1 00:00:00,000 --> 00:00:06,000 Mambo ambayo yanaweza kusababisha migongano,kutokuelewana na matatizo 2 00:00:06,000 --> 00:00:07,933 katika mahusiano ya kibinadamu, huwa hayakosekani, 3 00:00:07,933 --> 00:00:15,666 Lakini kadiri unavyotegemea mwitiko wako kwenye matendo ya mtu mwingine, 4 00:00:15,666 --> 00:00:18,666 kamwe hautapatia. 5 00:00:18,666 --> 00:00:20,066 Namaanisha nini? 6 00:00:20,066 --> 00:00:25,766 'Hey, alinikasirisha. Ndiyo maana nina hasira.' 7 00:00:25,766 --> 00:00:29,400 'Aliniambia hivi. Ndiyo maana nilimfokea tena.' 8 00:00:29,400 --> 00:00:36,100 Kadiri unavyoegemeza mwitikio wako kwenye kitendo cha mtu huyo, umekosea 9 00:00:36,100 --> 00:00:40,266 kwa sababu unafanya kazi chini ya kiwango kilichoundwa na mwanadamu, si kiwango cha Mungu. 10 00:00:40,266 --> 00:00:42,366 Mtu anaweza kukuchokoza. 11 00:00:42,366 --> 00:00:46,500 Angalia, simtetei mtu kama huyo. Ni vibaya kumkasirisha mtu. 12 00:00:46,500 --> 00:00:51,966 Lakini majibu yangu ya hasira sio jukumu la mtu huyo, ni langu. 13 00:00:51,966 --> 00:00:55,766 Jibu langu la hasira linaonyesha mahali ambapo moyo wangu hauko vizuri na Mungu, 14 00:00:55,766 --> 00:00:58,133 si kile ambacho mtu huyo amekifanya ili kunikasirisha.