0:00:00.250,0:00:05.080 (Swahili translation by Schuyler Cyprian Wood, SUNY Downstate Medical Center)[br]Mpango huu utaonyesha jinsi utaratibu wa Gram stain una weza kutofautisha gram chanya bakteria 0:00:05.080,0:00:09.480 na gram negativu bakteria kwa kuwakilisha matukio katika 0:00:09.480,0:00:10.880 kimuundo kisichonekana na jicho tupu. 0:00:10.880,0:00:15.589 Video hii ni ya kwanza kwenye video mbili katika mfululizo huu kuonyesha utaratibu wa stain ya gram chanya 0:00:15.589,0:00:21.500 bakteria na miundo muhimu ya uso bakteria kuwakilishwa kwa picha. 0:00:21.500,0:00:25.650 Mduara katika kona ya kulia na chini inaonyesha jinsi bakteria kuonekana katika hadubini kama 0:00:25.650,0:00:29.880 zilikuwa kuchunguzika wakati wa kila hatua ya utaratibu wa staini. 0:00:29.880,0:00:35.340 Kabla ya kuwa na staini, bakteria zitakuwa uwazi na hazionekani katika darubini. 0:00:35.340,0:00:39.829 Baada ya utumizi wa joto kwenye slide, imwagie na crystal violet kwa dakika moja. Kisha 0:00:39.829,0:00:41.140 safishwa na maji. 0:00:41.140,0:00:45.930 rangi ya staini (crystal violet) inabaki ukutani wa seli bakteria, kwa hiyo bakteria zinaonekana rangi ya bluu katika 0:00:45.930,0:00:49.719 hadubini zikiwachunguzika katika hatua hii ya utaratibu. 0:00:49.719,0:00:55.219 Kisha, slide ni mwagilika na iodini kwa dakika moja halafu kuosheka tena. 0:00:55.219,0:00:59.399 Wakati wa hatua hii crystal violet na iodini zinachanganya kuunda tata kubwa ndani ya 0:00:59.399,0:01:01.090 tabaka ya ukuta seli. 0:01:01.090,0:01:06.320 Kwenye hadubini, bakteria kuonekana giza bluu au nyeusi baada ya hatua hii. 0:01:06.320,0:01:11.040 Sasa, slide kuoshwa kwa mchanganyiko wa pombe na asetoni. 0:01:11.040,0:01:15.860 Hata hivyo, tata za crystal violet na iodini hazitoki mshiko wa tabaka nene 0:01:15.860,0:01:21.530 za ukuta seli wa bakteria gram chanya na bado viumbe vina rangi ya bluu au nyeusi. 0:01:21.530,0:01:26.360 Hatimaye slide ni mwagilika na nyekundu neutral au safranin kwa dakika moja na 0:01:26.360,0:01:27.970 kisha kuosheka tena. 0:01:27.970,0:01:33.119 stain nyekundu pia imo ukutani bakteria lakini rangi nyekundu haionekani kwa sababu 0:01:33.119,0:01:38.530 ya rangi ya bluu kwamba inashinda kuonekana katika bakteria. 0:01:38.530,0:01:44.420 Kwa hivyo, kwa mujibu wa muundo tata wa ukuta gram chanya hizi bakteria 0:01:44.420,0:01:47.729 zitaonekana bluu au nyeusi katika darubini baada ya utaratibu huu wa gram stain.