WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:02.076 Mwaka uliopita tulikiuka 00:00:02.076 --> 00:00:05.943 Mamilioni ya wapigakura wapya walifanya sauti zao zisikike kwa mara ya kwanza 00:00:05.943 --> 00:00:07.893 Kwa sasa tumeponzwa hata zaidi. 00:00:07.893 --> 00:00:10.442 Ndio maana nimekuwa nikijaribu kufikia baadhi ya marafiki zangu 00:00:10.442 --> 00:00:13.333 kupanua Kikundi changu cha wapiga kura kwa mwaka huu ujao 00:00:14.325 --> 00:00:15.943 inaanza na wewe 00:00:15.943 --> 00:00:17.356 Wewe ni wa pekee 00:00:17.356 --> 00:00:18.930 unayeweza kuanzisha mdahalo huo 00:00:18.930 --> 00:00:21.085 na familia yako, na marafiki zako 00:00:21.085 --> 00:00:23.677 na washikaji wako wa kike 00:00:23.677 --> 00:00:25.061 na hata na jamii yako 00:00:25.061 --> 00:00:26.970 Kuhakikisha wamejiandikisha na wapo tayari kupiga kura 00:00:26.970 --> 00:00:29.354 au uwatumie ujumbe au ujumbe wa siri mtandaoni 00:00:29.354 --> 00:00:33.014 na useme, "yo- vipi? uko poa! Unafaa kujiunga na kikundi 00:00:33.014 --> 00:00:34.484 tunakuhitaji 00:00:34.484 --> 00:00:37.046 Kuunda Kikundi chako cha mashindano ya uchaguzi 00:00:37.046 --> 00:00:39.425 Ni nafasi yako kubadili mchezo 00:00:39.425 --> 00:00:41.702 Kwa sababu tunapojiunga kwa kikundi 00:00:41.702 --> 00:00:43.785 tunapohakikisha sauti zetu zinasikika 00:00:43.785 --> 00:00:45.290 Tunapopiga kura sisi sote 00:00:45.290 --> 00:00:47.664 Kama sisi SOTE tunapiga kura 00:00:47.664 --> 00:00:49.953 Tunaweza badili ulimwengu 00:00:49.953 --> 00:00:51.342 nenda kwa WhenWeAllVote.org 00:00:51.342 --> 00:00:53.451 Kuanza Tuanze kazi 00:00:53.451 --> 00:00:54.678 Jiunge nasi. 00:00:54.678 --> 00:01:01.000 [muziki wa kusisimua]