USIMJARIBU SHETANI AKUJARIBU
-
0:00 - 0:07shetani anaweza tu kufaulu kukujaribu wewe uingie dhambini
-
0:07 - 0:11ukiwa na kile ulichokiruhusu kikae ndani yako,
-
0:11 - 0:16unachochagua kuulisha moyo wako nacho,
-
0:16 - 0:23hicho jaribu kinawezesha kile tulichoweka na kuhifadhi moyoni mwetu
-
0:23 - 0:26niiweke hivi;
-
0:26 - 0:30Kile unachoruhusu moyoni mwako,
-
0:30 - 0:38siku moja, utaipa ruhusa kimwili.
-
0:38 - 0:45Bila toba wa kweli, ruhusa, hivi karibuni itaelekez kwa kutii.
- Title:
- USIMJARIBU SHETANI AKUJARIBU
- Description:
-
''Shetani anaweza tu kukujaribu wewe katika dhambi kwa kile unachochagua kuweka ndani ya moyo wako, unachochagua kulisha moyo wako nacho. hilo jaribu inaweza kufanya tulichoweka ndani yetu. wacha nieleze hivi, kile unachoruhusu moyoni mwako, siku moja utairuhusu kimwili. bila wokovu wa kweli, ruhusa itafanya utii'' - Ndugu Chris
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:45
![]() |
Josephinechepkorir edited Swahili subtitles for Don’t TEMPT The Devil To TEMPT You! |