0:00:00.000,0:00:02.076 Mwaka uliopita tulikiuka 0:00:02.076,0:00:05.943 Mamilioni ya wapigakura wapya walifanya sauti zao zisikike kwa mara ya kwanza 0:00:05.943,0:00:07.893 Kwa sasa tumeponzwa hata zaidi. 0:00:07.893,0:00:10.442 Ndio maana nimekuwa nikijaribu kufikia baadhi ya marafiki zangu 0:00:10.442,0:00:13.333 kupanua Kikundi changu cha wapiga kura kwa mwaka huu ujao 0:00:14.325,0:00:15.943 inaanza na wewe 0:00:15.943,0:00:17.356 Wewe ni wa pekee 0:00:17.356,0:00:18.930 unayeweza kuanzisha mdahalo huo 0:00:18.930,0:00:21.085 na familia yako, na marafiki zako 0:00:21.085,0:00:23.677 na washikaji wako wa kike 0:00:23.677,0:00:25.061 na hata na jamii yako 0:00:25.061,0:00:26.970 Kuhakikisha wamejiandikisha na wapo tayari kupiga kura 0:00:26.970,0:00:29.354 au uwatumie ujumbe au ujumbe wa siri mtandaoni 0:00:29.354,0:00:33.014 na useme, "yo- vipi? uko poa! Unafaa kujiunga na kikundi 0:00:33.014,0:00:34.484 tunakuhitaji 0:00:34.484,0:00:37.046 Kuunda Kikundi chako cha mashindano ya uchaguzi 0:00:37.046,0:00:39.425 Ni nafasi yako kubadili mchezo 0:00:39.425,0:00:41.702 Kwa sababu tunapojiunga kwa kikundi 0:00:41.702,0:00:43.785 tunapohakikisha sauti zetu zinasikika 0:00:43.785,0:00:45.290 Tunapopiga kura sisi sote 0:00:45.290,0:00:47.664 Kama sisi SOTE tunapiga kura 0:00:47.664,0:00:49.953 Tunaweza badili ulimwengu 0:00:49.953,0:00:51.342 nenda kwa WhenWeAllVote.org 0:00:51.342,0:00:53.451 Kuanza Tuanze kazi 0:00:53.451,0:00:54.678 Jiunge nasi. 0:00:54.678,0:01:01.000 [muziki wa kusisimua]