[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.25,0:00:05.08,Default,,0000,0000,0000,,(Swahili translation by Schuyler Cyprian Wood, SUNY Downstate Medical Center)\NMpango huu utaonyesha jinsi utaratibu wa Gram stain una weza kutofautisha gram chanya bakteria Dialogue: 0,0:00:05.08,0:00:09.48,Default,,0000,0000,0000,,na gram negativu bakteria kwa kuwakilisha matukio katika Dialogue: 0,0:00:09.48,0:00:10.88,Default,,0000,0000,0000,,kimuundo kisichonekana na jicho tupu. Dialogue: 0,0:00:10.88,0:00:15.59,Default,,0000,0000,0000,,Video hii ni ya kwanza kwenye video mbili katika mfululizo huu kuonyesha utaratibu wa stain ya gram chanya Dialogue: 0,0:00:15.59,0:00:21.50,Default,,0000,0000,0000,,bakteria na miundo muhimu ya uso bakteria kuwakilishwa kwa picha. Dialogue: 0,0:00:21.50,0:00:25.65,Default,,0000,0000,0000,,Mduara katika kona ya kulia na chini inaonyesha jinsi bakteria kuonekana katika hadubini kama Dialogue: 0,0:00:25.65,0:00:29.88,Default,,0000,0000,0000,,zilikuwa kuchunguzika wakati wa kila hatua ya utaratibu wa staini. Dialogue: 0,0:00:29.88,0:00:35.34,Default,,0000,0000,0000,,Kabla ya kuwa na staini, bakteria zitakuwa uwazi na hazionekani katika darubini. Dialogue: 0,0:00:35.34,0:00:39.83,Default,,0000,0000,0000,,Baada ya utumizi wa joto kwenye slide, imwagie na crystal violet kwa dakika moja. Kisha Dialogue: 0,0:00:39.83,0:00:41.14,Default,,0000,0000,0000,,safishwa na maji. Dialogue: 0,0:00:41.14,0:00:45.93,Default,,0000,0000,0000,,rangi ya staini (crystal violet) inabaki ukutani wa seli bakteria, kwa hiyo bakteria zinaonekana rangi ya bluu katika Dialogue: 0,0:00:45.93,0:00:49.72,Default,,0000,0000,0000,,hadubini zikiwachunguzika katika hatua hii ya utaratibu. Dialogue: 0,0:00:49.72,0:00:55.22,Default,,0000,0000,0000,,Kisha, slide ni mwagilika na iodini kwa dakika moja halafu kuosheka tena. Dialogue: 0,0:00:55.22,0:00:59.40,Default,,0000,0000,0000,,Wakati wa hatua hii crystal violet na iodini zinachanganya kuunda tata kubwa ndani ya Dialogue: 0,0:00:59.40,0:01:01.09,Default,,0000,0000,0000,,tabaka ya ukuta seli. Dialogue: 0,0:01:01.09,0:01:06.32,Default,,0000,0000,0000,,Kwenye hadubini, bakteria kuonekana giza bluu au nyeusi baada ya hatua hii. Dialogue: 0,0:01:06.32,0:01:11.04,Default,,0000,0000,0000,,Sasa, slide kuoshwa kwa mchanganyiko wa pombe na asetoni. Dialogue: 0,0:01:11.04,0:01:15.86,Default,,0000,0000,0000,,Hata hivyo, tata za crystal violet na iodini hazitoki mshiko wa tabaka nene Dialogue: 0,0:01:15.86,0:01:21.53,Default,,0000,0000,0000,,za ukuta seli wa bakteria gram chanya na bado viumbe vina rangi ya bluu au nyeusi. Dialogue: 0,0:01:21.53,0:01:26.36,Default,,0000,0000,0000,,Hatimaye slide ni mwagilika na nyekundu neutral au safranin kwa dakika moja na Dialogue: 0,0:01:26.36,0:01:27.97,Default,,0000,0000,0000,,kisha kuosheka tena. Dialogue: 0,0:01:27.97,0:01:33.12,Default,,0000,0000,0000,,stain nyekundu pia imo ukutani bakteria lakini rangi nyekundu haionekani kwa sababu Dialogue: 0,0:01:33.12,0:01:38.53,Default,,0000,0000,0000,,ya rangi ya bluu kwamba inashinda kuonekana katika bakteria. Dialogue: 0,0:01:38.53,0:01:44.42,Default,,0000,0000,0000,,Kwa hivyo, kwa mujibu wa muundo tata wa ukuta gram chanya hizi bakteria Dialogue: 0,0:01:44.42,0:01:47.73,Default,,0000,0000,0000,,zitaonekana bluu au nyeusi katika darubini baada ya utaratibu huu wa gram stain.