1 00:00:09,000 --> 00:00:10,140 Watu wa kiasili, 2 00:00:10,850 --> 00:00:13,220 ni zaidi ya milioni 370, 3 00:00:13,880 --> 00:00:16,240 wanaishi ndani ya nchi zaidi ya 90, 4 00:00:16,780 --> 00:00:20,030 na ni asilimia tano ya watu wote duniani, 5 00:00:20,495 --> 00:00:23,655 lakini ikiwa ni asilimia 15 ya watu maskini. 6 00:00:27,410 --> 00:00:30,784 Watu wa kiasili ni watunzaji wa mbegu za asili, 7 00:00:31,174 --> 00:00:33,849 maarifa ya jadi na viumbe hai. 8 00:00:35,170 --> 00:00:39,960 FAO inatambua watu wakiasili kama washirika wa kimsingi katika maendeleo. 9 00:00:40,600 --> 00:00:43,440 Shirika la Chakula na Kilimo -FAO- 10 00:00:43,440 --> 00:00:46,110 linakuza kanuni za msingi za Umoja wa Mataifa 11 00:00:46,325 --> 00:00:48,645 na linahimiza kuheshimiwa kwa haki za binadamu, 12 00:00:48,645 --> 00:00:51,703 ikiwa ni pamoja na haki ya kujitawala katika maendeleo. 13 00:00:52,281 --> 00:00:56,093 Sera ya FAO kuhusu wenyeji na watu wa kikabila linajenga juu ya hili, 14 00:00:56,930 --> 00:01:00,816 kuhimiza kwa bure kabla na idhinisho ya taarifa - FPIC. 15 00:01:01,830 --> 00:01:05,470 FPIC ni mchakato shirikishi wa kuwezesha watu wa kiasili 16 00:01:05,470 --> 00:01:08,580 kuwa na sauti katika afua ambayo inaweza kuathiri maisha yao. 17 00:01:09,420 --> 00:01:12,030 Hii ina maana ya kutoa au kukataa kibali, 18 00:01:12,676 --> 00:01:16,076 ila tu baada ya kupata habari kuhusu kuingilia kati, 19 00:01:17,000 --> 00:01:20,140 mbeleni, kwa njia inayofaa ya kitamaduni, 20 00:01:20,703 --> 00:01:23,695 kabla ya kuidhinisha na kuanza shughuli yoyote. 21 00:01:24,740 --> 00:01:26,760 Watu wa kiasili huamua kwa pamoja, 22 00:01:26,760 --> 00:01:29,650 bila kulazimishwa,vurugu wala ghiliba. 23 00:01:31,720 --> 00:01:36,305 kujua kwamba ikiwa kibali kinatolewa, inaweza kuondolewa katika hatua yoyote. 24 00:01:37,350 --> 00:01:41,339 Idhini ya bila malipo, iliyoarifiwa, huwawezesha watu wa kiasili, 25 00:01:41,339 --> 00:01:43,459 kushiriki na kujadiliana masharti 26 00:01:43,459 --> 00:01:45,699 ambayo muingiliwo kati unaundwa, 27 00:01:46,629 --> 00:01:50,550 kutekelezwa, kufuatiliwa na kutathminiwa. 28 00:01:52,269 --> 00:01:54,530 Ili kuwezesha mbinu ya pamoja ya FPIC, 29 00:01:54,771 --> 00:01:57,811 FAO na washirika wake wameunda mwongozo wa vitendo 30 00:01:57,811 --> 00:02:01,315 na hatua sita muhimu za kufuata mzunguko wa mradi. 31 00:02:01,730 --> 00:02:04,110 Hatua za kuhakikisha kwamba uzingatio sawa 32 00:02:04,110 --> 00:02:06,315 unapewanwa kwa watu wote wa jumuiya. 33 00:02:07,065 --> 00:02:10,710 Mafunzo ya FAO kuhusu FPIC, yanajumuisha mtandao na kujifunza kwa elektroniki 34 00:02:11,158 --> 00:02:13,105 na shughuli za ana kwa ana. 35 00:02:13,977 --> 00:02:17,060 Kutekeleza idhini ya bure na iliyoarifiwa, 36 00:02:17,537 --> 00:02:21,040 kufanya kazi na watu wa kiasili kutoka mwanzo wa kuingilia kati, 37 00:02:21,040 --> 00:02:23,070 inawapa wasimamizi wa mradi maarifa 38 00:02:23,487 --> 00:02:26,545 ya kuboresha uelewa wa jamii za kiasili, 39 00:02:26,880 --> 00:02:27,980 kujenga uaminifu, 40 00:02:28,340 --> 00:02:31,900 na kuhakikisha uendelevu na umiliki wa kuingilia kati. 41 00:02:32,790 --> 00:02:35,760 Ila zaidi ya yote, inatambua athari chanya 42 00:02:35,761 --> 00:02:37,161 inayotokana na kuhakikisha 43 00:02:37,161 --> 00:02:41,357 kwamba sauti za wanawake wa kiasili, wanaume, vijana na wazee zinasikika 44 00:02:41,751 --> 00:02:42,911 na kuheshimiwa.