[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:00.00,0:00:06.00,Default,,0000,0000,0000,,Mambo ambayo yanaweza kusababisha migongano,kutokuelewana na matatizo Dialogue: 0,0:00:06.00,0:00:07.93,Default,,0000,0000,0000,,katika mahusiano ya kibinadamu, huwa hayakosekani, Dialogue: 0,0:00:07.93,0:00:15.67,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kadiri unavyotegemea mwitiko wako kwenye matendo ya mtu mwingine, Dialogue: 0,0:00:15.67,0:00:18.67,Default,,0000,0000,0000,,kamwe hautapatia. Dialogue: 0,0:00:18.67,0:00:20.07,Default,,0000,0000,0000,,Namaanisha nini? Dialogue: 0,0:00:20.07,0:00:25.77,Default,,0000,0000,0000,,'Hey, alinikasirisha. Ndiyo maana nina hasira.' Dialogue: 0,0:00:25.77,0:00:29.40,Default,,0000,0000,0000,,'Aliniambia hivi. Ndiyo maana nilimfokea tena.' Dialogue: 0,0:00:29.40,0:00:36.10,Default,,0000,0000,0000,,Kadiri unavyoegemeza mwitikio wako kwenye kitendo cha mtu huyo, umekosea Dialogue: 0,0:00:36.10,0:00:40.27,Default,,0000,0000,0000,,kwa sababu unafanya kazi chini ya kiwango kilichoundwa na mwanadamu, si kiwango cha Mungu. Dialogue: 0,0:00:40.27,0:00:42.37,Default,,0000,0000,0000,,Mtu anaweza kukuchokoza. Dialogue: 0,0:00:42.37,0:00:46.50,Default,,0000,0000,0000,,Angalia, simtetei mtu kama huyo. Ni vibaya kumkasirisha mtu. Dialogue: 0,0:00:46.50,0:00:51.97,Default,,0000,0000,0000,,Lakini majibu yangu ya hasira sio jukumu la mtu huyo, ni langu. Dialogue: 0,0:00:51.97,0:00:55.77,Default,,0000,0000,0000,,Jibu langu la hasira linaonyesha mahali ambapo moyo wangu hauko vizuri na Mungu, Dialogue: 0,0:00:55.77,0:00:58.13,Default,,0000,0000,0000,,si kile ambacho mtu huyo amekifanya ili kunikasirisha.