[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:07.12,Default,,0000,0000,0000,,shetani anaweza tu kufaulu kukujaribu wewe uingie dhambini Dialogue: 0,0:00:07.12,0:00:10.72,Default,,0000,0000,0000,,ukiwa na kile ulichokiruhusu kikae ndani yako, Dialogue: 0,0:00:10.72,0:00:15.88,Default,,0000,0000,0000,,unachochagua kuulisha moyo wako nacho, Dialogue: 0,0:00:15.88,0:00:22.68,Default,,0000,0000,0000,,hicho jaribu kinawezesha kile tulichoweka na kuhifadhi moyoni mwetu Dialogue: 0,0:00:22.68,0:00:25.80,Default,,0000,0000,0000,,niiweke hivi; Dialogue: 0,0:00:25.80,0:00:30.08,Default,,0000,0000,0000,,Kile unachoruhusu moyoni mwako, Dialogue: 0,0:00:30.08,0:00:37.96,Default,,0000,0000,0000,,siku moja, utaipa ruhusa kimwili. Dialogue: 0,0:00:37.96,0:00:45.12,Default,,0000,0000,0000,,Bila toba wa kweli, ruhusa, hivi karibuni itaelekez kwa kutii.