-
Mwaka uliopita tulikiuka
-
Mamilioni ya wapigakura wapya walifanya sauti zao zisikike kwa mara ya kwanza
-
Kwa sasa tumeponzwa hata zaidi.
-
Ndio maana nimekuwa nikijaribu kufikia baadhi ya marafiki zangu
-
kupanua Kikundi changu cha wapiga kura kwa mwaka huu ujao
-
inaanza na wewe
-
Wewe ni wa pekee
-
unayeweza kuanzisha mdahalo huo
-
na familia yako, na marafiki zako
-
na washikaji wako wa kike
-
na hata na jamii yako
-
Kuhakikisha wamejiandikisha na wapo tayari kupiga kura
-
au uwatumie ujumbe au ujumbe wa siri mtandaoni
-
na useme, "yo- vipi? uko poa! Unafaa kujiunga na kikundi
-
tunakuhitaji
-
Kuunda Kikundi chako cha mashindano ya uchaguzi
-
Ni nafasi yako kubadili mchezo
-
Kwa sababu tunapojiunga kwa kikundi
-
tunapohakikisha sauti zetu zinasikika
-
Tunapopiga kura sisi sote
-
Kama sisi SOTE tunapiga kura
-
Tunaweza badili ulimwengu
-
nenda kwa WhenWeAllVote.org
-
Kuanza Tuanze kazi
-
Jiunge nasi.
-
[muziki wa kusisimua]