0:02:26.545 ya kuboresha uelewa wa jamii za kiasili, 0:02:26.880,0:02:27.980 kujenga uaminifu, 0:02:28.340,0:02:31.900 na kuhakikisha uendelevu na umiliki[br]wa kuingilia kati. 0:02:32.790,0:02:35.760 Ila zaidi ya yote, inatambua athari chanya 0:02:35.761,0:02:37.161 inayotokana na kuhakikisha 0:02:37.161,0:02:41.357 kwamba sauti za wanawake wa kiasili,[br]wanaume, vijana na wazee zinasikika 0:02:41.751,0:02:42.911 na kuheshimiwa.