How to handle PROVOCATION in relationships!
-
0:00 - 0:06Mambo ambayo yanaweza kusababisha migongano,kutokuelewana na matatizo
-
0:06 - 0:08katika mahusiano ya kibinadamu, huwa hayakosekani,
-
0:08 - 0:16Lakini kadiri unavyotegemea mwitiko wako kwenye matendo ya mtu mwingine,
-
0:16 - 0:19kamwe hautapatia.
-
0:19 - 0:20Namaanisha nini?
-
0:20 - 0:26'Hey, alinikasirisha. Ndiyo maana nina hasira.'
-
0:26 - 0:29'Aliniambia hivi. Ndiyo maana nilimfokea tena.'
-
0:29 - 0:36Kadiri unavyoegemeza mwitikio wako kwenye kitendo cha mtu huyo, umekosea
-
0:36 - 0:40kwa sababu unafanya kazi chini ya kiwango kilichoundwa na mwanadamu, si kiwango cha Mungu.
-
0:40 - 0:42Mtu anaweza kukuchokoza.
-
0:42 - 0:46Angalia, simtetei mtu kama huyo. Ni vibaya kumkasirisha mtu.
-
0:46 - 0:52Lakini majibu yangu ya hasira sio jukumu la mtu huyo, ni langu.
-
0:52 - 0:56Jibu langu la hasira linaonyesha mahali ambapo moyo wangu hauko vizuri na Mungu,
-
0:56 - 0:58si kile ambacho mtu huyo amekifanya ili kunikasirisha.
- Title:
- How to handle PROVOCATION in relationships!
- Description:
-
Mambo ambayo yanaweza kusababisha migongano,kutokuelewana na matatizo katika mahusiano ya kibinadamu, huwa hayakosekani,Lakini kadiri unavyotegemea mwitiko wako kwenye matendo ya mtu mwingine, kamwe hautapatia. Namaanisha nini? 'Hey, alinikasirisha. Ndiyo maana nina hasira.''Aliniambia hivi. Ndiyo maana nilimfokea tena.'Kadiri unavyoegemeza mwitikio wako kwenye kitendo cha mtu huyo, umekosea kwa sababu unafanya kazi chini ya kiwango kilichoundwa na mwanadamu, si kiwango cha Mungu. Mtu anaweza kukuchokoza. Angalia, simtetei mtu kama huyo. Ni vibaya kumkasirisha mtu. Lakini majibu yangu ya hasira sio jukumu la mtu huyo, ni langu. Jibu langu la hasira linaonyesha mahali ambapo moyo wangu hauko vizuri na Mungu,si kile ambacho mtu huyo amekifanya ili kunikasirisha.
Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Kaka Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=xfA4ENvxvh
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:59
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for How to handle PROVOCATION in relationships! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for How to handle PROVOCATION in relationships! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for How to handle PROVOCATION in relationships! |