Watu wa kiasili,
ni zaidi ya milioni 370,
wanaishi ndani ya nchi zaidi ya 90,
na ni asilimia tano ya watu wote duniani,
lakini ikiwa ni asilimia 15 ya watu maskini.
Watu wa kiasili ni watunzaji
wa mbegu za asili,
maarifa ya jadi na viumbe hai.
FAO inatambua watu wakiasili kama
washirika wa kimsingi katika maendeleo.
Shirika la Chakula na Kilimo -FAO-
linakuza kanuni za msingi
za Umoja wa Mataifa
na linahimiza kuheshimiwa
kwa haki za binadamu,
ikiwa ni pamoja na haki ya kujitawala
katika maendeleo.
Sera ya FAO kuhusu wenyeji na watu
wa kikabila linajenga juu ya hili,
kuhimiza kwa bure kabla na idhinisho
ya taarifa - FPIC.
FPIC ni mchakato shirikishi wa
kuwezesha watu wa kiasili
kuwa na sauti katika afua ambayo
inaweza kuathiri maisha yao.
Hii ina maana ya kutoa au kukataa kibali,
ila tu baada ya kupata habari
kuhusu kuingilia kati,
mbeleni, kwa njia inayofaa
ya kitamaduni,
kabla ya kuidhinisha na kuanza
shughuli yoyote.
Watu wa kiasili huamua kwa pamoja,
bila kulazimishwa,vurugu wala ghiliba.
kujua kwamba ikiwa kibali kinatolewa, inaweza kuondolewa katika hatua yoyote.
Idhini ya bila malipo, iliyoarifiwa,
huwawezesha watu wa kiasili,
kushiriki na kujadiliana masharti
ambayo muingiliwo kati unaundwa,
kutekelezwa, kufuatiliwa na kutathminiwa.
Ili kuwezesha mbinu ya pamoja ya FPIC,
FAO na washirika wake wameunda
mwongozo wa vitendo
na hatua sita muhimu za kufuata
mzunguko wa mradi.
Hatua za kuhakikisha kwamba uzingatio sawa
unapewanwa kwa watu wote wa jumuiya.
Mafunzo ya FAO kuhusu FPIC, yanajumuisha
mtandao na kujifunza kwa elektroniki
na shughuli za ana kwa ana.
Kutekeleza idhini ya bure na iliyoarifiwa,
kufanya kazi na watu wa kiasili kutoka
mwanzo wa kuingilia kati,
inawapa wasimamizi wa mradi maarifa
ya kuboresha uelewa wa jamii za kiasili,
kujenga uaminifu,
na kuhakikisha uendelevu na umiliki
wa kuingilia kati.
Ila zaidi ya yote, inatambua athari chanya
inayotokana na kuhakikisha
kwamba sauti za wanawake wa kiasili,
wanaume, vijana na wazee zinasikika
na kuheshimiwa.