WEBVTT 00:00:00.250 --> 00:00:05.080 (Swahili translation by Schuyler Cyprian Wood, SUNY Downstate Medical Center) Mpango huu utaonyesha jinsi utaratibu wa Gram stain una weza kutofautisha gram chanya bakteria 00:00:05.080 --> 00:00:09.480 na gram negativu bakteria kwa kuwakilisha matukio katika 00:00:09.480 --> 00:00:10.880 kimuundo kisichonekana na jicho tupu. 00:00:10.880 --> 00:00:15.589 Video hii ni ya kwanza kwenye video mbili katika mfululizo huu kuonyesha utaratibu wa stain ya gram chanya 00:00:15.589 --> 00:00:21.500 bakteria na miundo muhimu ya uso bakteria kuwakilishwa kwa picha. 00:00:21.500 --> 00:00:25.650 Mduara katika kona ya kulia na chini inaonyesha jinsi bakteria kuonekana katika hadubini kama 00:00:25.650 --> 00:00:29.880 zilikuwa kuchunguzika wakati wa kila hatua ya utaratibu wa staini. 00:00:29.880 --> 00:00:35.340 Kabla ya kuwa na staini, bakteria zitakuwa uwazi na hazionekani katika darubini. 00:00:35.340 --> 00:00:39.829 Baada ya utumizi wa joto kwenye slide, imwagie na crystal violet kwa dakika moja. Kisha 00:00:39.829 --> 00:00:41.140 safishwa na maji. 00:00:41.140 --> 00:00:45.930 rangi ya staini (crystal violet) inabaki ukutani wa seli bakteria, kwa hiyo bakteria zinaonekana rangi ya bluu katika 00:00:45.930 --> 00:00:49.719 hadubini zikiwachunguzika katika hatua hii ya utaratibu. 00:00:49.719 --> 00:00:55.219 Kisha, slide ni mwagilika na iodini kwa dakika moja halafu kuosheka tena. 00:00:55.219 --> 00:00:59.399 Wakati wa hatua hii crystal violet na iodini zinachanganya kuunda tata kubwa ndani ya 00:00:59.399 --> 00:01:01.090 tabaka ya ukuta seli. 00:01:01.090 --> 00:01:06.320 Kwenye hadubini, bakteria kuonekana giza bluu au nyeusi baada ya hatua hii. 00:01:06.320 --> 00:01:11.040 Sasa, slide kuoshwa kwa mchanganyiko wa pombe na asetoni. 00:01:11.040 --> 00:01:15.860 Hata hivyo, tata za crystal violet na iodini hazitoki mshiko wa tabaka nene 00:01:15.860 --> 00:01:21.530 za ukuta seli wa bakteria gram chanya na bado viumbe vina rangi ya bluu au nyeusi. 00:01:21.530 --> 00:01:26.360 Hatimaye slide ni mwagilika na nyekundu neutral au safranin kwa dakika moja na 00:01:26.360 --> 00:01:27.970 kisha kuosheka tena. 00:01:27.970 --> 00:01:33.119 stain nyekundu pia imo ukutani bakteria lakini rangi nyekundu haionekani kwa sababu 00:01:33.119 --> 00:01:38.530 ya rangi ya bluu kwamba inashinda kuonekana katika bakteria. 00:01:38.530 --> 00:01:44.420 Kwa hivyo, kwa mujibu wa muundo tata wa ukuta gram chanya hizi bakteria 00:01:44.420 --> 00:01:47.729 zitaonekana bluu au nyeusi katika darubini baada ya utaratibu huu wa gram stain.