1 00:00:00,000 --> 00:00:07,120 shetani anaweza tu kufaulu kukujaribu wewe uingie dhambini 2 00:00:07,120 --> 00:00:10,720 ukiwa na kile ulichokiruhusu kikae ndani yako, 3 00:00:10,720 --> 00:00:15,880 unachochagua kuulisha moyo wako nacho, 4 00:00:15,880 --> 00:00:22,680 hicho jaribu kinawezesha kile tulichoweka na kuhifadhi moyoni mwetu 5 00:00:22,680 --> 00:00:25,800 niiweke hivi; 6 00:00:25,800 --> 00:00:30,080 Kile unachoruhusu moyoni mwako, 7 00:00:30,080 --> 00:00:37,960 siku moja, utaipa ruhusa kimwili. 8 00:00:37,960 --> 00:00:45,120 Bila toba wa kweli, ruhusa, hivi karibuni itaelekez kwa kutii.