< Return to Video

USIMJARIBU SHETANI AKUJARIBU

  • 0:00 - 0:07
    shetani anaweza tu kufaulu kukujaribu wewe uingie dhambini
  • 0:07 - 0:11
    ukiwa na kile ulichokiruhusu kikae ndani yako,
  • 0:11 - 0:16
    unachochagua kuulisha moyo wako nacho,
  • 0:16 - 0:23
    hicho jaribu kinawezesha kile tulichoweka na kuhifadhi moyoni mwetu
  • 0:23 - 0:26
    niiweke hivi;
  • 0:26 - 0:30
    Kile unachoruhusu moyoni mwako,
  • 0:30 - 0:38
    siku moja, utaipa ruhusa kimwili.
  • 0:38 - 0:45
    Bila toba wa kweli, ruhusa, hivi karibuni itaelekez kwa kutii.
Title:
USIMJARIBU SHETANI AKUJARIBU
Description:

''Shetani anaweza tu kukujaribu wewe katika dhambi kwa kile unachochagua kuweka ndani ya moyo wako, unachochagua kulisha moyo wako nacho. hilo jaribu inaweza kufanya tulichoweka ndani yetu. wacha nieleze hivi, kile unachoruhusu moyoni mwako, siku moja utairuhusu kimwili. bila wokovu wa kweli, ruhusa itafanya utii'' - Ndugu Chris

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:45

Swahili subtitles

Revisions