1 00:00:00,250 --> 00:00:05,080 (Swahili translation by Schuyler Cyprian Wood, SUNY Downstate Medical Center) Mpango huu utaonyesha jinsi utaratibu wa Gram stain una weza kutofautisha gram chanya bakteria 2 00:00:05,080 --> 00:00:09,480 na gram negativu bakteria kwa kuwakilisha matukio katika 3 00:00:09,480 --> 00:00:10,880 kimuundo kisichonekana na jicho tupu. 4 00:00:10,880 --> 00:00:15,589 Video hii ni ya kwanza kwenye video mbili katika mfululizo huu kuonyesha utaratibu wa stain ya gram chanya 5 00:00:15,589 --> 00:00:21,500 bakteria na miundo muhimu ya uso bakteria kuwakilishwa kwa picha. 6 00:00:21,500 --> 00:00:25,650 Mduara katika kona ya kulia na chini inaonyesha jinsi bakteria kuonekana katika hadubini kama 7 00:00:25,650 --> 00:00:29,880 zilikuwa kuchunguzika wakati wa kila hatua ya utaratibu wa staini. 8 00:00:29,880 --> 00:00:35,340 Kabla ya kuwa na staini, bakteria zitakuwa uwazi na hazionekani katika darubini. 9 00:00:35,340 --> 00:00:39,829 Baada ya utumizi wa joto kwenye slide, imwagie na crystal violet kwa dakika moja. Kisha 10 00:00:39,829 --> 00:00:41,140 safishwa na maji. 11 00:00:41,140 --> 00:00:45,930 rangi ya staini (crystal violet) inabaki ukutani wa seli bakteria, kwa hiyo bakteria zinaonekana rangi ya bluu katika 12 00:00:45,930 --> 00:00:49,719 hadubini zikiwachunguzika katika hatua hii ya utaratibu. 13 00:00:49,719 --> 00:00:55,219 Kisha, slide ni mwagilika na iodini kwa dakika moja halafu kuosheka tena. 14 00:00:55,219 --> 00:00:59,399 Wakati wa hatua hii crystal violet na iodini zinachanganya kuunda tata kubwa ndani ya 15 00:00:59,399 --> 00:01:01,090 tabaka ya ukuta seli. 16 00:01:01,090 --> 00:01:06,320 Kwenye hadubini, bakteria kuonekana giza bluu au nyeusi baada ya hatua hii. 17 00:01:06,320 --> 00:01:11,040 Sasa, slide kuoshwa kwa mchanganyiko wa pombe na asetoni. 18 00:01:11,040 --> 00:01:15,860 Hata hivyo, tata za crystal violet na iodini hazitoki mshiko wa tabaka nene 19 00:01:15,860 --> 00:01:21,530 za ukuta seli wa bakteria gram chanya na bado viumbe vina rangi ya bluu au nyeusi. 20 00:01:21,530 --> 00:01:26,360 Hatimaye slide ni mwagilika na nyekundu neutral au safranin kwa dakika moja na 21 00:01:26,360 --> 00:01:27,970 kisha kuosheka tena. 22 00:01:27,970 --> 00:01:33,119 stain nyekundu pia imo ukutani bakteria lakini rangi nyekundu haionekani kwa sababu 23 00:01:33,119 --> 00:01:38,530 ya rangi ya bluu kwamba inashinda kuonekana katika bakteria. 24 00:01:38,530 --> 00:01:44,420 Kwa hivyo, kwa mujibu wa muundo tata wa ukuta gram chanya hizi bakteria 25 00:01:44,420 --> 00:01:47,729 zitaonekana bluu au nyeusi katika darubini baada ya utaratibu huu wa gram stain.