WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:07.120 shetani anaweza tu kufaulu kukujaribu wewe uingie dhambini 00:00:07.120 --> 00:00:10.720 ukiwa na kile ulichokiruhusu kikae ndani yako, 00:00:10.720 --> 00:00:15.880 unachochagua kuulisha moyo wako nacho, 00:00:15.880 --> 00:00:22.680 hicho jaribu kinawezesha kile tulichoweka na kuhifadhi moyoni mwetu 00:00:22.680 --> 00:00:25.800 niiweke hivi; 00:00:25.800 --> 00:00:30.080 Kile unachoruhusu moyoni mwako, 00:00:30.080 --> 00:00:37.960 siku moja, utaipa ruhusa kimwili. 00:00:37.960 --> 00:00:45.120 Bila toba wa kweli, ruhusa, hivi karibuni itaelekez kwa kutii.