Staining of a Gram-Positive Bacterium
-
0:00 - 0:05(Swahili translation by Schuyler Cyprian Wood, SUNY Downstate Medical Center)
Mpango huu utaonyesha jinsi utaratibu wa Gram stain una weza kutofautisha gram chanya bakteria -
0:05 - 0:09na gram negativu bakteria kwa kuwakilisha matukio katika
-
0:09 - 0:11kimuundo kisichonekana na jicho tupu.
-
0:11 - 0:16Video hii ni ya kwanza kwenye video mbili katika mfululizo huu kuonyesha utaratibu wa stain ya gram chanya
-
0:16 - 0:22bakteria na miundo muhimu ya uso bakteria kuwakilishwa kwa picha.
-
0:22 - 0:26Mduara katika kona ya kulia na chini inaonyesha jinsi bakteria kuonekana katika hadubini kama
-
0:26 - 0:30zilikuwa kuchunguzika wakati wa kila hatua ya utaratibu wa staini.
-
0:30 - 0:35Kabla ya kuwa na staini, bakteria zitakuwa uwazi na hazionekani katika darubini.
-
0:35 - 0:40Baada ya utumizi wa joto kwenye slide, imwagie na crystal violet kwa dakika moja. Kisha
-
0:40 - 0:41safishwa na maji.
-
0:41 - 0:46rangi ya staini (crystal violet) inabaki ukutani wa seli bakteria, kwa hiyo bakteria zinaonekana rangi ya bluu katika
-
0:46 - 0:50hadubini zikiwachunguzika katika hatua hii ya utaratibu.
-
0:50 - 0:55Kisha, slide ni mwagilika na iodini kwa dakika moja halafu kuosheka tena.
-
0:55 - 0:59Wakati wa hatua hii crystal violet na iodini zinachanganya kuunda tata kubwa ndani ya
-
0:59 - 1:01tabaka ya ukuta seli.
-
1:01 - 1:06Kwenye hadubini, bakteria kuonekana giza bluu au nyeusi baada ya hatua hii.
-
1:06 - 1:11Sasa, slide kuoshwa kwa mchanganyiko wa pombe na asetoni.
-
1:11 - 1:16Hata hivyo, tata za crystal violet na iodini hazitoki mshiko wa tabaka nene
-
1:16 - 1:22za ukuta seli wa bakteria gram chanya na bado viumbe vina rangi ya bluu au nyeusi.
-
1:22 - 1:26Hatimaye slide ni mwagilika na nyekundu neutral au safranin kwa dakika moja na
-
1:26 - 1:28kisha kuosheka tena.
-
1:28 - 1:33stain nyekundu pia imo ukutani bakteria lakini rangi nyekundu haionekani kwa sababu
-
1:33 - 1:39ya rangi ya bluu kwamba inashinda kuonekana katika bakteria.
-
1:39 - 1:44Kwa hivyo, kwa mujibu wa muundo tata wa ukuta gram chanya hizi bakteria
-
1:44 - 1:48zitaonekana bluu au nyeusi katika darubini baada ya utaratibu huu wa gram stain.
- Title:
- Staining of a Gram-Positive Bacterium
- Description:
-
This short animation demonstrates a gram stain of gram-positive bacterium. This resource was developed by Cary Engleberg of the University of Michigan. It is part of a larger learning module about laboratory methods for clinical microbiology. The full learning module, editable animation, and video transcript are available at http://open.umich.edu/education/med/oernetwork/med/microbiology/clinical-microbio-lab/2009. Copyright 2009-2010, Cary Engleberg. This is licensed under a Creative Commons Attribution Noncommercial 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by-nc/3.0/.
- Video Language:
- English
- Duration:
- 01:48
kludewig edited Swahili subtitles for Staining of a Gram-Positive Bacterium |