[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:09.00,0:00:10.14,Default,,0000,0000,0000,,Watu wa kiasili, Dialogue: 0,0:00:10.85,0:00:13.22,Default,,0000,0000,0000,,ni zaidi ya milioni 370, Dialogue: 0,0:00:13.88,0:00:16.24,Default,,0000,0000,0000,,wanaishi ndani ya nchi zaidi ya 90, Dialogue: 0,0:00:16.78,0:00:20.03,Default,,0000,0000,0000,,na ni asilimia tano ya watu wote duniani, Dialogue: 0,0:00:20.50,0:00:23.66,Default,,0000,0000,0000,,lakini ikiwa ni asilimia 15 ya watu maskini. Dialogue: 0,0:00:27.41,0:00:30.78,Default,,0000,0000,0000,,Watu wa kiasili ni watunzaji\Nwa mbegu za asili, Dialogue: 0,0:00:31.17,0:00:33.85,Default,,0000,0000,0000,,maarifa ya jadi na viumbe hai. Dialogue: 0,0:00:35.17,0:00:39.96,Default,,0000,0000,0000,,FAO inatambua watu wakiasili kama\Nwashirika wa kimsingi katika maendeleo. Dialogue: 0,0:00:40.60,0:00:43.44,Default,,0000,0000,0000,,Shirika la Chakula na Kilimo -FAO- Dialogue: 0,0:00:43.44,0:00:46.11,Default,,0000,0000,0000,,linakuza kanuni za msingi\Nza Umoja wa Mataifa Dialogue: 0,0:00:46.32,0:00:48.64,Default,,0000,0000,0000,,na linahimiza kuheshimiwa \Nkwa haki za binadamu, Dialogue: 0,0:00:48.64,0:00:51.70,Default,,0000,0000,0000,,ikiwa ni pamoja na haki ya kujitawala\Nkatika maendeleo. Dialogue: 0,0:00:52.28,0:00:56.09,Default,,0000,0000,0000,,Sera ya FAO kuhusu wenyeji na watu \Nwa kikabila linajenga juu ya hili, Dialogue: 0,0:00:56.93,0:01:00.82,Default,,0000,0000,0000,,kuhimiza kwa bure kabla na idhinisho\Nya taarifa - FPIC. Dialogue: 0,0:01:01.83,0:01:05.47,Default,,0000,0000,0000,,FPIC ni mchakato shirikishi wa\Nkuwezesha watu wa kiasili Dialogue: 0,0:01:05.47,0:01:08.58,Default,,0000,0000,0000,,kuwa na sauti katika afua ambayo\Ninaweza kuathiri maisha yao. Dialogue: 0,0:01:09.42,0:01:12.03,Default,,0000,0000,0000,,Hii ina maana ya kutoa au kukataa kibali, Dialogue: 0,0:01:12.68,0:01:16.08,Default,,0000,0000,0000,,ila tu baada ya kupata habari \Nkuhusu kuingilia kati, Dialogue: 0,0:01:17.00,0:01:20.14,Default,,0000,0000,0000,,mbeleni, kwa njia inayofaa \Nya kitamaduni, Dialogue: 0,0:01:20.70,0:01:23.70,Default,,0000,0000,0000,,kabla ya kuidhinisha na kuanza\Nshughuli yoyote. Dialogue: 0,0:01:24.74,0:01:26.76,Default,,0000,0000,0000,,Watu wa kiasili huamua kwa pamoja, Dialogue: 0,0:01:26.76,0:01:29.65,Default,,0000,0000,0000,,bila kulazimishwa,vurugu wala ghiliba. Dialogue: 0,0:01:31.72,0:01:36.30,Default,,0000,0000,0000,,kujua kwamba ikiwa kibali kinatolewa, inaweza kuondolewa katika hatua yoyote. Dialogue: 0,0:01:37.35,0:01:41.34,Default,,0000,0000,0000,,Idhini ya bila malipo, iliyoarifiwa,\Nhuwawezesha watu wa kiasili, Dialogue: 0,0:01:41.34,0:01:43.46,Default,,0000,0000,0000,,kushiriki na kujadiliana masharti Dialogue: 0,0:01:43.46,0:01:45.70,Default,,0000,0000,0000,,ambayo muingiliwo kati unaundwa, Dialogue: 0,0:01:46.63,0:01:50.55,Default,,0000,0000,0000,,kutekelezwa, kufuatiliwa na kutathminiwa. Dialogue: 0,0:01:52.27,0:01:54.53,Default,,0000,0000,0000,,Ili kuwezesha mbinu ya pamoja ya FPIC, Dialogue: 0,0:01:54.77,0:01:57.81,Default,,0000,0000,0000,,FAO na washirika wake wameunda\Nmwongozo wa vitendo Dialogue: 0,0:01:57.81,0:02:01.32,Default,,0000,0000,0000,,na hatua sita muhimu za kufuata\Nmzunguko wa mradi. Dialogue: 0,0:02:01.73,0:02:04.11,Default,,0000,0000,0000,,Hatua za kuhakikisha kwamba uzingatio sawa Dialogue: 0,0:02:04.11,0:02:06.32,Default,,0000,0000,0000,,unapewanwa kwa watu wote wa jumuiya. Dialogue: 0,0:02:07.06,0:02:10.71,Default,,0000,0000,0000,,Mafunzo ya FAO kuhusu FPIC, yanajumuisha\Nmtandao na kujifunza kwa elektroniki Dialogue: 0,0:02:11.16,0:02:13.10,Default,,0000,0000,0000,,na shughuli za ana kwa ana. Dialogue: 0,0:02:13.98,0:02:17.06,Default,,0000,0000,0000,,Kutekeleza idhini ya bure na iliyoarifiwa, Dialogue: 0,0:02:17.54,0:02:21.04,Default,,0000,0000,0000,,kufanya kazi na watu wa kiasili kutoka\Nmwanzo wa kuingilia kati, Dialogue: 0,0:02:21.04,0:02:23.07,Default,,0000,0000,0000,,inawapa wasimamizi wa mradi maarifa Dialogue: 0,0:02:23.49,0:02:26.54,Default,,0000,0000,0000,,ya kuboresha uelewa wa jamii za kiasili, Dialogue: 0,0:02:26.88,0:02:27.98,Default,,0000,0000,0000,,kujenga uaminifu, Dialogue: 0,0:02:28.34,0:02:31.90,Default,,0000,0000,0000,,na kuhakikisha uendelevu na umiliki\Nwa kuingilia kati. Dialogue: 0,0:02:32.79,0:02:35.76,Default,,0000,0000,0000,,Ila zaidi ya yote, inatambua athari chanya Dialogue: 0,0:02:35.76,0:02:37.16,Default,,0000,0000,0000,,inayotokana na kuhakikisha Dialogue: 0,0:02:37.16,0:02:41.36,Default,,0000,0000,0000,,kwamba sauti za wanawake wa kiasili,\Nwanaume, vijana na wazee zinasikika Dialogue: 0,0:02:41.75,0:02:42.91,Default,,0000,0000,0000,,na kuheshimiwa.