0:00:00.000,0:00:07.120 shetani anaweza tu kufaulu kukujaribu wewe uingie dhambini 0:00:07.120,0:00:10.720 ukiwa na kile ulichokiruhusu kikae ndani yako, 0:00:10.720,0:00:15.880 unachochagua kuulisha moyo wako nacho, 0:00:15.880,0:00:22.680 hicho jaribu kinawezesha kile tulichoweka na kuhifadhi moyoni mwetu 0:00:22.680,0:00:25.800 niiweke hivi; 0:00:25.800,0:00:30.080 Kile unachoruhusu moyoni mwako, 0:00:30.080,0:00:37.960 siku moja, utaipa ruhusa kimwili. 0:00:37.960,0:00:45.120 Bila toba wa kweli, ruhusa, hivi karibuni itaelekez kwa kutii.